Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu acha 'Kujishtukia' na 'Kujihami' tunakujua Wewe ndiyo 'Kirusi' Kikuu ndani ya Klabu yetu

Kitendawili
"alisema hatajihusisha na klabu ile mpaka mwl. msaidizi wa klabu ile ameondolewa"
 
nakuwa sheikh yahya kwa muda.
natabiri kuna mtu atakula ban kwa kupitia uzi huu au uzi wenyewe unaweza ukafutwa au vyote viwili vinaweza kutokea kwa pamoja.

lisipotokea jambo lolote kati ya niliyotabiri, mje mnipige mawe, nimekaa paleeee.
Wewe unahisi atakuwa ni nani?

utabiri wangu umetimia.haya tuendelee na mengine.
IMG_20220922_145959.jpg
 
Ila Popoma anatesekwa na huyo kiongozi wa kikatiba maana kila siku anasema kafanya hivi mara vile
 
Ni matumaini yetu sasa baada ya Kutabiri na Utabiri kutimia hapo uliko Umefurahi, Mshahara wako Utaongezeka, Utakuwa na IQ Kubwa na utamzidi pia Kiumaarufu.

Hongera kwa Kumpa hiyo Adhabu!!!!!
Karibu minocylne,i guess ni zamu ya kumpopoa matola sasa
 
Ni matumaini yetu sasa baada ya Kutabiri na Utabiri kutimia hapo uliko Umefurahi, Mshahara wako Utaongezeka, Utakuwa na IQ Kubwa na utamzidi pia Kiumaarufu.

Hongera kwa Kumpa hiyo Adhabu!!!!!
Naona umeifukua ID yako kuwa makini na hiyo isije ikapigwa banned hakuna masikhara hapa.
 
nakuwa sheikh yahya kwa muda.
natabiri kuna mtu atakula ban kwa kupitia uzi huu au uzi wenyewe unaweza ukafutwa au vyote viwili vinaweza kutokea kwa pamoja.

lisipotokea jambo lolote kati ya niliyotabiri, mje mnipige mawe, nimekaa paleeee.
Naona utabiri umeenda vizuri
 
Ni matumaini yetu sasa baada ya Kutabiri na Utabiri kutimia hapo uliko Umefurahi, Mshahara wako Utaongezeka, Utakuwa na IQ Kubwa na utamzidi pia Kiumaarufu.

Hongera kwa Kumpa hiyo Adhabu!!!!!
pole sana popoma.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom