TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Hili jitu linastahili kufa kibudu!. Kabla halijafa, lipewe maiti za wanauawa na ccm lilazimishwe kula kisha lizikwe likiwa hai. Lipumbavu sana hili guruwe pori lijiitalo wakatiwote. Lazima life hili.

Akili hizi si ndogo tuu, bali ni matopee kabisa.
 
sipati picha kama mwenyekiti wa ccm geita ndo angeuawa duh kikosi chote cha polis mkoa wa simiyu kingeahamia hapo na kukata wafuasi wengi sana wa upinzani maeneo hayo....
 
sipati picha kama mwenyekiti wa ccm geita ndo angeuawa duh kikosi chote cha polis mkoa wa simiyu kingeahamia hapo na kukata wafuasi wengi sana wa upinzani maeneo hayo....

Mbona watu hao hao wa kanda ya ziwa walimuua Mabina na sisi CCM hatukunyooshea kidole kuwa ni CHADEMA ndio walihusika na mahuaji na badala yake tuliviacha vyombo vya dola vitoe taarifa? Ningeomba na nyinyi pia muwe na subira wakati vyombo vya dola vikiendelea kufanya upelelezi.
 

jifunze kua mkweli ata cku moja itakusaidia kumbuka sababu ya kifo cha mabina ilikua ni mgogoro wa aridhi na aliuwawa na wananchi wala halikua na chembe ya siasa
 

Kuna watu wamezoea kunynyasa wapinzani na kuwaua ...juzi tu kijana mmoja kule Tarime aliuawa leo mwenyekiti wa chadema geita.....Kifo hiki cha Mawazo ni aibu kwa Tanzania wahusika wakamatwe ...mara moja.
 

Mpumba. Vu mkubwa wewe people are grieving wewe unaleta uhayawani wako hapa, waache watu wagrieve machungu yawatoke mioyoni mwao wewe inakuhusu nini? Lofa mkubwa wewe
 

------------------------
Nadhani kichwani hapo lazima utakuwa na Ma...v....i na si ubongo....Kayumaaaa mkumbwa!
 

Hayo maswali yko yote kawaulize Lumumba na Jeshi la polisi
 
Kifo cha huyu mpambanaji kilikuwa cha kikatili sana,kimeumiza wengi hasa kwa kutambua harakati za Marehemu Alphonce toka akiwa Diwani Sombetini Arusha hadi Mwenyekiti Geita na mgombea jimbo la Busanda.

Mengi yamesemwa.lakini kifo kimemkuta akiwa kazini kwenye kampeni za by elections

Kamanda Mawazo ameacha familia inayomtegemea...SO SAD.Tunamtazamaje mkewe na watoto baada ya maziko?

Suala hili si la kulifumbia macho wala kupepesa..kama alipigiwa simu je walkompigia wamekamatwa?
Je kama alitekwa na watu alikuwa peke yake? Hakuna waliowaona watekaji ama gari yao?

Natoa WITO kwa Chama chake kuandaa mazishi makubwa kitaifa kuonyesha kuguswa na mazingira ya kifi chake na kuthamini mchango wake katika chama, pia kuonyesha umma kuwa huko tuendako siko

Uandaliwe utaratibu wa kumfungulia mjane shughuli endelevu ya kuikimu familia

Ukifuatilia post za marehemu siku za mwisho kwenye mitandao ya kijamii unaweza kuona kuna jambo alishalihisi.

Tuungane pamoja pasi kujali itikadi za kisiasa tumzike mwenzetu huyu na kukemea matendo haya kwenye jamii yetu.

 
Mudawote akili yako kama jina lako mda wore haifikiri vizuri sasa mamvi kaingiaje hapa. ...wewe fa....kweli
 
Siasa inatupeleka pabaya sana, hata kwenye kifo? RIP Mawazo Alphonce!
 

Ahsante mkuu!
 

Shikamoo mkuu... Mungu akupe maisha marefu....hakaka hautayaonja mauti.... Mungu akujalie ujitambue na utubu makosa yako.
 
Na huko makaburini tuimbe 'FREDOOM IS COMING TOMORROW'
 
Makamanda tusiwe wasemaji sana tuwe wa vitendo si tunafahamiana Lila mwenyekejiri tunamfahamu
 
Mudawote; Mawazo na Kishimbe wa Kishimbe. Mkae mkielewa kwamba siku zote aliki ndogo haiwezi kuitawala au kuiongoza akili kubwa. Mawazo ya kibajajibaji au Kilusindelusinde ni ya kiubabaishaji acheni ushabiki usiokuwa na tija kwa Taifa Letu kuelekea 2020. Ule uchaguzi wa mwanzo wa Busanda uliomwingiza huyu Mbunge Mteule Bungeni CCM waliiba kura Dereva Taxi alisafirisha hizo kura anapaki pale Mwanza Hotel. Police walipiga mabomu ya machozi ili kuwatawanya wafuasi wa Chadema na kuingiza kura za wizi na kutoa kura halali za Chadema. Hivyo hivyo Igunda Green Guard ya CCM iliua tena kijana Musa Tesha na mwingine toka Kinondoni Dar. Dereva wa Ofisi ya Waziri Mkuu alibeba kura za wizi style ile ile ya Busanda. Arumeru wakati Nasari anagombea mara ya kwanza alichinjwa mfuasi wa Chadema kwa style ya Alphoce Mawazo. Kalenga - Rose Kamilki aliteswa mbele ya Police na Mwenyekiti wa CCM. Mwigulu Nchemba mwasisi wa Green Guards imetosha! Kwa Kifupi "Jeshi la Police na Usalama wa Taifa badala ya kuwasaka kwa gharamakubwa watumiaji wa mitandao wenye kuiponda Serikali hii mbovu , Tumieni uwezo wenu huo kuwakamata wahusika wa mauaji haya na kuwafikisha kwenye mikondo ya Sheria hata kama watu walihusika kisiasa wanafahamika kuanzia Mbunge Mteule na sheria ifuate mkondo wake". Tunataka Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya. Full Stop!
 

Keybord detective umeandika mengi lakini hujasema lolote Ni us...zi mtupu
Mambo ya kitchen party yaashie kwenye kusasambua
Usidhani watu wore Ni wajinga kama wewe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…