Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
Ni kuzidiana kumbe. Ila mi nadhani siyo green guard. Huyu jamaa atakuwa alikura hela ya mamvi hakuifikisha kunako, maana fisadi aligawa pesa wapewe wapiga kura, sasa yeye kama aliila ndiyo basi. Wote mliochukua hela ya fisadi na hamkufikisha mjiandae. Mimi siamini kama vijana wa ccm wanahusikaAlikuwa kwenye kampeni za kumnadi mgombea udiwani katoro, ndipo walipotokea vijana wa ccm wakawazidi nguvu red bregedia na kumpiga kamanda huyu mawazo