Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dr hajawahi sema Tundu alijipiga risasiDr slaa huyu aliesema lissu kajipiga risasi? Na kutunga kitabu kwamba Chadema chama cha kigaidi?Yaani leo slaa ni muhimu anaheshimiwa na lissu kuliko mbowe alievurumishiwa matusi? Kweli lissu anafata maelekezo ya maria
Kwenye siasa MANENO yanavumilika. Ndiyo maana unaona hata CCM wapo watu wengi ambao wamewahi kupita upinzani na walikuwa na maneno makali ya kuumiza na kukera.Chadema wanasahau mapema sana,huyu mzee aliwakashifu sana sana kipindi cha meko, leo hii wamesahau na kuanza kumpambania!!
Unamuamini Lema? Lema katika kitabu chake kaandika mbowe mwizi, tapeli na gaidi. Lengo lilikuwa kumchafua ili yeye na kundi lake Lopate madaraka ya chama. Juzi umemsikia anajikosha kwa MboweDr hajawahi sema Tundu alijipiga risasi
Dr Slaa alifafanua vizuri kabisa mambo yaliyofanyika ndani ya CHADEMA behind his back alipokuwa katibu mkuu. Hivyo alitutahadharisha tu kuwa makini ku-run into conclusion.
Mbona hata Lema juzi katuthibitishia mipango ovu ya Mbowe kuhusu kuwa-exit Tundu na marafiki zake ndani ya CHADEMA? na ikawa sababu ya Tundu Lisu kuamua kuchukua fomu ya kugombea uwenyekiti?
Huyu dada malaria sugu kabla ya uchaguzi wa Chadema alikuwa anatoa mada nyingi za dini na mawaidha ya kiislamu lakini siku hizi mada zake ni za kumnanga Lisuu tu amesahau kabisa Uislamu wake kazi ni moja tu kumshambulia Lissu sijui kama Uislamu ndiyo unamulekeza kuendekeza chuki kiasi hiki.Kwanini wewe na mumeo msimsaidie Mbowe kama unaona Lisu kamtupa Mbowe?
Atakusomea itqaf huyo mjahidinaWewe ni Mkristo unaijua vema kanuni ya msamaha 🤣
slaa ni msaliti, alikimbia katikati ya mapambano akaenda kwa magfuli...huyo Sweden leo mnamkumbatia msalitiMwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Wakili TUNDU LISSU, leo tarehe 30 Januari 2025 ataungana na WAPENDA HAKI WENGI katika KUPOKEA Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam kwenye KESI ya DKT. WILBROD SLAA dhidi ya JAMHURI.
Lissu na wenzie wanakwenda kama Wanasheria na siyo kama CHADEMA, kumbuka pia kwamba TLS na Wanasheria wengine si mali ya CHADEMA bali ni mali ya Watanzania woteMwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Wakili TUNDU LISSU, leo tarehe 30 Januari 2025 ataungana na WAPENDA HAKI WENGI katika KUPOKEA Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam kwenye KESI ya DKT. WILBROD SLAA dhidi ya JAMHURI.
Namfahamu hana dini yoyote ni tapeli tu kama UWT wenzake akina Lucas MwashambwaHuyu dada malaria sugu kabla ya uchaguzi wa Chadema alikuwa anatoa mada nyingi za dini na mawaidha ya kiislamu lakini siku hizi mada zake ni za kumnanga Lisuu tu amesahau kabisa Uislamu wake kazi ni moja tu kumshambulia Lissu sijui kama Uislamu ndiyo unamulekeza kuendekeza chuki kiasi hiki.
Kwenye suala la Utapeli wala sihitaji Lema aniaminishe.Unamuamini Lema? Lema katika kitabu chake kaandika mbowe mwizi, tapeli na gaidi. Lengo lilikuwa kumchafua ili yeye na kundi lake Lopate madaraka ya chama. Juzi umemsikia anajikosha kwa Mbowe
Kwani hujui Chadomo imekuwa tawi la TLS?Lissu na wenzie wanakwenda kama Wanasheria na siyo kama CHADEMA, kumbuka pia kwamba TLS na Wanasheria wengine si mali ya CHADEMA bali ni mali ya Watanzania wote
sifa kubwa ya masikini yeyote ni chuki,sasa kama alisemwa lissu mbona kipele kinakuwasha weweDr slaa huyu aliesema lissu kajipiga risasi? Na kutunga kitabu kwamba Chadema chama cha kigaidi?Yaani leo slaa ni muhimu anaheshimiwa na lissu kuliko mbowe alievurumishiwa matusi? Kweli lissu anafata maelekezo ya maria
Lucas kule Dodoma alibakwa ndiyo maana siku hizi amekuwa mpole sanaNamfahamu hana dini yoyote ni tapeli tu kama UWT wenzake akina Lucas Mwashambwa
Siyo kweli, alipata ajira Dec kapangiwa vijijini ni VEO hivyo muda mwingi anashughulika na ujenzi wa madarasa kupokea wanafunzi wapya, kusikiliza kero za wananchi, kimsingi yupo busy snLucas kule Dodoma alibakwa ndiyo maana siku hizi amekuwa mpole sana
Can you share that clip where he spoke those words! It’s good we remind ourselves.Dr slaa huyu aliesema lissu kajipiga risasi? Na kutunga kitabu kwamba Chadema chama cha kigaidi?Yaani leo slaa ni muhimu anaheshimiwa na lissu kuliko mbowe alievurumishiwa matusi? Kweli lissu anafata maelekezo ya maria