Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na huyu mtu!Confirmed Mkuu,nipo Hapa Geita Hospital
Tunamtakia nini wakati tumesha shinda uchaguzi, eti ccm wamehusika, wewe una akili timamu kweli?Nyie kama mlizulumiana mtajijua wenyewe. Njaa zenu zitawafanya mmalizane.
Rekebisha post yako haraka. Je una uhakika gani kama ni vijana wa green guard???? Hujui inawezekana alipewa hela na timu mamvi ili agawe kama rushwa maana kila mkoa mamvi aligawa pesa za kuhonga wapiga kura (50,000). Sasa yeye kama alikula na wenyewe wameenda kuchukua roho yao. Na kwa huu mtindo wengi mamvi atawamaliza maana wengi waliopewa hela zake hawakuzifikisha kwa wananchi
Unatakiwa uisadie polisi.Rekebisha post yako haraka. Je una uhakika gani kama ni vijana wa green guard???? Hujui inawezekana alipewa hela na timu mamvi ili agawe kama rushwa maana kila mkoa mamvi aligawa pesa za kuhonga wapiga kura (50,000). Sasa yeye kama alikula na wenyewe wameenda kuchukua roho yao. Na kwa huu mtindo wengi mamvi atawamaliza maana wengi waliopewa hela zake hawakuzifikisha kwa wananchi
Kova...kabla ya mazishi ya kamanda Mawozo waliomuua wawe wamekamatwa na kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria.