Je, ni kauli ya hovyo kuliko ya huyo anayemdharilisha mama mzazi wa Rais, ati tu kampeleka nyumbani kwa ndege, akijua mama wa watu ni mgonjwa hadi leo yu kitandani mahtuti? Shame on youMkiwachagua hao wengine hawataweza kuendeleza miradi niliyoianzisha-Magufuli.
Apige picha akifa leo hakuna atakae we za kuingoza nchi? Hizi ni kauli za hovyo kutolewa na kiongozi.
CDM hakuna wajinga kama wewemimi ni chadema ila namkubali sana mzee magufuli.chama chetu wababaishaji sana
Huna lolote unamkubali kwa lipimimi ni chadema ila namkubali sana mzee magufuli.chama chetu wababaishaji sana
Unaweza kuniambia maendeleo aliyoyaleta kanda ya kaskazini miaka 5? Njtajie mawili tuNadhani Hapa watu tumeshindwa kutofautisha JPM ni Nani na Kwa wakati Gani
Kwa sasa Magufuri ni Mgombea uraisi kupitia CCM, Ananadi Sera Kwa njia kichama lakin muda huo huo anaitumia kofia ya URais Ambayo Bado anayo Hadi sasa kuombea Kura!!
Kauli kama hiyo uliyo I note hapo!! Kama Una mihemuko yako ya kisiasa utakurupuka kuwa unafokewa
Lakini sivyo JPM kapeleka miradi mbalimbali ya maenndeleo Majimbo mengi Tu ya Upinzani!!
Kuna wanakijiji walimueleza kuhusu tatizola maji na akawajibu kavukavu hawapati kwa sababu wanambunge wa upinzani! Ila kodi zao ni halali yake!Hapo hakuna ubabe .Ni woga wenu tu.
Sidhani kuna mwanachama wa chama cha upinzani ambaye hana akili.Mimi ni CHADEMA ila namkubali sana mzee Magufuli, chama chetu wababaishaji sana
Yaani wewe hata ukiambiwa haya ni mavi utabisha Hadi uonje ndo uamini huna akiliWapinzani hawataki maendeleo ya vitu sasa asingekuwepo Kapuya mbunge wa CCM mdai maendeleo ya barabara hiyo barabara isingejengwa.Kasome sera ya Chadema hawana mpango na maendeleo ya vitu ina maana ukichagua mbunge wa Chadema sabau maendeleo ya vitu sababu hatayatafuta sera yake hairuhusu
Wala Dr Magufuli hajakosea
Walipo wabunge wa Chadema apeleke maendeleo ya vitu ya nini? Kuchagua mbunge wa Chadema ni kuchagua sera kuwa watu wa eneo hilo hawataki maendeleo ya vitu sasa kama hawataki unawalazimisha kuwapelekea?
CHADEMA tawi la Chuttle au tawi la Geita?Mimi ni CHADEMA ila namkubali sana mzee Magufuli, chama chetu wababaishaji sana
Tena jamani mbona tutatekwa na watu wasiojulikanaNakufahamu vizuri, hujawahi kuwa CHADEMA. Au niweke details zako hapa na majina yako kamili?
Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
tufafanulie vizuriMimi ni CHADEMA ila namkubali sana mzee Magufuli, chama chetu wababaishaji sana
Well said. π π πMagufuli anachofanya sio sahihi alitakiwa ajiulize kwanini wabunge wa chama chake hawachaguliwi na sio kulazimisha wachaguliwe. Kila mtu ana uhuru na sababu kwanini amefanya maamuzi ya kuchagua kiongozi fulani.
Kama serikali ilinifanyia dhuruma kwanini niichague au kama imeleta kiongozi mbovu kwanini nichague lakini kitendo chake cha kukataa kuleta maendeleo kisa wamechaguliwa upinzani mbona kodi zao anachukua