Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wangu Dkt. Magufuli kuna kitu ambacho haukukifanya kitakuangusha tu kwenye Uchaguzi huu

Una maanisha watumishi wa umma walikua wababaishaji?
 
Unajiangaisha kuelimisha watu wengine huwa hawaelewi kitu Mana kwenye vichwa vyao zimejaa funza tu wale wa chooni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao walizoea kuingiza containers from abroad na kuzitoa bila ushuru. Zama hizo zimepitwa na wakati, ni wale tu ambao walikua wanalipa kodi ya serikali tangu enzi zile ndio wanaendelea na businesses. Kwa nini huzungumzii Baharesa na wengineo?
Hii ni hatari yaani unamzungumzia Bakharesa ...kweli mtu mweusi ni half human
 
Hili LA maisha magumu wengi wa waliokazini na wanamishahara mikubwa hawawezi kuelewa!watu miaka mitano Hanna ajira ukianzisha biashara mzunguko hakuna,halafu raising anaambiwa hali mbaya anasema itaendelea kuwa mbaya;we kama unaajira nzuri usichanganye watu acha wazungumzie mstakabali wa nchi yao.
 
Hapo umenena. Maisha huku mitaani ni magumu sana. Tenda nyingi zinazotolewa zinaenda kwa SUMA, TBA etc. Mlione hili hali ni ngumu sana mitaani.
 
Una maanisha watumishi wa umma walikua wababaishaji?
Wapo waliokuwa wababaishaji, semina za uongo, safari fake, nk. If you don't know you better ask, uliwasikiliza wasiojua watakupoteza na hutajikwamua hapo ulipo sasa
 
Mwambie huyo mpumbavu
 
Maendeleo ni kuboresha kwanza maisha ya watu then social infrastructure inafuata. Wadhani ni wote wanaokuelewa hiki alichokisema?
Kule kijijini namtumbo, sizonje wanaposhindia mihogo wanaelewa kama Kodi yao inaboresha barabara Dar es salaam na hizo long planning projects kama SGR na Steagers Gorge wakati hata umeme wa Rea na reli haipiti karibu na vijiji vyao that they have to walk couples of miles to the main roads?
 
Tunajinyima kwa lipi, au ndio tuseme tunanyimwa wachache afu Wengine wanajilia?

Hebu tazama hao wakubwa wanavyofanya kufuru ya magari ya kifahari. Nadhani hakuna awamu yeyote iliyowai kuagiza ma V8 kama hii. Cheki misafara ya viongozi wa awamu hii mafuta yanavyochomwa. Kama kweli tungekuwa wa kweli katika kujibana basi maisha tunayoyaishi yangetosha kujieleza na sio hizi media na watu wanaokesha mtandao I kupaka watu rangi ili wapendeze.

Uchaguzi huu watanzania tunakwenda muzungumza
 
Kunakatuni flani inaonesha mtu amehamia chama flani alafu ubongo unatolewa anaenda akiwa empty. Awamu hii ndio nimeamini kuna chama kinawajinga jamani.
 
2020 watanzania tutamchagua JPM kwa kura za kutosha.
Mazuri ya JPM ni mengi sana,changamoto huwa zipo tu.hata U.S kuna raia wanalalamikia changamoto za taifa lao.
ilhali tunaambiwa U.S ni kinara wa kila jambo la kimaendeleo.
changamoto za kuwapiga watu risasi, kuwateka, kuwapoteza, kuwabambikia kesi... una kichaa umelogwa!
 
Shilingi milioni 50 kwa kila kijiji zipo wapi? Alitudanganya watu wa vijijini uchaguzi uliopita tukampa kura, uchaguzi huu hatudanganyiki!!!!!!
 


Ajira ya Magufuli ndio hii , Mshahara umefichwa ndani ya kofia ?? Fanyeni siku zote ziwe za kutafuta kura ya maoni

 
Afadhali kumjaribisha Lissu ambaye ni mwanasheria kuliko kurudia kosa kwa kumchagua Magufuli!!! Sitasahau kauli na attitude yake tulipokumbwa na tetemeko kule Kagera.
 
Mkuu na sisi walimu,unatuweka kwenye hili kundi la wasanii,ujanjaujanja...mishemishe na ubabaishaji!?
Walai Kuna siku Mungu atasikia kilio Cha wanyonge na unyonge wetu watu utakoma!Na siku hiyo jua litachomozw upande wa Kusini!
 
Huelewi unajadiliana na nani. Hata raisi awe lisu hawezi kutoa ajira kwa watanzania wote ambao hawana ajira. Kama qewe ungekuwa na upeo wa mfu
Acha porojo wewe unaenufaika na awamu hii huku wenzako wakiangamia..
Ndugu, mm siwezi kuajiriwa. Porojo unazo wewe na wenzako ambao mlipata elimu ya kusubiri ajira serikali. Mtasubiri sanaaaa
 
Afadhali kumjaribisha Lissu ambaye ni mwanasheria kuliko kurudia kosa kwa kumchagua Magufuli!!! Sitasahau kauli na attitude yake tulipokumbwa na tetemeko kule Kagera.
Lisu akishindwa kutimiza ndoto zako utamtegemea nani?
 
2020 watanzania tutamchagua JPM kwa kura za kutosha.
Mazuri ya JPM ni mengi sana,changamoto huwa zipo tu.hata U.S kuna raia wanalalamikia changamoto za taifa lao.
ilhali tunaambiwa U.S ni kinara wa kila jambo la kimaendeleo.
Hizo changamoto kazitengeneza mwenyewe makusudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…