polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 4,158
- 7,667
Hata isipo kubalika ninyi haiwahusu pambaneni na aliye jipitisha chamaniHii Haikubaliki mtu akitoa maoni yake na kukemea Ufisadi wa John Heche anafukuzwa Chama au kusimamishwa uanachama?
Hata isipo kubalika ninyi haiwahusu pambaneni na aliye jipitisha chamaniHii Haikubaliki mtu akitoa maoni yake na kukemea Ufisadi wa John Heche anafukuzwa Chama au kusimamishwa uanachama?
Mnajitekenya na mnacheka wenyewe hata aibu hamuoniTuhuma zake za Ufisadi zimemganda kama mavi kwenye blanketi huwezi kung’uta yakaisha
Kenge kabisa. Ccm wameiba ngapi?Sakata la tuhuma za ufisadi wa John Heche limechukua sura mpya baada ya mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya kilindi kutamka hadharani kuwa John Heche awapishe na tuhuma zake za Ufisadi na haogopi kufukuzwa ndani ya Chama.
==========
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Mathias Cosmas amesema hawaogopi kusema ukweli juu ya madhaifu yaliyopo ndani ya chama hicho na wataendelea kusimamia ukweli.
Shida upo period mpaka umejisahaulisha kilichomuondoa ndugai kwenye uspikaHii Haikubaliki mtu akitoa maoni yake na kukemea Ufisadi wa John Heche anafukuzwa Chama au kusimamishwa uanachama?
Kama wanachama mna mawazo haya, ipo tatizo.Hawa jamaa wanalipwa na nani?
Mbona mnyika amefafanua vizuri tu...
Kwamba hawakuelewa?
Kwanini aliyekula pesa awe Heche peke yake wakati pesa haitoki bila katibu mkuu kusinya!
Why Heche?
Kuna namna huyu mkurya amewa disappoint wahuni...
Wewe siku hizi unabubujikwa na haja kubwa baada ya wahuni kutatua marinda yako mkesha wa mwaka mpyaHeche ni lazima awekwe pembeni haraka sana kabla hajaleta mpasuko kwa chama
Yaani kwenye kufisidi hela, John Heche HASINGIZIWI! Ilawahi kukwiba Pesa za ushindi wa EDUCHE 2006 pale SAUT!Sakata la tuhuma za ufisadi wa John Heche limechukua sura mpya baada ya mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya kilindi kutamka hadharani kuwa John Heche awapishe na tuhuma zake za Ufisadi na haogopi kufukuzwa ndani ya Chama.
==========
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Mathias Cosmas amesema hawaogopi kusema ukweli juu ya madhaifu yaliyopo ndani ya chama hicho na wataendelea kusimamia ukweli.
Sasa muwe specific...Kama wanachama mna mawazo haya, ipo tatizo.
Watu hawaongelei hela inayoingia katika chama moja kwa moja. Wanaongelea hela anayopewa Heche mwenyewe!
Hili lipo wazi, ajitokeze na kuliongelea mambo yaishe. Mtu mwingine hawezi kuliongelea hili.
Quote me!Fisadi taangu Chuo?😂😂😂
Safi sana
Kapewa lini na wapi? Kiasi gani? Kwani wanaficha nini kama wameamua kuita press conference?Kama wanachama mna mawazo haya, ipo tatizo.
Watu hawaongelei hela inayoingia katika chama moja kwa moja. Wanaongelea hela anayopewa Heche mwenyewe!
Hili lipo wazi, ajitokeze na kuliongelea mambo yaishe. Mtu mwingine hawezi kuliongelea hili.
Bora yeye amefukuzwa Polepole alipotezwa kabisaHii Haikubaliki mtu akitoa maoni yake na kukemea Ufisadi wa John Heche anafukuzwa Chama au kusimamishwa uanachama?