Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu acha 'Kujishtukia' na 'Kujihami' tunakujua Wewe ndiyo 'Kirusi' Kikuu ndani ya Klabu yetu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama kuna sehemu ambayo GENTAMYCINE nilikuwa nakutamani ujilete Mwenyewe na nikuparure Kihasira kama Simba Mnyama afanyavyo Msituni ni hii uliyoingia ( uliyojiingiza ) Mwenyewe.

Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC Murtaza Mangungu hivi karibuni umekuja na Shutuma kuwa kuna Watu ndani ya Simba SC wanakuja na Propaganda ili Kuwavurugeni Viongozi, Benchi la Ufundi na Wachezaji wa Simba SC ili iharibikiwe na isifanye vizuri.

Mwenyekiti Mangungu najua hapa wana Simba SC Oya Oya ( Majuha ) watakuamini na Kukuona ni bonge la Kiongozi ila wenye Akili Kukuzidi na tunaokujua vyema tunajua kuwa Umejitokeza hivi sasa Ili Kuwazuga wana Simba SC kwakuwa muda wako wa Uongozi ndani ya Simba SC umeshamalizika na unajua hutakiwi na hutochaguliwa tena hivyo Unajipendekeza kwa Wanachama na wana Simba SC wote ili Wakuamini na Uchaguliwe tena ili uendelee Kuisaliti na Kuiangamiza Simba SC.

Mwenyekiti Mangungu Wabobezi wa Uchunguzi na Ufukuaji wa Taarifa Ngumu na za Hatari akina GENTAMYCINE tunajua ( najua ) kuwa Kwanza Wewe siyo mwana Simba SC 100% kama alivyo Mdogo wako mwenye Rafiki yake mkubwa Kawe ( ambaye zamani alikuwa Mstahiki Meya ) na Mwanae Kipenzi Haji.

Mwenyekiti Mangungu Mimi GENTAMYCINE natambua na nina uhakika kuwa hukutakiwa kuwa hapo Simba SC, ila umewekwa Kimkakati na Kiongozi Mmoja mkubwa tu na Mstaafu Kikatiba ndani ya Tanzania Ili Kuihujumu Simba SC na Kutuhujumu wana Simba SC.

Mwenyekiti Mangungu MImi GENTAMYCINE natambua tena nikiwa na uhakika kuwa huyo Kiongozi mkubwa Mstaafu nchini Tanzania alikupa Pesa nyingi mno ulipogombea Uchaguzi Simba SC na ukazitumia kwa Kuhonga Wajumbe wengi huku zingine ukiwapa baadhi ya Waandishi wa Habari ( hasa wa Redio ) ili wawe Wanakupigia Promo kuongeza Ushawishi na ukubalike na upite.

Mwenyekiti Mangungu wana Simba SC wote wenye Akili walikuwa ( tulikuwa ) tunamtaka Mtani wangu wa Kirangi ( Kondoa Dodoma ) Kamarada ( Comrade ) Juma Suleiman Nkamia, ila Nguvu yako ya Pesa nyingi ulizokuwa nazo baada ya kupewa na Kiongozi huyo mkubwa Mstaafu Kikatiba nchini zilimshinda na ukashinda ( ukachaguliwa ) Wewe.

Mwisho kwani naona Hasira zangu za Kizanaki, Kimakuwa na Kitutsi ni kwamba Mwenyekiti Mangungu Mimi GENTAMYCINE najua ( tena nikiwa na uhakika ) kuwa umewekwa hapo Simba SC Kimkakati na huyo Kiongozi mkubwa Mstaafu Kikatiba nchini ambaye pia ni Shabiki Tukuka wa Yanga SC ili ufanikishe Kuihujumu Simba SC yetu kwa makubaliano kuwa atakupigia Chapuo ( Pande ) kwa Mheshimiwa Rais Samia ( ambaye anammudu na pia ni Mshauri wake ) ili akuteue kuwa Mbunge au akupe hata Ubalozi au Uenyekiti wa Bodi za Kitaasisi hapa nchini.

Nanyi wana Simba SC hasa akina Salim Abdallah 'Try Again', CEO Barbara Gonzalez, Mwekezaji Mo Dewji na Wanachama pamoja na Mashabiki huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu wa Wanachama hivyo GENTAMYCINE sitarajii tena kuona mnarudia Kosa kwa kumrejesha Kirusi Murtaza Mangungu au kumpa tena Kirusi mwingine bali tulieni na Chagueni mwana Simba SC hasa na siyo hawa mnaopachikiwa Kimkakati na wana Yanga SC ( hasa huyu Kiongozi mkubwa Mstaafu Kikatiba ) kwa kuitumia Kampuni inayotamba sasa Kibiashara nchini na ambayo ana Shea ( Share ) nayo Kubwa japo wengi wanajua ni ya Mwarabu MSG.

Mimi ni Bahari huwa sikai na Uchafu.
 
