Whatever it is angesema wahalifu wameuwawa angepungukiwa nini mbona wahakifu wanaoukumiwa kunyongwa husemwa waseme wameua wahalifu wangapi fullstopwatu au wezi
hiki kijamaa maalim walishakibomoa matyako tangu kipo madrasaMwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohamed Ali Kawaida amevunja ukimya na kuzungumza kwa mara ya kwanza kuhusu matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea tarehe 29 na 30 Oktoba 2025, akisema kwa masikitiko kuwa vurugu hizo zimefanywa kwa kiasi kikubwa na vijana kundi analowajibika kuliongoza na kulisemea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Mwenyekiti huyo amesema uchaguzi mkuu wa mwaka huu ulioipa CCM ushindi mkubwa, umeacha alama ya huzuni kutokana na vitendo vya fujo na uharibifu vilivyotekelezwa na baadhi ya vijana. “Nimesimama mbele yenu leo si kwa furaha, bali kwa maumivu makubwa. Uchaguzi uliopita ulikuwa ushindi kwa chama chetu, lakini pia ulikuwa somo zito kwa taifa,” amesema kwa hisia.
Amesema kuwa sehemu kubwa ya vurugu hizo zilichochewa na watu walioko nje ya nchi, ambao kwa kutumia mitandao ya kijamii waliwashawishi vijana walio ndani ya Tanzania kufanya vurugu huku wao wakiwa salama na wakifadhiliwa na watu wasioitakia mema nchi. “Ni jambo la kuhuzunisha kuona vijana wenye nia njema wakitumiwa vibaya na watu wanaotaka kuivuruga Tanzania,” amesema Mwenyekiti huyo.
Ameeleza kuwa vitendo hivyo vimesababisha uharibifu mkubwa wa mali za umma na binafsi, vikiwemo vituo vya polisi, vituo vya mabasi, zahanati, maduka na miundombinu ya barabara. “Cha kusikitisha zaidi, baadhi ya waliojeruhiwa katika vurugu hizo walishindwa kupata matibabu kwa sababu walikuwa tayari wamechoma zahanati walizotegemea kwa huduma za kwanza,” amesema kwa uchungu.
Mwenyekiti huyo amekemea vikali vurugu hizo, akisema hazikuwa maandamano halali kwa mujibu wa sheria za Tanzania, bali ni vitendo vya uhalifu vilivyoleta hasara kubwa kiuchumi na kijamii. Ameongeza kuwa vurugu hizo ziliathiri biashara nyingi, kuathiri kipato cha wananchi, na hata kuzuia shughuli za bandari zinazohudumia nchi jirani.
“Vijana wenzangu, amani ndiyo msingi wa maendeleo. Tanzania imejengwa juu ya misingi ya umoja, amani na upendo. Tukicheza na amani, tunacheza na uchumi wetu, na ajira zetu,” amesema Mwenyekiti huyo.
Na ndio hao walioiba uchaguzi na kumpa samuya ushindi 98℅ na bado wakaua maelfu ya watanganyika kwa kuwapiga risasini kweli kabisa kuna watu wanatumika kuharibu amani kwa vurugu na ugaidi
CCM waache kujiliwaza na statement za uchochezi toka nje. Wajitafakari na kuface reality. Hiyo tume ya uchaguzi wanayoifagilia inaharabu sana mstakabali wa nchi hii. Mtawasema watu wa nje mpaka vichwa vitaota vipala lakini mkijifanya hamuoni uharibifu wa tume katika chaguzi zetu hamtakuwa na suluhisho la vijana kushawishiwa.Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohamed Ali Kawaida amevunja ukimya na kuzungumza kwa mara ya kwanza kuhusu matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea tarehe 29 na 30 Oktoba 2025, akisema kwa masikitiko kuwa vurugu hizo zimefanywa kwa kiasi kikubwa na vijana kundi analowajibika kuliongoza na kulisemea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Mwenyekiti huyo amesema uchaguzi mkuu wa mwaka huu ulioipa CCM ushindi mkubwa, umeacha alama ya huzuni kutokana na vitendo vya fujo na uharibifu vilivyotekelezwa na baadhi ya vijana. “Nimesimama mbele yenu leo si kwa furaha, bali kwa maumivu makubwa. Uchaguzi uliopita ulikuwa ushindi kwa chama chetu, lakini pia ulikuwa somo zito kwa taifa,” amesema kwa hisia.
