Pre GE2025 Mwenyekiti wa Chadema Wakili T Lissu Leo atasindikizana na wependa haki wengine kwenye kesi ya Dr Slaa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Linus w slaa

New Member
Joined
Jan 29, 2025
Posts
4
Reaction score
7
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Wakili TUNDU LISSU, leo tarehe 30 Januari 2025 ataungana na WAPENDA HAKI WENGI katika KUPOKEA Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam kwenye KESI ya DKT. WILBROD SLAA dhidi ya JAMHURI.
IMG_20250130_112302_844.jpg

20250128_111716.jpg
 
Dr slaa huyu aliesema lissu kajipiga risasi? Na kutunga kitabu kwamba Chadema chama cha kigaidi?Yaani leo slaa ni muhimu anaheshimiwa na lissu kuliko mbowe alievurumishiwa matusi? Kweli lissu anafata maelekezo ya maria
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Wakili TUNDU LISSU, leo tarehe 30 Januari 2025 ataungana na WAPENDA HAKI WENGI katika KUPOKEA Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam kwenye KESI ya DKT. WILBROD SLAA dhidi ya JAMHURI.
Tundu Lisu, Kibatala, Madeleka n.k wafike kumsaidia huyu mzee
 
Dr slaa huyu aliesema lissu kajipiga risasi? Na kutunga kitabu kwamba Chadema chama cha kigaidi?Yaani leo slaa ni muhimu anaheshimiwa na lissu kuliko mbowe alievurumishiwa matusi? Kweli lissu anafata maelekezo ya maria
Wewe ni Mkristo unaijua vema kanuni ya msamaha 🤣
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Wakili TUNDU LISSU, leo tarehe 30 Januari 2025 ataungana na WAPENDA HAKI WENGI katika KUPOKEA Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam kwenye KESI ya DKT. WILBROD SLAA dhidi ya JAMHURI.
Chadema wanasahau mapema sana,huyu mzee aliwakashifu sana sana kipindi cha meko, leo hii wamesahau na kuanza kumpambania!!
 
Wabongo mmezoea kuishi na visasi mpaka mnaenda mchanga mwingi ukiuliza vitu vyenyewe ni siasa tu..
Ni hawa wajinga wasiojua siasa, chama cha siasa kumpoteza mwanachama mmoja ni gharama kubwa na kinahitaji watu, Dr Slaa bado ni mtu mhimu sn popote pale hata kama alikosea naye siyo malaika
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Wakili TUNDU LISSU, leo tarehe 30 Januari 2025 ataungana na WAPENDA HAKI WENGI katika KUPOKEA Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam kwenye KESI ya DKT. WILBROD SLAA dhidi ya JAMHURI.
Mmeanza matembezi yenu ya hiyari tena?
Bila kibali mtapigwa tuu.
 
Back
Top Bottom