TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Hivi viongozi wetu mtakaa kimya huku wafuasi wenu tunauwawa bila hatia? hapanahapanhapana lazima kifanyike kitu!
 
Kwa mwenye Akili ndogo ndio mwenye uwezo wa kulikubali hili la kuhusika kwa Green Gurd, lakini wenye upeo mkubwa wa kupambanua Mambo tunakaa kimya
 
Bushit.....hili jambo kama ni kweli halivumiliki jeshi la polisi lichukue nafasi yake haraka iwezekanavyo
 
Dah❕➖kamanda Mawazo huyu huyu❕❕❕➖can't believe
 
Ndiye yule alimkodishiaga vijana Zitto wamzomee Katoro halafu akakimbilia kuanzisha uzi JF?
 
Dah jaman Mungu ampokee mahali pema Pumzika kwa Aman Alphoce dah nenda Alphoce tupo nyuma yako kaka tutayaenzi mazuri yote
 
RIP Kamanda ! ccm militias tuone kama ccm na jpjm watasema kitu
 

Ukila hela ya mamvi basi ni shidaa.
 
Pumzika kamanda mawazo. Wamekuua ili mbunge aliyepita kwa wizi asipate pingamizi mahakamani. Kwani pingamizi lilishawekwa ivyo mbunge wa sasaCCM akaogopa iwapo matokeo yakatenguliwa ataanguka. Hizo ndio pesa za Escrow zinafanya kazi.
Ila akumbuke kila kitu kina mwisho. Amebaki kuwa mbunge na pingamizi halina tena nguvu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…