Amesema kuwa sehemu kubwa ya vurugu hizo zilichochewa na watu walioko nje ya nchi, ambao kwa kutumia mitandao ya kijamii waliwashawishi vijana walio ndani ya Tanzania kufanya vurugu huku wao wakiwa salama na wakifadhiliwa na watu wasioitakia mema nchi. “Ni jambo la kuhuzunisha kuona vijana wenye nia njema wakitumiwa vibaya na watu wanaotaka kuivuruga Tanzania,” amesema Mwenyekiti huyo.
Ameeleza kuwa vitendo hivyo vimesababisha uharibifu mkubwa wa mali za umma na binafsi, vikiwemo vituo vya polisi, vituo vya mabasi, zahanati, maduka na miundombinu ya barabara. “Cha kusikitisha zaidi, baadhi ya waliojeruhiwa katika vurugu hizo walishindwa kupata matibabu kwa sababu walikuwa tayari wamechoma zahanati walizotegemea kwa huduma za kwanza,” amesema kwa uchungu.
Mwenyekiti huyo amekemea vikali vurugu hizo, akisema hazikuwa maandamano halali kwa mujibu wa sheria za Tanzania, bali ni vitendo vya uhalifu vilivyoleta hasara kubwa kiuchumi na kijamii. Ameongeza kuwa vurugu hizo ziliathiri biashara nyingi, kuathiri kipato cha wananchi, na hata kuzuia shughuli za bandari zinazohudumia nchi jirani.
“Vijana wenzangu, amani ndiyo msingi wa maendeleo. Tanzania imejengwa juu ya misingi ya umoja, amani na upendo. Tukicheza na amani, tunacheza na uchumi wetu, na ajira zetu,” amesema Mwenyekiti huyo.
Natamani watu kama nyie mfe mtuachie NNJI yetuwatu au wezi
Atasalimiwa hilo like waziHuyu ndiyo wa kuchoma sasa
Hivi hawa watu huwa wakiongea na media huwa hawarusiwi kuulizwa maswali?Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohamed Ali Kawaida amevunja ukimya na kuzungumza kwa mara ya kwanza kuhusu matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea tarehe 29 na 30 Oktoba 2025, akisema kwa masikitiko kuwa vurugu hizo zimefanywa kwa kiasi kikubwa na vijana kundi analowajibika kuliongoza na kulisemea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Mwenyekiti huyo amesema uchaguzi mkuu wa mwaka huu ulioipa CCM ushindi mkubwa, umeacha alama ya huzuni kutokana na vitendo vya fujo na uharibifu vilivyotekelezwa na baadhi ya vijana. “Nimesimama mbele yenu leo si kwa furaha, bali kwa maumivu makubwa. Uchaguzi uliopita ulikuwa ushindi kwa chama chetu, lakini pia ulikuwa somo zito kwa taifa,” amesema kwa hisia.
Amesema kuwa sehemu kubwa ya vurugu hizo zilichochewa na watu walioko nje ya nchi, ambao kwa kutumia mitandao ya kijamii waliwashawishi vijana walio ndani ya Tanzania kufanya vurugu huku wao wakiwa salama na wakifadhiliwa na watu wasioitakia mema nchi. “Ni jambo la kuhuzunisha kuona vijana wenye nia njema wakitumiwa vibaya na watu wanaotaka kuivuruga Tanzania,” amesema Mwenyekiti huyo.
Ameeleza kuwa vitendo hivyo vimesababisha uharibifu mkubwa wa mali za umma na binafsi, vikiwemo vituo vya polisi, vituo vya mabasi, zahanati, maduka na miundombinu ya barabara. “Cha kusikitisha zaidi, baadhi ya waliojeruhiwa katika vurugu hizo walishindwa kupata matibabu kwa sababu walikuwa tayari wamechoma zahanati walizotegemea kwa huduma za kwanza,” amesema kwa uchungu.
Mwenyekiti huyo amekemea vikali vurugu hizo, akisema hazikuwa maandamano halali kwa mujibu wa sheria za Tanzania, bali ni vitendo vya uhalifu vilivyoleta hasara kubwa kiuchumi na kijamii. Ameongeza kuwa vurugu hizo ziliathiri biashara nyingi, kuathiri kipato cha wananchi, na hata kuzuia shughuli za bandari zinazohudumia nchi jirani.
“Vijana wenzangu, amani ndiyo msingi wa maendeleo. Tanzania imejengwa juu ya misingi ya umoja, amani na upendo. Tukicheza na amani, tunacheza na uchumi wetu, na ajira zetu,” amesema Mwenyekiti huyo.