[emoji116]
Screenshot_20220920-105303.jpg
 
Katika hili naungana na wewe.
 
Rubbish, hiyo takataka ya kirangi Juma Nkamia, Chawa wa Magufuli ndio wa kumfananisha na Murtaza mwenye exposure kubwa?

Humjui Murtaza kama kimya.

Kila Siku unahubiri Kunichukia na Kunitukana utakavyo ila nakushangaa huachi ama Kusoma posts zangu au Threads zangu hapa Jamiiforums. Hivi huwa ninakuita?

Hata ufanyeje huniwezi na huwezi pia Kushusha Umaarufu wangu wa Kutukuka hapa Jamvini.

Nasubiri urudi tena Kunishobokea ili niseme cha Aibu na Kibaya alichofanyiwa Mkeo anayekudharau Kutwa na Dereva Bodaboda ukidhani na Kujidanganya kuwa sikujui Kiuhalisia wakati hapa Nakuchora, Nakusanifu halafu nilishakudharau Kitambo sana tu.
 
Aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wenu Yanga SC Luc Eymael Raia wa Ubelgiji aliwahi Kusema ( ipo YouTube ) kuwa wana Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe.

Mhamasishaji Mkuu wenu Yanga SC Haji Manara aliwahi kusema ( EFM Radio mwaka 2020 ) kuwa Yanga SC nzima wenye Akili ni Rais Mstaafu Kikwete, Mlezi wa Timu Mama Karume na Baba yake Mzazi Mzee Sunday Manara ila waliobakia wote ni Wapumbavu ( Ukiwemo ) na hawana Akili.
 
Kwa speed hii ya kuchangia naamini alichokisema Genta
Kama kuna Silaha Kubwa niliyonayo ni Kujiamini kwa nikisemacho na kama ni nini kinanipa Jeuri na Kiburi ni Zawadi ya Akili Kubwa niliyozawadiwa nae Mwenyezi Mungu..

Mkuu nakuomba kwa hiki nilichokiandika hapa leo nakuomba Kiamini na Niamini kwa 100% kwani ni Ukweli mtupu na namtaka huyo Murtaza Mangungu wenu akanushe ili nimuanike na mengineyo na jinsi anavyomtumia Mdogo wake Kipenzi ambaye ni mwana Yanga SC lia lia katika Kuihujumu na Kuimaliza Simba SC.
 
yuko sahihi kwa hili
GENTAMYCINE sijawahi na kamwe sitokuja Kukosea. Nina uhakika na nilichokisema na hakuna mahala nimemlazimisha Mtu Kuamini nilichokiandika ila kwa Kujiamini kabisa na 100% huo ( huu ) ndiyo Ukweli na Uhalisia juu ya Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC Murtaza Mangungu.
 
Kama uyasemayo Yana ukweli ndani yake Basi Yanga S.C ni kubwa saana Kwa Simba S.C na ina mkono mrefu sana kiasi cha kuwachagulia Simba viongozi..

Hebu chimbua chimbua pia kuhusu huyu kanjibai wetu mo dewji na kale kademu kake ka Barbra inaweza kuwa nao ni mapandikizi kutoka utopoloni
 
yuko sahihi popoma, utopolo hawataki mangungu atoke hapo ni wa faida kwao
Mkuu hakuna mwana Simba SC wa ndani asiyejua kuwa Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC Murtaza Mangungu ni Kirusi na kwamba amewekwa hapo Kimkakati na huyo Kiongozi mkubwa Mstaafu Kikatiba nchini ili aihujumu Simba SC kwa ahadi ya Kuombewa Cheo Serikalini ( hasa Bungeni ) huku Yanga SC kupitia Tajiri wao MSG wakimtumia na kumpitishia Pesa ambazo nae huwapa baadhi ya Wachezaji Waandamizi Watano wa Simba SC na Wageni Wawili ili Kuihujumu Simba SC hasa hasa pale ikiwa inacheza na Yanga SC.
 
Kama uyasemayo Yana ukweli ndani yake Basi Yanga S.C ni kubwa saana Kwa Simba S.C na ina mkono mrefu sana kiasi cha kuwachagulia Simba viongozi..

Hebu chimbua chimbua pia kuhusu huyu kanjibai wetu mo dewji na kale kademu kake ka Barbra inaweza kuwa nao ni mapandikizi kutoka utopoloni
Ukishangaa leo Yanga SC kuwa na Kirusi ( Pandikizi ) ndani ya Simba SC utakuwa ni Mgeni wa Soka la Tanzania kwani hata Sisi Simba SC huko nyuma tulikuwa na Pandikizi letu ( Kirusi chetu ) ndani ya Yanga SC Tajiri Francis Kifukwe ( akishirikiana na Lyod Nchunga ) na kusema ukweli Yanga SC ilipata taabu mno kwa Simba SC kipindi hiko hadi waliposhtuka na Kumtoa.
 
Back
Top Bottom