TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Haihitaji sayansi au forensic investigation kugundua aliyemuua alphonce mawazo ni LORENSIA BUKWIMBA yote ni sababu mawazo alishakuwa ameshinda ubunge ila walimchakachua hivyo akaelekea mahakamani na dalili zote zilionyesha yule mama angeangukia pua...... All in all duniani hakuna haki, haki itapatikana mbinguni tu ila msiba wa mawazo uliniuma sana maana ndio alikua msingi na nembo ya wapigania maslahi wananchi hasa kwenye jamii za usukumani

RIP mawazo
 

Maccm kwenye kusaka madaraka hayajali sauti wala nini yenyewe ni mbele kwa mbele hata kama ni kwa kumwaga damu za watu
 
Umegonga cha arusha mapema sana! Kesi si ipo huko alikofia, ulienda Kituoni kuuliza? Au ndio umekurupuka toka chooni na wazo hilo baada ya msuba!!
 
Nilikuwa sijapata kumuona Mawazo kabla ila nilikuwa namfatilia misimamo yake na style yake ya kujieleza hadi wiki moja kabla ya kifo chake ndio nilikutana naye mjini Geita.
Nilikuwa katika shughuli zangu na ilikuwa ndio mara ya kwanza nimelala Geita. Nikiwa na wenzangu katika hotel moja mchana tunapata chakula na baada ya hapo moja mbili alitokea Mawazo na nikamtambua kuwa ndio yeye na kumkaribisha mezani kwa maongezi ya hapa na pale. Hakika jamaa alikuwa mcheshi na mwenye hoja nzito zisizo na hisia ya chuki kabisa na kila apitaye pale akawa anamsalimia.
Baada ya kuagana na sisi kuondoka nilikuja kusikia na kuona picha akiwa kauwawa, ile picha haitaki kufutika katika kumbukumbu zangu. Ni ukatili usiosemeka kufanyiwa mwanasiasa katika nchi hii.
Mimi naamini kuwa pamoja na walio fanya dola kuwafahamu na kuwalinda, iko siku haya mambo yatakuja kuwa wazi na watenda wa tukio hilo watalipa uovu wao sio huko mbele za Mungu tuu bali hapa mbele yetu sote tulio umizwa sana na tukio lile ikiwemo familia yake na hasa yule mwanae mpendwa.
 
Uzi huu nilikuwa nauhitaji sana na nina mengi sana kuhusu marehemu Mawazo,sitaweza kuyaweka hapa kwa sababu za kiusalama (familia yangu iliyoko Tz) ukizigatia kipindi cha uchaguzi baadhi ya wana jamiiforum tulipeana namba za simu na akaunti za Facebook. Mie waliohusika huwa kila nikimkumbuka Mawazo nawashitakia tu kwa mungu
 
Fungua ID mpya mkuu uje utiririke boss
 
inaumiza sana
 
Damu ya Kamanda Alphonce Mawazo haitapotea bure
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…