Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ameamua kujiuzulu nafasi yake

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ameamua kujiuzulu nafasi yake

Umesema kweli mkuu!! Hii nchi imejaa majungu, fitna na ushabiki wa kijingajinga tu! Na hii inaenda hadi kwenye mambo serious ya maendeleo ya nchi! Kila kitu kujifanya wajuaji!
Siipendi ccm kwa roho yangu yote, bora nife kuliko kuitwa mccm.
Lakini nimempenda Magufuli kwa kupunguza longolongo na umungu mtu wa kijinga wa ktz.
Hali hii imrpelekea watz kuwa madalali na watatisha fedha, pamoja na kuishi kwa majungu na fitna.
Leo hii hakuna pesa za kulipa waleta majungu na fitna, tutanyooka tuuu.
Mpira umedidimizwa na majungu na fitna nchii hiii
 
Nanyi muwe mnafikiria kwa kina. Mnadhan manji anatoa tu pesa zake ziende yanga ye hafaidiki na kitu? Kwa nini hamtaki kufikiria kwa kina?kuna maslah anapata lakin niny hamwez yajua.

Hebu tuachane na hilo. Nlisikia sikia eti siku hizi team wachezaji wnakaguliwa viwanja vya ndege ni kweli?
 
Bado mnaendelea na akili za kumtegemea mtu mmoja mmoja? Na huyo wa bilioni 65 akijitoa ghafla katikati ya msimu, mtaanza kutafuta mwingine? Kwa hizi timu za wanachama, ni lazima wanachama wawe sehemu kubwa ya kuridhisha ya uendeshaji wa timu
Wa billion 60 ni hisa. Sio 20 za kununulia hatifungani za serikali
 
Kama Reginald Mengi anafikiri anachukua Yanga anajidanganya...!! Ashindwe..!! Kazi fitina, chuki, majungu tupu... Kwanza safi kabisaa Manji waachie litimu lao.. siku mbaya sana kwangu hii...
 
Yanga Kushnei....Mpeni Mengi Sasa hicho Kigenge Chenu Cha Jangwani
 
Watu leo hawalali nyumbani kwao, ni mkesha Jangwani

mashabiki.jpg
 
ili kupiga hatua katika soka letu, tuna safari ndefu sana. Hasa ukizingatia ujima uliopo katika Akili za wanachama wa vilabu hivi viwili.

Watu hawataki mabadiliko katika vilabu hivi kutokana na Kutokuwa na Elimu ya kutosha juu ya mapinduzi ya kisasa ya uendeshaji wa vilabu hivi.

Kuna kundi la watu wachache Ambalo niwanufaika wa Mfumo wa uendeshaji wa sasa katika vilabu hivi, hivyo wanatumia udhaifu wa wanachama kwa kutokujua kwao kuhujumu juudi za watia nia wa kuwekeza kwenye vilabu hivi.

Hakika tukitaka soka letu liendelee basi ni hapotu vilabu hivi 2 Yanga na Simba vitakapo kubali kubadilika ndipo tutaona maendeleo hata ya timu ya Taifa.
 
Wengine sijui tutaishije, Yanga inarudi kuwa ya matopeni, Arsenal nao ndiyo vile mlivyosikia.
 
Acha ujinga wewe... Manji kawasaidia nini yanga?sema ....kama una akili.kawaachia nini ambacho kinashikika?

Nimeumia sana sanaaa Manji kujiuzulu... sana..na Yanga mtakufa kibudu... nahasira, na mmeniudhi...!! nahama Yanga.. huu sasa ni ubwege kupitiliza.. Manji ameisadia kwa hali na mali Yanga.. kutoka moyoni mwake... ametubeba kwa kila msaada.. alafu uongozi wa Yanga umeacha ujinga na majungu yaendelee, wakati wote huo Yanga inafanya vizuri hao watu wa majungu, uchawi na wapuuzi walikuwa wapi..?

I feel very disappointed... nimeumia sana... Sitaki tena nisikie sijui nn wala nn.. Yanga mtajiju..!! Machizi nn Uongozi wa Yanga... toka kuleee... mkafie mbali....
 
Back
Top Bottom