Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No..no..no..tupate uthibitisho wa hili. Kama ni kweli ni siku ya masikitiko.
kABLA YA YOTE SISI SOTE NI HUMANS,HIVYO HUMANITY NI MUHIMU
Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la buchosa kupitia chadema afariki dunia leo.
Chanzo cha kifo chake ni kutokana na kipigo kikali kutoka kwa kundi la vijana linalosemekana ni la green guard jana wakati akifanya kampeni kumnadi diwani wake.
Taarifa kamili tutawaleteaa!!!
Nchi hii basi haina haja ya Kuwa na Upinzani kama ni hivyo kwann watu wauane kisa Masiasa