IGUDUNG'WA
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 2,071
- 1,317
Pumzika kwa amani Alphonce Mawazo. umekufa kifo cha mateso sana na kifo chako kimenitoa machozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
msamehe bureee!!
Acha kukurupuka wewe. Hivi mbowe alipouza chama na kukaribisha mamvi mbona hamkupinga kiasai hiki? Kwa nini uhusishe hili suala na chama?? Yaani nyie nyumbu akili zenu zimepinda kweli. Sisi tunasikitika lakini hatukubali huo uzushi wenu wa kusema ni vijana wa CCM. Ninyi chadema mna historia ya kutishia kuua na kuua. Mbona Dr Slaa mlimtishia kipindi kile mpaka akamuua kuondoka nchini?? Tumieni akili, acheni vyombo vya ulizni vifanye uchunguzi na vitoe taarifa, siyo kuendeshwa na mihemuko.Mazingira ya kifo cha Alphonce Mawazo kimeliza wengi. Kama kweli ni vijana wa Greenguard wa CCM walichukua mapanga zao na manondo wakamshambulia Alphonce Mawazo hadi kujeruhi na baada kufariki basi vijana hao walaaniwe na wao watalipwa hivyo vivyo.
Hakuna mwenye mamlaka ya kumtoa uhai wa Mtu mwingine isipokuwa Mungu pekee. Sisi tunasema hao wote walionyosha mikono yao juu ya ndugu yetu hadi umauti ukamkuta tunawalaani kwa nguvu zote. Ieleweke kuwa hakuna mtu atayetoa uhai wa mwingine kwa umwagaji wa damu akaendelea kuishi na kubakia salama. Mkono wa Mungu wenye hasira ukapate kuwawakia na kuwateketeza kabisa. Kitendo hiki ni zaidi ya Uhayawani.
Tunamwomba Mungu vijana hao waliofanya jambo hili kamwe asilani wasiishi, na wao wakaonje mauti. Huu ni zaidi ya ushetani.. na walaaniwe wote waliofanya jambo hili na tunamwomba Mungu asimhurumie hata mmoja wao. Mungu akawaangamize wote wasiendelee kuvuta pumzi hii wanaovuta wanadamu wengine. NA WALAANIWE KABISA, MAANA HAO NI KIZAZI CHA LAANA, HAWAPASWI KUISHI.
Tunaomba wakati huu wa majonzi Mungu akawape moyo wa subira famili ya marehemu ndugu yetu Alphonce Mawazo hasa wakati huu wa majonzi kwao. Pia tunaomba moyo wa uvumilivu kwa chama chake kwani alikuwa kiungo kikubwa sana na hasa huko kanda ya ziwa. MAY THE ALMIGHTY GOD REST HIS SOUL IN PEACE. R.i.p Komredi na Kamanda Alphonce Mawazo, hatutakusahau, tutakuenzi milele. AMINA.
Yaani watu wanasikitika, wana majonzi, wewe unaleta kebehi zako za kipumbavu humu! Huna hata haya Mjukuu wa sheitwani wewe na ulaaniwe na kila kiumbe diuniani, una roho ya kinyama kaishi na nguruwe mwituni huko.Acha kukurupuka wewe. Hivi mbowe alipouza chama na kukaribisha mamvi mbona hamkupinga kiasai hiki? Kwa nini uhusishe hili suala na chama?? Yaani nyie nyumbu akili zenu zimepinda kweli. Sisi tunasikitika lakini hatukubali huo uzushi wenu wa kusema ni vijana wa CCM. Ninyi chadema mna historia ya kutishia kuua na kuua. Mbona Dr Slaa mlimtishia kipindi kile mpaka akamuua kuondoka nchini?? Tumieni akili, acheni vyombo vya ulizni vifanye uchunguzi na vitoe taarifa, siyo kuendeshwa na mihemuko.
