Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeiona kwenye ITV wametangaza kuwa ameshafariki. Hii ni hatari sana kwa mustakabali wa taifa letu, maana nimeona jinsi watu walivyo na hasira, hii si dalili njema. Watanzania ni lazima tufikie mahali tuwe na siasa za kiungwana. amani ya nchi yetu ni muhimu kuliko hata vyama vyetu. Ni kwanini tufikie huko? Ninawasihi wote walioumizwa na tukio hili kuwa wavumilivu na kuruhusu sheria ichukue mkondo wake. Wasijaribu kuchukua sheria mkononi kwani itakuwa ni kuharibu zaidi kuliko kutengeneza.

Waliokuwepo akina nani? Waweke ushahidi hapa kama kweli walikuwepo, msilite maneno na hisia zenu za kipuuzi mkatutaka tuziamini. Kama mna uhakika na taarifa zenu weke ushahidi hapa tuwaelewe.
Waliosababisha wachukuliwe hatua kali za kisheria