TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Hivi ukiwa upinzani hapa Tanzania haya ndio malipo yake.kwa nn serikali iliruhusu vyama pinzani kama mambo yenyewe ndio haya. Mmeamua kutoa adhabu za vifo kwa kila ataewapinga so sad. MUNGU NA AWALAANI WOTE WALIOHUSIKA KAPOTEZA UHAI WA KAMANDA. Peleka familiar Pole kwa chama cha chadema.ipo siku hii damu itawarudia na haiko mbali inakuja
 
Machozi yananitoka.....harakati za ukombozi Tanzania ni safari ndefu...
Alikuwa Mwenyekiti Mkoa Wa geita
Inasemekana alipigwa na mapanga na nyundo na Vijana Wa Green Gad
Rekebisha post yako haraka. Je una uhakika gani kama ni vijana wa green guard???? Hujui inawezekana alipewa hela na timu mamvi ili agawe kama rushwa maana kila mkoa mamvi aligawa pesa za kuhonga wapiga kura (50,000). Sasa yeye kama alikula na wenyewe wameenda kuchukua roho yao. Na kwa huu mtindo wengi mamvi atawamaliza maana wengi waliopewa hela zake hawakuzifikisha kwa wananchi
 
Kova...kabla ya mazishi ya kamanda Mawozo waliomuua wawe wamekamatwa na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria.
 
Masikitiko kwenu yatoke wapi? si umesikia ni vijana wenu wa green guard ktk kutetea maslahi ya chama chenu?

Lakini yana mwisho!!

mkuu hakuna taarifa kuwa ni greengurd tuache ujinga
 
Hivi tuseme kama ni kweli ni kifo kimetokana na itikadi za kisiasa, je jela anakwenda nani, muuaji au chama cha siasa? Niliwahi kusema kuwa jamani uchaguzi umeisha tuache matusi na kutukanana. Mambo mengine yanaamsha hasira na kisasi, lakini ndio mapoyoyo wapo kila mahali including JF kutoa matusi tu na kashfa. Ngoja Bunge lianze ndio utajua kuna watu wana degree za matusi na kukosa heshima
 
Acheni kuchezea ROHO ZA WATU. Mawazo Amka huko uliko. Umesinzia tu.
 
Machozi yananitoka.....harakati za ukombozi Tanzania ni safari ndefu...
Alikuwa Mwenyekiti Mkoa Wa geita
Inasemekana alipigwa na mapanga na nyundo na Vijana Wa Green Gad

Jamani kamanda mawazo mwisho wamekuuwa CCM!! Haiwezekani😕
 
Duh Tanzania tumefika huko haya wengine tunatazama hili songombingo kwa umbali lakini ukianza kutoa uhai wa watu kwasababu za kisiasa basi jua mwisho mbaya unakaribia.
 
Rekebisha post yako haraka. Je una uhakika gani kama ni vijana wa green guard???? Hujui inawezekana alipewa hela na timu mamvi ili agawe kama rushwa maana kila mkoa mamvi aligawa pesa za kuhonga wapiga kura (50,000). Sasa yeye kama alikula na wenyewe wameenda kuchukua roho yao. Na kwa huu mtindo wengi mamvi atawamaliza maana wengi waliopewa hela zake hawakuzifikisha kwa wananchi

CCM mmeanza kuua.
Mnamwaga damu kwa ulevi wa madaraka.
Mtatuua wote mbaki peke yenu?
 
Rekebisha post yako haraka. Je una uhakika gani kama ni vijana wa green guard???? Hujui inawezekana alipewa hela na timu mamvi ili agawe kama rushwa maana kila mkoa mamvi aligawa pesa za kuhonga wapiga kura (50,000). Sasa yeye kama alikula na wenyewe wameenda kuchukua roho yao. Na kwa huu mtindo wengi mamvi atawamaliza maana wengi waliopewa hela zake hawakuzifikisha kwa wananchi

Naww ni mmoja wapo nn....
Hii issue had police wa katoro wanahusika
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom