Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Siipendi ccm kwa roho yangu yote, bora nife kuliko kuitwa mccm.Umesema kweli mkuu!! Hii nchi imejaa majungu, fitna na ushabiki wa kijingajinga tu! Na hii inaenda hadi kwenye mambo serious ya maendeleo ya nchi! Kila kitu kujifanya wajuaji!
Lakini nimempenda Magufuli kwa kupunguza longolongo na umungu mtu wa kijinga wa ktz.
Hali hii imrpelekea watz kuwa madalali na watatisha fedha, pamoja na kuishi kwa majungu na fitna.
Leo hii hakuna pesa za kulipa waleta majungu na fitna, tutanyooka tuuu.
Mpira umedidimizwa na majungu na fitna nchii hiii