Jamani ndiyo Tanzania tumefika huku?Aligombea katika Jimbo la Busanda,Pia alikuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani ndiyo Tanzania tumefika huku?Aligombea katika Jimbo la Busanda,Pia alikuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita.
Hakika matz hasa wew ni jibwa koko kuliwa na mijibwa kumi kwa wakati mmoja
No..no..no..tupate uthibitisho wa hili. Kama ni kweli ni siku ya masikitiko.
Uchochezi tu. Una uhakika ni vijana wa Green Guard? Taarifa kama hizi ni za kuleta ukiwa na uhakika na mambo ya inasemekana moja kwa moja inaonekana kama unachochea moto. Marehemu apumzike kwa amani na wote waliohusika na kifo chake sheria ichukue mkondo wake!Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la buchosa kupitia chadema afariki dunia leo.
Chanzo cha kifo chake ni kutokana na kipigo kikali kutoka kwa kundi la vijana linalosemekana ni la green guard jana wakati akifanya kampeni kumnadi diwani wake.
Taarifa kamili tutawaleteaa!!!
Ni busanda sio buchosa
Rip mawazo,dah inasikitisha sana kwa kweli,hakika utaishi daima mioyoni mwetu
Ni kwel imetokea ni hapa katoro