Mwenyekiti wa CHADEMA yupo wapi? Mbona kimya sana, hajatia hata neno

Muda wowote CCM wanaweza kurudisha goli ikiwa moja moja.
"Kundandandeki dhake"
 
Mwacha apumzike kupata kipigo kibaya cha uchaguzi, it is time for reflection and soul searching. He needs time to chart a new path for the party as it has to plan how to regain a huge lost ground.
 
Unataka mwenyekiti muone anazulula kama chizi buguruni sokoni na Kariakoo? Grow up boy, Chama sio mitandaoni, mwenyekiti yupo chimbo akiandaa mikakati ya kichama na namna ya kuchukua dola 2025.
Umenikumbusha bwana yule wakati yupo Njombe
 
Yuko kwenye matibabu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…