zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Haihitaji sayansi au forensic investigation kugundua aliyemuua alphonce mawazo ni LORENSIA BUKWIMBA yote ni sababu mawazo alishakuwa ameshinda ubunge ila walimchakachua hivyo akaelekea mahakamani na dalili zote zilionyesha yule mama angeangukia pua...... All in all duniani hakuna haki, haki itapatikana mbinguni tu ila msiba wa mawazo uliniuma sana maana ndio alikua msingi na nembo ya wapigania maslahi wananchi hasa kwenye jamii za usukumaninaam,
miaka imepita sasa , mengi yameshatokea na yanatokea. binadamu tumeumbwa na kusahau. hata leo jioni wapo watakao sahau msiba wa watoto walipungana kama vile hapajatokea kitu.
pamoja na siku kupita sitausahau usiku ule nikiwa nakula mara naona mwili wa mtu aliyekatwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake. inatoka sauti kwamba yule hakuwa jambazi wala kibaka bali ni aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo huko kanda ya ziwa anaitwa kamanda Mawazo. maswali ninayojiuliza mpaka leo. ni
1).nani alimua kamanda mawazo? kwanini hajakamatwa mpaka leo?
2) kamanda mawazo alikuwa mtu mbaya hata kustahili kifo cha mateso namna ile? aliyemuua alipata faida gani?
3) je ni sawa kuita nchi kisiwa cha amani wakati watu wanauwawa kwa kukatwa mapanga kama walivyouwawa kina mawazo na akwilini?
Nani alimua kamanda mawazo kwanini hajakamatwa mpaka leo?
UHAI/ HAKI YA KUISHI NDIYO HAKI MAMA. KUMUA MTU KWA SABABU YEYOTE ILE NI MAKOSA MAKUBWA MBELE YA MUNGU. NI ADHABU YA JUU KABISA.
pumzika kwa amani kamanda mawazo.
ipo siku wauji.na watesi wako watajulikana tu.
RIP mawazo