CCM na ilaaniwe milele. Wanatuambia mkichagua upinzani, itatokea vita. Upinzani wataletaje vita, wakati silaha wanazo wao, polisi wao, jeshi lao, upinzani hakuna hata moja. Sijawahi kusikia hata siku moja upinzani wameuwa mtu, ila CCM, tunachoka hata kuhesabu.
CCM, CCM, CCM, wewe usiye taka amani ya watu wako, utafanya hivi mpaka lini? Ulishindwa kwa njia ya kura, ukasema ambaye ajipendi ajitokeze kudai haki yake.
Tukashuhudia vifaru, washawasha, mabomu ya machozi, hii yote kuwatisha watu wasidai haki yao.
Eehh! Mungu tukumbuke ili tuondokane na dharimu CCM, kama ukivyo wakumbuka wana wa Israel, ukawatoa Misri, tiokoe nasi na udhalimu wa CCM.