TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Pumzika kwa amani Alphonce Mawazo. umekufa kifo cha mateso sana na kifo chako kimenitoa machozi
 
Kila m2 ataonja mauti inaweza kuwa kwa ugonjwa,ajali,moto,kuuawa,kunywa sumu nk..kama tu m2 akiugua watu huwa wanahoji je akiuawa kwa nn m2 acnyoshewe kdole? na m2 kunyoshewa kdole hakuthibitishi kuwa kausika,ila vyombo vya uchunguzi ndo vnaweza kuthbtisha hilo..lkn kama wauaji hata mmoja acpokamatwa ntapata hofu juu ya kundi lililonyoshewa kidole.
 
Mazingira ya kifo cha Alphonce Mawazo kimeliza wengi. Kama kweli ni vijana wa Greenguard wa CCM walichukua mapanga zao na manondo wakamshambulia Alphonce Mawazo hadi kujeruhi na baada kufariki basi vijana hao walaaniwe na wao watalipwa hivyo vivyo.
Hakuna mwenye mamlaka ya kumtoa uhai wa Mtu mwingine isipokuwa Mungu pekee. Sisi tunasema hao wote walionyosha mikono yao juu ya ndugu yetu hadi umauti ukamkuta tunawalaani kwa nguvu zote. Ieleweke kuwa hakuna mtu atayetoa uhai wa mwingine kwa umwagaji wa damu akaendelea kuishi na kubakia salama. Mkono wa Mungu wenye hasira ukapate kuwawakia na kuwateketeza kabisa. Kitendo hiki ni zaidi ya Uhayawani.
Tunamwomba Mungu vijana hao waliofanya jambo hili kamwe asilani wasiishi, na wao wakaonje mauti. Huu ni zaidi ya ushetani.. na walaaniwe wote waliofanya jambo hili na tunamwomba Mungu asimhurumie hata mmoja wao. Mungu akawaangamize wote wasiendelee kuvuta pumzi hii wanaovuta wanadamu wengine. NA WALAANIWE KABISA, MAANA HAO NI KIZAZI CHA LAANA, HAWAPASWI KUISHI.
Tunaomba wakati huu wa majonzi Mungu akawape moyo wa subira famili ya marehemu ndugu yetu Alphonce Mawazo hasa wakati huu wa majonzi kwao. Pia tunaomba moyo wa uvumilivu kwa chama chake kwani alikuwa kiungo kikubwa sana na hasa huko kanda ya ziwa. MAY THE ALMIGHTY GOD REST HIS SOUL IN PEACE. R.i.p Komredi na Kamanda Alphonce Mawazo, hatutakusahau, tutakuenzi milele. AMINA.
 
Acha kukurupuka wewe. Hivi mbowe alipouza chama na kukaribisha mamvi mbona hamkupinga kiasai hiki? Kwa nini uhusishe hili suala na chama?? Yaani nyie nyumbu akili zenu zimepinda kweli. Sisi tunasikitika lakini hatukubali huo uzushi wenu wa kusema ni vijana wa CCM. Ninyi chadema mna historia ya kutishia kuua na kuua. Mbona Dr Slaa mlimtishia kipindi kile mpaka akamuua kuondoka nchini?? Tumieni akili, acheni vyombo vya ulizni vifanye uchunguzi na vitoe taarifa, siyo kuendeshwa na mihemuko.
 
hizi laana zinachosha toka
Dr mvungi
Dr Ulimboka
Kibanda
Mwangosi
Tukio la Soweto
Moses Machali na Kiwia
Mch.Mtikila
hizi laana zote hawa watu wangekuwa vichaa na watoto wao
kweli sisi tunamwachia Mungu kila kitu
 
Yaani watu wanasikitika, wana majonzi, wewe unaleta kebehi zako za kipumbavu humu! Huna hata haya Mjukuu wa sheitwani wewe na ulaaniwe na kila kiumbe diuniani, una roho ya kinyama kaishi na nguruwe mwituni huko.
 
Hii nchi kwa kweli bado sana kama tuna watu wenye mawazo ya namna hii

Wewe mwenye uelewa mpana ungeuweka ushahidi kuwa waliohusika ni hao green guard. Uchaguzi ulishapita kitambo, leo waje wamuue kweupe kwa sababu ipi? Hao green guard wametambulika hivyo kwa lipi? Pamoja na majonzi, Tuwe na hekima ya kutafakari kwanza! Kuna mtu anatarajia kufaidika kutokana na vurugu anazotarajia kutokana na hayo mauwaji.
 
hizi laana zinachosha toka
Dr mvungi
Dr Ulimboka
Kibanda
Mwangosi
Tukio la Soweto
Moses Machali na Kiwia
Mch.Mtikila
hizi laana zote hawa watu wangekuwa vichaa na watoto wao
kweli sisi tunamwachia Mungu kila kitu

Kwa nini Chadema wengi hamuoneshi kuguswa kwa namna Yoyote ile na kifo cha aliekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa hayati Chacha Zakayo Wangwe? Kama umeweza kutaja kifo cha Mtikila inakuaje ukache cha Chacha aliekutwa kafariki akiwa siti ya nyuma akiwa kafungwa mkanda na hana jeraha lolote na dereva wake wa kichaga akiwa hana ishara yoyote ya kuwa kapata ajali
 
amen, R.I.P Kamanda mawazo.
tulikupenda kwa harakati zako za kuchanja mbuga kanda ya ziwa kuhubiri mabadiliko na uongozi bora unaopinga ufisadi.
 
