Siipendi ccm kwa roho yangu yote, bora nife kuliko kuitwa mccm.Umesema kweli mkuu!! Hii nchi imejaa majungu, fitna na ushabiki wa kijingajinga tu! Na hii inaenda hadi kwenye mambo serious ya maendeleo ya nchi! Kila kitu kujifanya wajuaji!
Wa billion 60 ni hisa. Sio 20 za kununulia hatifungani za serikaliBado mnaendelea na akili za kumtegemea mtu mmoja mmoja? Na huyo wa bilioni 65 akijitoa ghafla katikati ya msimu, mtaanza kutafuta mwingine? Kwa hizi timu za wanachama, ni lazima wanachama wawe sehemu kubwa ya kuridhisha ya uendeshaji wa timu
Huku Mo anafanya yake, huku Manji anapiga chini.Kama hii habari ni ya kweli....tunaweza kusikia watu kibao pale mtaa wa jangwani watakufa kwa presha kwa sababu mshtuko......
Habari hii imekuja wakati mbaya sana.....
Huku Mo anafanya yake, huku Manji anapiga chini.Kama hii habari ni ya kweli....tunaweza kusikia watu kibao pale mtaa wa jangwani watakufa kwa presha kwa sababu mshtuko......
Habari hii imekuja wakati mbaya sana.....
Huku Mo anafanya yake, huku Manji anapiga chini.
Nimeumia sana sanaaa Manji kujiuzulu... sana..na Yanga mtakufa kibudu... nahasira, na mmeniudhi...!! nahama Yanga.. huu sasa ni ubwege kupitiliza.. Manji ameisadia kwa hali na mali Yanga.. kutoka moyoni mwake... ametubeba kwa kila msaada.. alafu uongozi wa Yanga umeacha ujinga na majungu yaendelee, wakati wote huo Yanga inafanya vizuri hao watu wa majungu, uchawi na wapuuzi walikuwa wapi..?
I feel very disappointed... nimeumia sana... Sitaki tena nisikie sijui nn wala nn.. Yanga mtajiju..!! Machizi nn Uongozi wa Yanga... toka kuleee... mkafie mbali....
mtataga mwaka huu.Acha ujinga wewe... Manji kawasaidia nini yanga?sema ....kama una akili.kawaachia nini ambacho kinashikika?
na uanze kuwalipa wachezaji mshaharaNina furaha sana Huyu jamaa kuondoka hapo yanga katunyanyasa saba na pesa zake na yeye ndio alikuwa mchawi wetu Nina imani sasa tutapumua