Hii nchi kwa kweli bado sana kama tuna watu wenye mawazo ya namna hii
hizi laana zinachosha toka
Dr mvungi
Dr Ulimboka
Kibanda
Mwangosi
Tukio la Soweto
Moses Machali na Kiwia
Mch.Mtikila
hizi laana zote hawa watu wangekuwa vichaa na watoto wao
kweli sisi tunamwachia Mungu kila kitu
Mazingira ya kifo cha Alphonce Mawazo kimeliza wengi. Kama kweli ni vijana wa Greenguard wa CCM walichukua mapanga zao na manondo wakamshambulia Alphonce Mawazo hadi kujeruhi na baada kufariki basi vijana hao walaaniwe na wao watalipwa hivyo vivyo.
Hakuna mwenye mamlaka ya kumtoa uhai wa Mtu mwingine isipokuwa Mungu pekee. Sisi tunasema hao wote walionyosha mikono yao juu ya ndugu yetu hadi umauti ukamkuta tunawalaani kwa nguvu zote. Ieleweke kuwa hakuna mtu atayetoa uhai wa mwingine kwa umwagaji wa damu akaendelea kuishi na kubakia salama. Mkono wa Mungu wenye hasira ukapate kuwawakia na kuwateketeza kabisa. Kitendo hiki ni zaidi ya Uhayawani.
Tunamwomba Mungu vijana hao waliofanya jambo hili kamwe asilani wasiishi, na wao wakaonje mauti. Huu ni zaidi ya ushetani.. na walaaniwe wote waliofanya jambo hili na tunamwomba Mungu asimhurumie hata mmoja wao. Mungu akawaangamize wote wasiendelee kuvuta pumzi hii wanaovuta wanadamu wengine. NA WALAANIWE KABISA, MAANA HAO NI KIZAZI CHA LAANA, HAWAPASWI KUISHI.
Tunaomba wakati huu wa majonzi Mungu akawape moyo wa subira famili ya marehemu ndugu yetu Alphonce Mawazo hasa wakati huu wa majonzi kwao. Pia tunaomba moyo wa uvumilivu kwa chama chake kwani alikuwa kiungo kikubwa sana na hasa huko kanda ya ziwa. MAY THE ALMIGHTY GOD REST HIS SOUL IN PEACE. R.i.p Komredi na Kamanda Alphonce Mawazo, hatutakusahau, tutakuenzi milele. AMINA.
Toka zako. Laana haiwezi kunipata kwa sababu nyie mahayawani wa chadema akili zenu zimepinda. Inakuwaje tukio linatokea bila hata ushahidi unaanza kutuhumu??? Mimi nimesikitka na huo unyama lakini siwezi kuwatupia lawama kundi fulani bila ushahidi.Yaani watu wanasikitika, wana majonzi, wewe unaleta kebehi zako za kipumbavu humu! Huna hata haya Mjukuu wa sheitwani wewe na ulaaniwe na kila kiumbe diuniani, una roho ya kinyama kaishi na nguruwe mwituni huko.
Kweli umenena. Mi nashangaa wanaokurupuka kusingizia green guard, wakati CCM sasa tumetulia tunashangilia ushindi. Na kumbukeni chadema walikamatwa na mapanga kipindi cha uchaguzi. Sema chadema wengi ni nyumbu akili hamunaMkuu kabla atujawahukumu green guard, inabidi tuwaulize
Mbowe nani alimuuwa chacha wangwe?
Lowassa nani alimuuwa Mtikila?
Lowassa nani alimumwagia tindikali kubenea?
Mbowe nani alitishia kumuuwa Dr Slaa wakati wa kampeni?
Hapo tunaweza kupata pa kuanzia.
Kwa nini Chadema wengi hamuoneshi kuguswa kwa namna Yoyote ile na kifo cha aliekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa hayati Chacha Zakayo Wangwe? Kama umeweza kutaja kifo cha Mtikila inakuaje ukache cha Chacha aliekutwa kafariki akiwa siti ya nyuma akiwa kafungwa mkanda na hana jeraha lolote na dereva wake wa kichaga akiwa hana ishara yoyote ya kuwa kapata ajali