lilian mapembe
Senior Member
- Sep 26, 2015
- 167
- 18
In?sikitisha sana nani anaehubiri siasa za mihemko kama siyo ccm, acheni hizo tambueni yupo Mungu anaehukumu kwahaki. R.I.P.ndugu yetu Alphonce Mawazo. Mungu atajibu tu poleni makamanda wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili swala tunapolijadili tuondoe itikadi za kivyama..
Naamini hakuna chama kinachoruhusu mauaji... Wahuni wachache kwa maslahi yao.
Nimesoma toka mwanzo nashindwa kuelewa chanzo cha tukio kilikuwa nini ..
R.İ.P Aliphonce Mawazo.
Tatizo hizi chaguzi ndogo.
Hakuna ulioisha salama.
Sidhani kama itatokea tcra, polisi au chombo chochote cha dola kitachukua hatua stahili dhidi ya kosa lolote ( liwe la matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii ) linalotendwa na mfuasi wa ccm dhidi ya viongozi wa CHADEMA. Tulishuhudia na tunaendelea kushuhudia matusi ya nguoni toka kwa viongozi wa ccm na wafuasi wao lakini hamna mamlaka yoyote iliyochukua hatua. Hata hili la kamanda Mawazo ( R.I.P ) litapita hivihivi. Rejea mauaji ya kamanda Mbwambo mwenyekiti wa CHADEMA usariver, wauaji walikamatwa lakini eti walitoroka mikononi mwa polisi wakiwa mahakamani. Sisi tushtaki kwa Mungu muumba wa mbingu na nchi, yeye atajua namna njema ya kuwaadhibu hawa wauaji. Inauma sanaNgoja niitume hii kwa Tcra,polisi makao makuu,na kwa kamishna wa upelelezi wa makosa ya jinai sasa hivi,una ushahidi wote tunaouhitaji,thanks in advance!!