Kada mrembo kama huyo Kawaida.. inatakiwa akamatwe apakwe mafuta ya nazi makalio yake mpaka ya meremete kama karabaiMwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohamed Ali Kawaida amevunja ukimya na kuzungumza kwa mara ya kwanza kuhusu matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea tarehe 29 na 30 Oktoba 2025, akisema kwa masikitiko kuwa vurugu hizo zimefanywa kwa kiasi kikubwa na vijana kundi analowajibika kuliongoza na kulisemea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Mwenyekiti huyo amesema uchaguzi mkuu wa mwaka huu ulioipa CCM ushindi mkubwa, umeacha alama ya huzuni kutokana na vitendo vya fujo na uharibifu vilivyotekelezwa na baadhi ya vijana. “Nimesimama mbele yenu leo si kwa furaha, bali kwa maumivu makubwa. Uchaguzi uliopita ulikuwa ushindi kwa chama chetu, lakini pia ulikuwa somo zito kwa taifa,” amesema kwa hisia.
Amesema kuwa sehemu kubwa ya vurugu hizo zilichochewa na watu walioko nje ya nchi, ambao kwa kutumia mitandao ya kijamii waliwashawishi vijana walio ndani ya Tanzania kufanya vurugu huku wao wakiwa salama na wakifadhiliwa na watu wasioitakia mema nchi. “Ni jambo la kuhuzunisha kuona vijana wenye nia njema wakitumiwa vibaya na watu wanaotaka kuivuruga Tanzania,” amesema Mwenyekiti huyo.
Ameeleza kuwa vitendo hivyo vimesababisha uharibifu mkubwa wa mali za umma na binafsi, vikiwemo vituo vya polisi, vituo vya mabasi, zahanati, maduka na miundombinu ya barabara. “Cha kusikitisha zaidi, baadhi ya waliojeruhiwa katika vurugu hizo walishindwa kupata matibabu kwa sababu walikuwa tayari wamechoma zahanati walizotegemea kwa huduma za kwanza,” amesema kwa uchungu.
Mwenyekiti huyo amekemea vikali vurugu hizo, akisema hazikuwa maandamano halali kwa mujibu wa sheria za Tanzania, bali ni vitendo vya uhalifu vilivyoleta hasara kubwa kiuchumi na kijamii. Ameongeza kuwa vurugu hizo ziliathiri biashara nyingi, kuathiri kipato cha wananchi, na hata kuzuia shughuli za bandari zinazohudumia nchi jirani.
“Vijana wenzangu, amani ndiyo msingi wa maendeleo. Tanzania imejengwa juu ya misingi ya umoja, amani na upendo. Tukicheza na amani, tunacheza na uchumi wetu, na ajira zetu,” amesema Mwenyekiti huyo.
Taahira la Samia na abdul
Maisha yanaenda Kasi Sana...Taahira la Samia na abdul
kumbe media zipoMwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohamed Ali Kawaida amevunja ukimya na kuzungumza kwa mara ya kwanza kuhusu matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea tarehe 29 na 30 Oktoba 2025, akisema kwa masikitiko kuwa vurugu hizo zimefanywa kwa kiasi kikubwa na vijana kundi analowajibika kuliongoza na kulisemea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Mwenyekiti huyo amesema uchaguzi mkuu wa mwaka huu ulioipa CCM ushindi mkubwa, umeacha alama ya huzuni kutokana na vitendo vya fujo na uharibifu vilivyotekelezwa na baadhi ya vijana. “Nimesimama mbele yenu leo si kwa furaha, bali kwa maumivu makubwa. Uchaguzi uliopita ulikuwa ushindi kwa chama chetu, lakini pia ulikuwa somo zito kwa taifa,” amesema kwa hisia.
Amesema kuwa sehemu kubwa ya vurugu hizo zilichochewa na watu walioko nje ya nchi, ambao kwa kutumia mitandao ya kijamii waliwashawishi vijana walio ndani ya Tanzania kufanya vurugu huku wao wakiwa salama na wakifadhiliwa na watu wasioitakia mema nchi. “Ni jambo la kuhuzunisha kuona vijana wenye nia njema wakitumiwa vibaya na watu wanaotaka kuivuruga Tanzania,” amesema Mwenyekiti huyo.