Namlilia Kamanda Mawazo. Nimeichukia nchi yangu shauri ya wachache. Eeee MOLA WAPE ADHADU HAPAHAPA WAHUSIKA WOTE. RIP MAWAZO.
 
Mazingira ya kifo cha Alphonce Mawazo kimeliza wengi. Kama kweli ni vijana wa Greenguard wa CCM walichukua mapanga zao na manondo wakamshambulia Alphonce Mawazo hadi kujeruhi na baada kufariki basi vijana hao walaaniwe na wao watalipwa hivyo vivyo.
Hakuna mwenye mamlaka ya kumtoa uhai wa Mtu mwingine isipokuwa Mungu pekee. Sisi tunasema hao wote walionyosha mikono yao juu ya ndugu yetu hadi umauti ukamkuta tunawalaani kwa nguvu zote. Ieleweke kuwa hakuna mtu atayetoa uhai wa mwingine kwa umwagaji wa damu akaendelea kuishi na kubakia salama. Mkono wa Mungu wenye hasira ukapate kuwawakia na kuwateketeza kabisa. Kitendo hiki ni zaidi ya Uhayawani.
Tunamwomba Mungu vijana hao waliofanya jambo hili kamwe asilani wasiishi, na wao wakaonje mauti. Huu ni zaidi ya ushetani.. na walaaniwe wote waliofanya jambo hili na tunamwomba Mungu asimhurumie hata mmoja wao. Mungu akawaangamize wote wasiendelee kuvuta pumzi hii wanaovuta wanadamu wengine. NA WALAANIWE KABISA, MAANA HAO NI KIZAZI CHA LAANA, HAWAPASWI KUISHI.
Tunaomba wakati huu wa majonzi Mungu akawape moyo wa subira famili ya marehemu ndugu yetu Alphonce Mawazo hasa wakati huu wa majonzi kwao. Pia tunaomba moyo wa uvumilivu kwa chama chake kwani alikuwa kiungo kikubwa sana na hasa huko kanda ya ziwa. MAY THE ALMIGHTY GOD REST HIS SOUL IN PEACE. R.i.p Komredi na Kamanda Alphonce Mawazo, hatutakusahau, tutakuenzi milele. AMINA.

Mkuu kabla atujawahukumu green guard, inabidi tuwaulize

Mbowe nani alimuuwa chacha wangwe?

Lowassa nani alimuuwa Mtikila?

Lowassa nani alimumwagia tindikali kubenea?

Mbowe nani alitishia kumuuwa Dr Slaa wakati wa kampeni?

Hapo tunaweza kupata pa kuanzia.
 
Nchi yetu si salama tena. Wapinzani wanauwawa with impunity kama Burundi. Tunakoelekea giza tupu
 
Yaani watu wanasikitika, wana majonzi, wewe unaleta kebehi zako za kipumbavu humu! Huna hata haya Mjukuu wa sheitwani wewe na ulaaniwe na kila kiumbe diuniani, una roho ya kinyama kaishi na nguruwe mwituni huko.
Toka zako. Laana haiwezi kunipata kwa sababu nyie mahayawani wa chadema akili zenu zimepinda. Inakuwaje tukio linatokea bila hata ushahidi unaanza kutuhumu??? Mimi nimesikitka na huo unyama lakini siwezi kuwatupia lawama kundi fulani bila ushahidi.
 
Mkuu kabla atujawahukumu green guard, inabidi tuwaulize

Mbowe nani alimuuwa chacha wangwe?

Lowassa nani alimuuwa Mtikila?

Lowassa nani alimumwagia tindikali kubenea?

Mbowe nani alitishia kumuuwa Dr Slaa wakati wa kampeni?

Hapo tunaweza kupata pa kuanzia.
Kweli umenena. Mi nashangaa wanaokurupuka kusingizia green guard, wakati CCM sasa tumetulia tunashangilia ushindi. Na kumbukeni chadema walikamatwa na mapanga kipindi cha uchaguzi. Sema chadema wengi ni nyumbu akili hamuna
 
Kwa nini Chadema wengi hamuoneshi kuguswa kwa namna Yoyote ile na kifo cha aliekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa hayati Chacha Zakayo Wangwe? Kama umeweza kutaja kifo cha Mtikila inakuaje ukache cha Chacha aliekutwa kafariki akiwa siti ya nyuma akiwa kafungwa mkanda na hana jeraha lolote na dereva wake wa kichaga akiwa hana ishara yoyote ya kuwa kapata ajali

Hivi hakuna utaratibu wa ku-like zaidi ya mara moja
 
Nimesoma comment karibu zote kwenye huu uzi hata sijaelewa tuna taifa la namna gani! mtu ameuwawa a father to somebody, a husband , uncle etc maisha yake yamekatishwa kwanza kwa kuumizwa vibaya pili kwa mujjibu wa picha mitandaoni kwa kucheleweshewa huduma halafu watu wanapiga siasa! shame on you all! kwani hili jukwaa linataka kuwaje hivi utu wetu unakwenda wapi,,,!! leo ni Mawazo kesho je unajua ni nani??? Upuuzi huu usiposhugulikiwa kuna siku utaghalimu nchi pakubwa sana na member wa jamii forum baadhi hawatakuwa na wa kulaumu! Jamani watu walifanya tukio hili wasiposhugulikiwa kikamilifu basi basi we a not safe anymore RIP Mawazo Mungu awape faraja watu wako, poleni Tanzania
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom