TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
kuna tukio la mauaji KTR/IR/1186/2015, lililotokea leo tarehe 14/11/2015 baada ya ALPHONCE S/O MAWAZO, miaka 39, msukuma, mkulima mkazi wa Geita na Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Geita pia katika uchaguzi mkuu uliopita alikuwa mgombea ubunge jimbo la Busanda, alishambuliwa kwa silaha za jadi na watu wanaosadikiwa kuwa zaidi ya kumi kati yao mmoja ametambuliwa kwa jina moja la MABEGA, wanaosadikiwa kuwa wafuasi wa CCM.
Uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa CHADEMA walikuwa na mkutano wao wa ndani katika mtaa wa Ludete A kata ya Ludete katika mji mdogo wa Katoro na CCM pia walikuwa na mkutano na ndani katika ofisi ya CCM, mtaa wa Njiapanda kata ya Ludete, vyama vyote viwili vilikuwa vinaandaa na kuwaapisha mawakala wao kwa ajili ya uchaguzi wa diwani ambao utafanyika kesho tarehe 15/11/2015 katika kata ya Ludete.

Wakati mkutano wa chadema ukiendelea majira ya 12:35 hrs mwanachama mmoja wa CHADEMA alitoa taarifa kuwa nje ya ukumbi kuna watu wanaosadikiwa kuwa wanachama CCM wanarekodi mkutano wao. Baada ya taarifa hiyo wajumbe wote walitoka nje ya ukumbi wakakutana na kundi la hilo nje ya ukumbi. Watu hao waliwashambulia kwa silaha butu 1. ELIZABERT D/O PASCHAL, miaka 43, msukuma, mkulima wa Katoro ameumia kisogoni 2. BAHATI S/O MICHAEL, miaka 38, mzinza, mkulima mkazi wa Katoro, amejeruhiwa kichwani. Wametibiwa kituo cha afya Katoro, wameruhusiwa na hali zao zinaendelea vizuri. Kutokana tukio hilo wajumbe wote wa CHADEMA walitawanyika.

Marehemu alitoweka katika eneo hilo katika mazingira ambayo hata wenzake wameshindwa kuyaelezea. Muda mfupi alionekana akipigwa katika umbali unaokadiliwa kuwa nusu kilometa kutoka ukumbi ulipokuwa unafanyika mkutano wao na watu kumi walioshuka kwenye gari aina ya Land Cruiser ambayo namba zake bado hazijafahamika. Baada ya tukio hilo gari hilo lilielekea barabara ya Geita mjini.

Majeruhi alifariki majira ya saa16:00 hrs wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya wilaya Geita.

Upelelezi wenye kuambatana na msako mkali unaemdelea kuwatafuta watuhumiwa.

. 👆🏻👆🏻
 
Chuki yangu dhidi ya chama cha kijani inaongezeka mara Mia Zaidi.
 
Acha kukurupuka wewe. Hivi mbowe alipouza chama na kukaribisha mamvi mbona hamkupinga kiasai hiki? Kwa nini uhusishe hili suala na chama?? Yaani nyie nyumbu akili zenu zimepinda kweli. Sisi tunasikitika lakini hatukubali huo uzushi wenu wa kusema ni vijana wa CCM. Ninyi chadema mna historia ya kutishia kuua na kuua. Mbona Dr Slaa mlimtishia kipindi kile mpaka akamuua kuondoka nchini?? Tumieni akili, acheni vyombo vya ulizni vifanye uchunguzi na vitoe taarifa, siyo kuendeshwa na mihemuko.
Si kukurupuka!Watu waliokuwepo kwenye tukio tumewasikia kwenye TV wakishuhudia kuwa walikuwa Green guard na walikuwa na magari mawili!Kumbuka hiyo ni mchana kweupee!!Unajiuliza ni kwa nini hadi sasa polisi hawajatoa taarifa ya kukamatwa kwao?Au wanaomba mwongozo kwanza?
 
Elizabeth na Bahati ni wafuasi wa chama gani?...sijaelewa
 
Acha kukurupuka wewe. Hivi mbowe alipouza chama na kukaribisha mamvi mbona hamkupinga kiasai hiki? Kwa nini uhusishe hili suala na chama?? Yaani nyie nyumbu akili zenu zimepinda kweli. Sisi tunasikitika lakini hatukubali huo uzushi wenu wa kusema ni vijana wa CCM. Ninyi chadema mna historia ya kutishia kuua na kuua. Mbona Dr Slaa mlimtishia kipindi kile mpaka akamuua kuondoka nchini?? Tumieni akili, acheni vyombo vya ulizni vifanye uchunguzi na vitoe taarifa, siyo kuendeshwa na mihemuko.

CCM mnadhani nyie ndiyo wenye hatimiliki ya nchi hii.
Mtaweza kutuua wote mkatumaliza?
 
Ni kama kwa kaburu sasa Tanzania Amani hakuna ipo katika media tuu. Inaumiza sana upendo wa Mwafrika haupo tena..Majambazi wana Maisha Marefu Tanzania kuriko Wanasiasa ?? ??
 
hizi laana zinachosha toka
Dr mvungi
Dr Ulimboka
Kibanda
Mwangosi
Tukio la Soweto
Moses Machali na Kiwia
Mch.Mtikila
hizi laana zote hawa watu wangekuwa vichaa na watoto wao
kweli sisi tunamwachia Mungu kila kitu

Chacha wangwe.....
 
Sifikirii kuwa hapo ndio mwisho wa busara zako, binadamu yoyote anapouwawa kinyama namna Hiyo watu wenye busara hushikamana irrespective of our parties... shame on you!

Akiuawa kiongozi wa CCM_Watu wamechoka na CCM.Akiuawa kiongozi wa Chaggadema_Kauawa na GreenGuard:AKILI ZA NYUMBU.Juzi tu hapa MLIKUWA MNAMUOMBEA KIFO Nape Nnauye leo mnajifanya KULIALIA Hapa.UNAFIKI MTUPU KAMA WA Kubenea.CHAGGADEMA PIPOOOOOZ
 
Nimeumizwa sana kwa ukatili huu aliofanyiwa kamanda mawazo..kama binadamu unaweza kumchinja mwenzio namna hii.Tanzania sio salama tena
 
Magufuli kama anataka tu endelea kumheshimu. .. a tafuta namna ya ku ondoa huu upumbavu wa CCM kuwa lazima tu wao wawe ndio viongozi...mwingine akitaka !
 
Hii ndio hatari yenyewe " kuna tukio la mauaji KTR/IR/1186/2015, lililotokea leo tarehe 14/11/2015 baada ya ALPHONCE S/O MAWAZO, miaka 39, msukuma, mkulima mkazi wa Geita na Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Geita pia katika uchaguzi mkuu uliopita alikuwa mgombea ubunge jimbo la Busanda, alishambuliwa kwa silaha za jadi na watu wanaosadikiwa kuwa zaidi ya kumi kati yao mmoja ametambuliwa kwa jina moja la MABEGA, wanaosadikiwa kuwa wafuasi wa CCM.
Uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa CHADEMA walikuwa na mkutano wao wa ndani katika mtaa wa Ludete A kata ya Ludete katika mji mdogo wa Katoro na CCM pia walikuwa na mkutano na ndani katika ofisi ya CCM, mtaa wa Njiapanda kata ya Ludete, vyama vyote viwili vilikuwa vinaandaa na kuwaapisha mawakala wao kwa ajili ya uchaguzi wa diwani ambao utafanyika kesho tarehe 15/11/2015 katika kata ya Ludete.

Wakati mkutano wa chadema ukiendelea majira ya 12:35 hrs mwanachama mmoja wa CHADEMA alitoa taarifa kuwa nje ya ukumbi kuna watu wanaosadikiwa kuwa wanachama CCM wanarekodi mkutano wao. Baada ya taarifa hiyo wajumbe wote walitoka nje ya ukumbi wakakutana na kundi la hilo nje ya ukumbi. Watu hao waliwashambulia kwa silaha butu 1. ELIZABERT D/O PASCHAL, miaka 43, msukuma, mkulima wa Katoro ameumia kisogoni 2. BAHATI S/O MICHAEL, miaka 38, mzinza, mkulima mkazi wa Katoro, amejeruhiwa kichwani. Wametibiwa kituo cha afya Katoro, wameruhusiwa na hali zao zinaendelea vizuri. Kutokana tukio hilo wajumbe wote wa CHADEMA walitawanyika.

Marehemu alitoweka katika eneo hilo katika mazingira ambayo hata wenzake wameshindwa kuyaelezea. Muda mfupi alionekana akipigwa katika umbali unaokadiliwa kuwa nusu kilometa kutoka ukumbi ulipokuwa unafanyika mkutano wao na watu kumi walioshuka kwenye gari aina ya Land Cruiser ambayo namba zake bado hazijafahamika. Baada ya tukio hilo gari hilo lilielekea barabara ya Geita mjini.

