GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Taifa: Wanalipwa kuchochea vurugu, nchi yetu wameichoma moto

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa mda huu wangekua kimya kuendelea kuongea ni kutonesha vidonda vya watu
 
hiki kijamaa maalim walishakibomoa matyako tangu kipo madrasa
 
ni kweli kabisa kuna watu wanatumika kuharibu amani kwa vurugu na ugaidi
Na ndio hao walioiba uchaguzi na kumpa samuya ushindi 98℅ na bado wakaua maelfu ya watanganyika kwa kuwapiga risasi
 
CCM waache kujiliwaza na statement za uchochezi toka nje. Wajitafakari na kuface reality. Hiyo tume ya uchaguzi wanayoifagilia inaharabu sana mstakabali wa nchi hii. Mtawasema watu wa nje mpaka vichwa vitaota vipala lakini mkijifanya hamuoni uharibifu wa tume katika chaguzi zetu hamtakuwa na suluhisho la vijana kushawishiwa.
Hivi haiwafikirishi vijana kumsikia mtu wa nje kuliko Rais wao wa ndani!
 
Hivi hawa watu huwa wakiongea na media huwa hawarusiwi kuulizwa maswali?
 
Kada mrembo kama huyo Kawaida.. inatakiwa akamatwe apakwe mafuta ya nazi makalio yake mpaka ya meremete kama karabai
 
Hili litakuwa ni pumbavu jingine lisilo na faida kwa yeyote isipokuwa kwa shetani.

AU, SADC l, wote wamesema Tanzania tarehe 29 October hakukuwa na uchaguzi Tanzania. Wamesema hicho wahuni walichokiita uchaguzi, ni NULL and VOID, maana yake hakukuwa na uchaguzi. Halafu hili ibilisi linasema eti ni uchaguzi ulioipa CCM ushindi mkubwa!
 
kumbe media zipo
 
Maisha yanaenda Kasi Sana...

Siamini kama hii comment imetolewa na mtu kama ww..

Au mfumo hukunambia siku hizi.?
Kuna siku nilikuwa namwambia yule jamaa wa kujiita ChoiceVariable kuwa aache kuishi kisiasa asidharau watu, upepo huwa unabadilika ghalfa na kujikuta unaishi maisha usiyoyatarajia.

Nikampa mfano walikuwepo machawa humu awamu ya tano ambao walitamba sana nyakati hizo akina Barafu ya Moto, Barbosa,Mwingeso ila leo hii hawajulikani walifia wapi ni wazi mfumo wa sasa umewatupa nje...

...wachache waliobakia ndio kama huyo cremea ambao wamegeuka kuwa wapinzani wa mfumo kuliko hata Chadema.

Hakika maisha yanaenda kasi sana.
 
Akaliwe kule, msen.ge mmoja. Hakuona watu wakitekwa na kuuawa hata kabla ya uchaguzi?, kwanini alikuwa kimya?.
 
Kiswahili kina shida, mzungumzaji anasema nimesimama hapa mbele yenu, wakati huo akiwa ameketi 😁😁
 
Inatia hasira kuona so called kiongoz wa chama anajitoa ufahamu, mzizi wa tatizo anaukwepa halaf anasingizia mambo ya ajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…