byeyombo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 4,343
- 5,589
Mungu awabariki jeshi la polisi kutuliza vurugu na ugaidi🙏Na ndio hao walioiba uchaguzi na kumpa samuya ushindi 98℅ na bado wakaua maelfu ya watanganyika kwa kuwapiga risasi

Wanaoharibu amani ni wanaoteka watu na kuuza rasilimali za watanganyikani kweli kabisa kuna watu wanatumika kuharibu amani kwa vurugu na ugaidi