Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi amvaa John Heche asema haogopi kufukuzwa

Kenge kabisa. Ccm wameiba ngapi?
 
Anamvaa bila data?

Huyo mtu anayesema Heche kaiba anashindwa nini kuja na data zenye namba kuwa hiki ndio kiasi kilichoibiwa?

Mimi sikubaliani na Mpina katika mambo baadhi ila Mpina mara zote akisema kuna wizi anakuja na karatasi kabisa za data.

Mfano mzuri ni kile kipindi alivyokuja na data za majizi ya sukari , data zikiwepo kuonyesha Heche kaiba mimi sitamtetea nitasema awajibike kwa hilo .

Ila kwa hiki wanachokifanya sasa wazi ni project nyingine maana naona script ilianzia kwa ticket feki ya ndege kutoka kwa Yericko Nyerere
 
Pigeni block / ignore list hii mbwa iliyoanzisha mada ya hoi ya kipuuzi .******* Kama hawa pigeni block tu kwenye ignore list , hawa ni Kama condom zilizotumika
Heche Akinya Mavi utayaita Pilau mpumbavu wewe
 

Attachments

  • Screenshot 2026-07-04 012338.png
    472.8 KB · Views: 13
Tuhuma zenyewe hazitajwi kiasi cha fedha kilichokwapuliwa wala wadau hawatajwi. Mambo mengine ni porojo
 
Hawa jamaa wanalipwa na nani?

Mbona mnyika amefafanua vizuri tu...

Kwamba hawakuelewa?

Kwanini aliyekula pesa awe Heche peke yake wakati pesa haitoki bila katibu mkuu kusinya!

Why Heche?

Kuna namna huyu mkurya amewa disappoint wahuni...
Kama wanachama mna mawazo haya, ipo tatizo.

Watu hawaongelei hela inayoingia katika chama moja kwa moja. Wanaongelea hela anayopewa Heche mwenyewe!

Hili lipo wazi, ajitokeze na kuliongelea mambo yaishe. Mtu mwingine hawezi kuliongelea hili.
 
Yaani kwenye kufisidi hela, John Heche HASINGIZIWI! Ilawahi kukwiba Pesa za ushindi wa EDUCHE 2006 pale SAUT!
 
Kama wanachama mna mawazo haya, ipo tatizo.

Watu hawaongelei hela inayoingia katika chama moja kwa moja. Wanaongelea hela anayopewa Heche mwenyewe!

Hili lipo wazi, ajitokeze na kuliongelea mambo yaishe. Mtu mwingine hawezi kuliongelea hili.
Sasa muwe specific...

Heche amekula Tsh ngapi za michango?
 
Kama wanachama mna mawazo haya, ipo tatizo.

Watu hawaongelei hela inayoingia katika chama moja kwa moja. Wanaongelea hela anayopewa Heche mwenyewe!

Hili lipo wazi, ajitokeze na kuliongelea mambo yaishe. Mtu mwingine hawezi kuliongelea hili.
Kapewa lini na wapi? Kiasi gani? Kwani wanaficha nini kama wameamua kuita press conference?
 
Tayari ameshaliwa kichwa, aende chauma akapambane๐Ÿผ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