Majeruhi alifariki majira ya saa16:00 hrs wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya wilaya Geita.

Upelelezi wenye kuambatana na msako mkali unaemdelea kuwatafuta watuhumiwa."
 
Acha kukurupuka wewe. Hivi mbowe alipouza chama na kukaribisha mamvi mbona hamkupinga kiasai hiki? Kwa nini uhusishe hili suala na chama?? Yaani nyie nyumbu akili zenu zimepinda kweli. Sisi tunasikitika lakini hatukubali huo uzushi wenu wa kusema ni vijana wa CCM. Ninyi chadema mna historia ya kutishia kuua na kuua. Mbona Dr Slaa mlimtishia kipindi kile mpaka akamuua kuondoka nchini?? Tumieni akili, acheni vyombo vya ulizni vifanye uchunguzi na vitoe taarifa, siyo kuendeshwa na mihemuko.

Sio kila sehemu ya kuleta ushabiki.

Grow up.
 
Ni hatari kweli huko tunakoenda. Haya yanatokea wakati tuna Masheikh wanaozea gerezani. Amani tutaiimba sana lakini kama haki haitotendeka basi tutarajie mgeuko. Wale masheikh walivyodhalilishwa wengi tulishangilia na hata kuona wale ni magaidi. Hawana haki ya kusikilizwa. Tukasahau tatizo kubwa la kimfumo ambalo wachache kwa kutumia pesa na mamlaka wana maamuzi juu ya uhai na haki za wengine. Isingedhaniwa siasa tena katika ngazi ya ubunge au udiwani ufikie watu Kutoana roho .Hizi roho ngumu za kuua zinatoka wapi ikiwa wauaji na waliouliwa sio Waislamu?. Sasa hapa najiuliza; Ni UPI UGAIDI NA NANI GAIDI? Yule aliyemuua Mawazo au yule aliyemtuma muuwaji? Haki itendeke kwa nani hasa??.
 
Kifo cha huyu mpambanaji kilikuwa cha kikatili sana,kimeumiza wengi hasa kwa kutambua harakati za Marehemu Alphonce toka akiwa Diwani Sombetini Arusha hadi Mwenyekiti Geita na mgombea jimbo la Busanda.

Mengi yamesemwa.lakini kifo kimemkuta akiwa kazini kwenye kampeni za by elections

Kamanda Mawazo ameacha familia inayomtegemea...SO SAD.Tunamtazamaje mkewe na watoto baada ya maziko?

Suala hili si la kulifumbia macho wala kupepesa..kama alipigiwa simu je walkompigia wamekamatwa?
Je kama alitekwa na watu alikuwa peke yake? Hakuna waliowaona watekaji ama gari yao?

Natoa WITO kwa Chama chake kuandaa mazishi makubwa kitaifa kuonyesha kuguswa na mazingira ya kifi chake na kuthamini mchango wake katika chama, pia kuonyesha umma kuwa huko tuendako siko

Uandaliwe utaratibu wa kumfungulia mjane shughuli endelevu ya kuikimu familia

Ukifuatilia post za marehemu siku za mwisho kwenye mitandao ya kijamii unaweza kuona kuna jambo alishalihisi.

Tuungane pamoja pasi kujali itikadi za kisiasa tumzike mwenzetu huyu na kukemea matendo haya kwenye jamii yetu.

Mbona kamanda Chacha Wangwe hakuzikwa kitaifa na chama wakati alikuwa makamu mwenyekiti wa chama. Mpaka leo hata familia yake mmeitelekeza bila msaada wowote. Acheni uhuni huu.
 
Kwa nini Chadema wengi hamuoneshi kuguswa kwa namna Yoyote ile na kifo cha aliekuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa hayati Chacha Zakayo Wangwe? Kama umeweza kutaja kifo cha Mtikila inakuaje ukache cha Chacha aliekutwa kafariki akiwa siti ya nyuma akiwa kafungwa mkanda na hana jeraha lolote na dereva wake wa kichaga akiwa hana ishara yoyote ya kuwa kapata ajali

Una matatizo ya akili wewe naona unafurahia kifo cha mawazo shetani mkubwa ww.kanda ya ziwa ndo zenu bado demokrasia maana hata machemli na mwenzake mlipiga hivihivi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom