Mwenyekiti wa CHADEMA yupo wapi? Mbona kimya sana, hajatia hata neno

Kwani masuala makubwa kwa leo si ya Kakoko?
 
Subiri matusi badala ya majibu.

Leo wako busy wanajadili VP ambao kwa maneno yao ya Jan na Feb 2021 ni marehemu.
Leo issue kubwa ni ufisadi wa kutisha kufanywa na kada wa ccm
 
Subiri matusi badala ya majibu.

Leo wako busy wanajadili VP ambao kwa maneno yao ya Jan na Feb 2021 ni marehemu.
Pole na msiba mkuu, shoka moja mbuyu chani kwa kasi ya kimbunga, ila kama vp fresh tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…