TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Utani mwingine haufai, mji wa Geita ni Simanzi limejaa.

hospital ya Mkoa watu wanalia
 
Nimeiona kwenye ITV wametangaza kuwa ameshafariki. Hii ni hatari sana kwa mustakabali wa taifa letu, maana nimeona jinsi watu walivyo na hasira, hii si dalili njema. Watanzania ni lazima tufikie mahali tuwe na siasa za kiungwana. amani ya nchi yetu ni muhimu kuliko hata vyama vyetu. Ni kwanini tufikie huko? Ninawasihi wote walioumizwa na tukio hili kuwa wavumilivu na kuruhusu sheria ichukue mkondo wake. Wasijaribu kuchukua sheria mkononi kwani itakuwa ni kuharibu zaidi kuliko kutengeneza.

Sheria IPI ya CCM? Ya kukamata wana Chadema badala ya wahalifu?
 
Nimeiona kwenye ITV wametangaza kuwa ameshafariki. Hii ni hatari sana kwa mustakabali wa taifa letu, maana nimeona jinsi watu walivyo na hasira, hii si dalili njema. Watanzania ni lazima tufikie mahali tuwe na siasa za kiungwana. amani ya nchi yetu ni muhimu kuliko hata vyama vyetu. Ni kwanini tufikie huko? Ninawasihi wote walioumizwa na tukio hili kuwa wavumilivu na kuruhusu sheria ichukue mkondo wake. Wasijaribu kuchukua sheria mkononi kwani itakuwa ni kuharibu zaidi kuliko kutengeneza.

no way mkuu jino KWA jino aisee.huu unyonge sasa ni uboya na upumbavu.I apofikia mtu WA chama kingine anamvamia mpinzani wake na kumuua harafu unakuja KWA maneno mapesi tuu eti sheria ichukue mkondo wake.

walio mvamia walipata baraka toka wapi inamaana wao hawajavunja sheria?? hawajajichukulia sheria mkononi??
 
Waliokuwepo akina nani? Waweke ushahidi hapa kama kweli walikuwepo, msilite maneno na hisia zenu za kipuuzi mkatutaka tuziamini. Kama mna uhakika na taarifa zenu weke ushahidi hapa tuwaelewe.

Ndugu autazami habari Nini achana na itikad kwenye mambo kama ayo jenga tabia yakukoxoa ata unacho kipenda,
 
Mawazo hataweza kutulia kwenye ufalme wa Mungu bila mamlaka za dunia kwa maana ya Serikali ya Tanzania na vyombo vyake vya dola kuweka wazi nini sababu ya kifo cha Kamanda Mawazo na hatua zilizochukuliwa. Tanzania is no more an island of amani! People are worried!
 
Nimejikuta nahhasira sana na ninalia kwa uchungu sana ee mungu tupe uvumilivu maana tunako elekea siko kabisa ila ipo siku uvumilivu una mwisho duh mawazo duh.
 
sijaamini kama comrad mawazo amefariki,kwel nimeumia sana yan tumepoteza mpambanaji nguri ktk taifa,hakika laana na iwe juu ya walioshiliki
 
CCM na ilaaniwe milele. Wanatuambia mkichagua upinzani, itatokea vita. Upinzani wataletaje vita, wakati silaha wanazo wao, polisi wao, jeshi lao, upinzani hakuna hata moja. Sijawahi kusikia hata siku moja upinzani wameuwa mtu, ila CCM, tunachoka hata kuhesabu.

CCM, CCM, CCM, wewe usiye taka amani ya watu wako, utafanya hivi mpaka lini? Ulishindwa kwa njia ya kura, ukasema ambaye ajipendi ajitokeze kudai haki yake.

Tukashuhudia vifaru, washawasha, mabomu ya machozi, hii yote kuwatisha watu wasidai haki yao.

Eehh! Mungu tukumbuke ili tuondokane na dharimu CCM, kama ukivyo wakumbuka wana wa Israel, ukawatoa Misri, tiokoe nasi na udhalimu wa CCM.
 
ilikuwa kwa Kamanda Omar Bwambo wa Arumeru, tukafikili ni yeyetu na haitatokea tena KWA mtu mwingine, Leo imetokea kwa kamanda MAWAZO, Usidhani kesho utasikia kwa mwingine tena ,itakuwa ni Zamu yako, Ukiwa mpunzani Tanzania wewe ni sawa na MEDE wakukanyangwa wala hakuna anayejali!!!

R IP KAMANDA Ac Mawazo
 
Sijui nasema sijui ila mwisho wake sio mwema sana. Uvumilivu unakua na mwisho
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom