GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
Una Ushahidi usio na Shaka kuwa huyo Basha wako / wenu MINOCYCLINE mnayenihusisha nae Kutwa ndiyo Mimi GENTAMYCINE?Kule unajiita MINOCYCLINE ulisema umeachana na simba huku bado unajipendekeza. Upo kama malaya.
Mumeo.Kitendawili
"alisema hatajihusisha na klabu ile mpaka mwl. msaidizi wa klabu ile ameondolewa"
Of course yes. Umefurahi?Mumeo.
nakuwa sheikh yahya kwa muda.
natabiri kuna mtu atakula ban kwa kupitia uzi huu au uzi wenyewe unaweza ukafutwa au vyote viwili vinaweza kutokea kwa pamoja.
lisipotokea jambo lolote kati ya niliyotabiri, mje mnipige mawe, nimekaa paleeee.
Wewe unahisi atakuwa ni nani?
Lakini kwenu kumoja ndugu yako huyuPopoma ni kirusi kikubwa sana ndani ya Simba,najivunia sana uwepo wake.
Ni matumaini yetu sasa baada ya Kutabiri na Utabiri kutimia hapo uliko Umefurahi, Mshahara wako Utaongezeka, Utakuwa na IQ Kubwa na utamzidi pia Kiumaarufu.utabiri wangu umetimia.haya tuendelee na mengine.
View attachment 2364633
Karibu minocylne,i guess ni zamu ya kumpopoa matola sasaNi matumaini yetu sasa baada ya Kutabiri na Utabiri kutimia hapo uliko Umefurahi, Mshahara wako Utaongezeka, Utakuwa na IQ Kubwa na utamzidi pia Kiumaarufu.
Hongera kwa Kumpa hiyo Adhabu!!!!!
[emoji3][emoji3][emoji3]utabiri wangu umetimia.haya tuendelee na mengine.
View attachment 2364633
Naona umeifukua ID yako kuwa makini na hiyo isije ikapigwa banned hakuna masikhara hapa.Ni matumaini yetu sasa baada ya Kutabiri na Utabiri kutimia hapo uliko Umefurahi, Mshahara wako Utaongezeka, Utakuwa na IQ Kubwa na utamzidi pia Kiumaarufu.
Hongera kwa Kumpa hiyo Adhabu!!!!!
Naona utabiri umeenda vizurinakuwa sheikh yahya kwa muda.
natabiri kuna mtu atakula ban kwa kupitia uzi huu au uzi wenyewe unaweza ukafutwa au vyote viwili vinaweza kutokea kwa pamoja.
lisipotokea jambo lolote kati ya niliyotabiri, mje mnipige mawe, nimekaa paleeee.
pole sana popoma.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni matumaini yetu sasa baada ya Kutabiri na Utabiri kutimia hapo uliko Umefurahi, Mshahara wako Utaongezeka, Utakuwa na IQ Kubwa na utamzidi pia Kiumaarufu.
Hongera kwa Kumpa hiyo Adhabu!!!!!
Mnanikosea sana kunifananisha na huyu mwe.hu.
Ngoja atoke lupango atakuja kuthibitisha udugu wenuMnanikosea sana kunifananisha na huyu mwe.hu.
Akithibitisha hilo nahamia rasmi klabu yakeNgoja atoke lupango atakuja kuthibitisha udugu wenu
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
DealAkithibitisha hilo nahamia rasmi klabu yake
Ni vile humjui tu.Huyo mtu namjua vzuri amedisco chuo mara tatu,Hana shule kichwani kabsa.