Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata hapa arusha kwenye mkutano wameconfirm
angalia mkuu usiandike tu kufurahisha watuni imetangazwa Arusha na Amani Golugwa amevamiwa na green guard na amepigwa na nondo
No..no..no..tupate uthibitisho wa hili. Kama ni kweli ni siku ya masikitiko.
Nakumbuka hata mgombea ubunge Geita mjini alishasema kuwa wana harakati wote wa upinzani kanda ya ziwa wanawindwa sana..ni kwamba kitengo wanataka kufuta kabisa upinzani mkoani Geita na kanda yote ya ziwa ambapo mkuu anatoka
Kweli sijui viongozi wanashikwa na kigugumizi gani.Kwanini Lakini? Mimi Pindi Ninaposikia Habari Kama Hizi Huwa Roho Yangu Inasononeka Sana, Viongozi Wa Chama Upole Umezidi, Ebu Fanyeni Mpango Tushikanepo Mashati Kidogo