Ooh Jesus :
Na hili ndio neno la
Mwanzo 4:10-12 (SUV) Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi.
Basi sasa, umelaaniwa wewe katika ardhi, iliyofumbua kinywa chake ipokee damu ya ndugu yako kwa mkono wako;
utakapoilima ardhi haitakupa mazao yake; utakuwa mtoro na mtu asiye na kikao duniani.
Hii ni laana ya kwanza kwa waliohusika na pili
Usipokamatwa na sheria ya wanadamu Mungu huruhusu watumishi wa Mungu kutelekeza hukumu kwako kwa Sala
Zaburi 149:6-7 (SUV) Sifa kuu za Mungu na ziwe vinywani mwao, Na upanga mkali kuwili mikononi mwao.
Ili kufanya kisasi juu ya mataifa, Na adhabu juu ya kabila za watu.
http://www.bibleforandroid.com/v/60046dfc9fb8
Sasa hukumu ya kuwaombea katika Sala nikitumia biblia kama hakimu iko hapa
Mathayo 26:1, 52 (SUV) Ikawa Yesu alipomaliza maneno hayo yote, aliwaambia wanafunzi wake,
Ndipo Yesu akamwambia, Rudisha upanga wako mahali pake, maana wote waushikao upanga, wataangamia kwa upanga.
http://www.bibleforandroid.com/v/edf0561f251a
Tuingie katika Sala hii ni nchi yetu hatuwezi iacha ikilaaniwa kwa vitendo vya watu wachache