Ameeleza kuwa vitendo hivyo vimesababisha uharibifu mkubwa wa mali za umma na binafsi, vikiwemo vituo vya polisi, vituo vya mabasi, zahanati, maduka na miundombinu ya barabara. “Cha kusikitisha zaidi, baadhi ya waliojeruhiwa katika vurugu hizo walishindwa kupata matibabu kwa sababu walikuwa tayari wamechoma zahanati walizotegemea kwa huduma za kwanza,” amesema kwa uchungu.
Mwenyekiti huyo amekemea vikali vurugu hizo, akisema hazikuwa maandamano halali kwa mujibu wa sheria za Tanzania, bali ni vitendo vya uhalifu vilivyoleta hasara kubwa kiuchumi na kijamii. Ameongeza kuwa vurugu hizo ziliathiri biashara nyingi, kuathiri kipato cha wananchi, na hata kuzuia shughuli za bandari zinazohudumia nchi jirani.
“Vijana wenzangu, amani ndiyo msingi wa maendeleo. Tanzania imejengwa juu ya misingi ya umoja, amani na upendo. Tukicheza na amani, tunacheza na uchumi wetu, na ajira zetu,” amesema Mwenyekiti huyo.
Kuna siku nilikuwa namwambia yule jamaa wa kujiita ChoiceVariable kuwa aache kuishi kisiasa asidharau watu, upepo huwa unabadilika ghalfa na kujikuta unaishi maisha usiyoyatarajia.Maisha yanaenda Kasi Sana...
Siamini kama hii comment imetolewa na mtu kama ww..
Au mfumo hukunambia siku hizi.?
Inatia hasira kuona so called kiongoz wa chama anajitoa ufahamu, mzizi wa tatizo anaukwepa halaf anasingizia mambo ya ajabuMwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohamed Ali Kawaida amevunja ukimya na kuzungumza kwa mara ya kwanza kuhusu matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea tarehe 29 na 30 Oktoba 2025, akisema kwa masikitiko kuwa vurugu hizo zimefanywa kwa kiasi kikubwa na vijana kundi analowajibika kuliongoza na kulisemea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Mwenyekiti huyo amesema uchaguzi mkuu wa mwaka huu ulioipa CCM ushindi mkubwa, umeacha alama ya huzuni kutokana na vitendo vya fujo na uharibifu vilivyotekelezwa na baadhi ya vijana. “Nimesimama mbele yenu leo si kwa furaha, bali kwa maumivu makubwa. Uchaguzi uliopita ulikuwa ushindi kwa chama chetu, lakini pia ulikuwa somo zito kwa taifa,” amesema kwa hisia.
Amesema kuwa sehemu kubwa ya vurugu hizo zilichochewa na watu walioko nje ya nchi, ambao kwa kutumia mitandao ya kijamii waliwashawishi vijana walio ndani ya Tanzania kufanya vurugu huku wao wakiwa salama na wakifadhiliwa na watu wasioitakia mema nchi. “Ni jambo la kuhuzunisha kuona vijana wenye nia njema wakitumiwa vibaya na watu wanaotaka kuivuruga Tanzania,” amesema Mwenyekiti huyo.
Ameeleza kuwa vitendo hivyo vimesababisha uharibifu mkubwa wa mali za umma na binafsi, vikiwemo vituo vya polisi, vituo vya mabasi, zahanati, maduka na miundombinu ya barabara. “Cha kusikitisha zaidi, baadhi ya waliojeruhiwa katika vurugu hizo walishindwa kupata matibabu kwa sababu walikuwa tayari wamechoma zahanati walizotegemea kwa huduma za kwanza,” amesema kwa uchungu.
Mwenyekiti huyo amekemea vikali vurugu hizo, akisema hazikuwa maandamano halali kwa mujibu wa sheria za Tanzania, bali ni vitendo vya uhalifu vilivyoleta hasara kubwa kiuchumi na kijamii. Ameongeza kuwa vurugu hizo ziliathiri biashara nyingi, kuathiri kipato cha wananchi, na hata kuzuia shughuli za bandari zinazohudumia nchi jirani.
“Vijana wenzangu, amani ndiyo msingi wa maendeleo. Tanzania imejengwa juu ya misingi ya umoja, amani na upendo. Tukicheza na amani, tunacheza na uchumi wetu, na ajira zetu,” amesema Mwenyekiti huyo.
wenzako wanachezea vichapo uko wewe umebaki uraiani umewasnitch wenzioNatamani watu kama nyie mfe mtuachie NNJI yetu
kinyonge sana kaza sautiTuishi hunu 09122025