Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wangu Dkt. Magufuli kuna kitu ambacho haukukifanya kitakuangusha tu kwenye Uchaguzi huu

Lazima ee unazani ni raus kama kuchukua hako ka degree kaKo ee
 
Hivi pato linaongezeka vipi wakati hamna mtumishi wa umma aliyeongezewa mshahara kwa miaka 5 [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulofa na Upumbavu mliambiwa ninyi huko
 
Kura hapati Kabisa, ndio maana kaijenga chato kwa sababu alijua Hawezi kurudi ikulu, Zote kwa Tundu✌️
 
2020 watanzania tutamchagua JPM kwa kura za kutosha.
Mazuri ya JPM ni mengi sana,changamoto huwa zipo tu.hata U.S kuna raia wanalalamikia changamoto za taifa lao.
ilhali tunaambiwa U.S ni kinara wa kila jambo la kimaendeleo.

Hategemei kura kuwa rais, bali anatumia madaraka yake.
 
Kosa la mkuu ni kuleta ikulu zile tabia za baba wa kisukuma. Itamgharimu sana.
Magufuli hajawahi kudhamini utu na maisha ya mtu mwingine unless otherwise kuwe na political gains
2020 watanzania tutamchagua JPM kwa kura za kutosha.
Mazuri ya JPM ni mengi sana,changamoto huwa zipo tu.hata U.S kuna raia wanalalamikia changamoto za taifa lao.
ilhali tunaambiwa U.S ni kinara wa kila jambo la kimaendeleo.
Kura yangu nakupa Lisu
Kama kwa akili yako umefikiri kuandika haya basi Watanzania kwa uwingi wetu tunashida katika mifumo yetu ya fahamu.
 
mkuu umeongea vizuri na nafikili hata kama ikitokea maghu akapita lazima aelewe kwamba wapo watu humsifia kupita kiasi kitu ambacho sio kizuri ,wengi uangalia tu kwamba kumsifia sijui ndo waonekanane ni wafia chama, ijulikane wapo ambao mpaka sasa hatujajiunga na chama chochote japo bahada ya uchaguzi nitajiunga na chadema iwe madarakani au la, but binafsi mi mpigaji kura mzuri na uchaguzi wa 2015 nilisafili toka mkoa mmoja kwenda mwingine katika kituo changu nilipo jiandikisha na nikampigia kula maghu japo 2010 nilimpigia dr slaa na mbunge wake but udiwan nilimpa wa ccm , ila kusema ukweli kutokana utendaji wa mh maghu
katika wizara mbali mbali ukiacha ya uvuvi ambayo nakumbuka akiwa waziri aliwai kuja na takwimu za fulu kutoka ziwa victoria kabla ya kua rais.
so itoshe kusema kipindi chake akiwa rais kuna vitu vingi ametuangusha sio kama tulivyo tegemea , na kama anataka kuweka sawa mambo basi kwanza atangulize samahani kwa watanzania then aeleze anarekebishaje vinginevyo watu wana nyongo si za nchi hii
 
walipata wapi 2,000,000
 
Mkuu Magu nae kajifunga mkanda au yeye ni mzalendo sana wa nchi hii kiasi kwamba kufunga mkanda hakumhusu
 
Aibu wafanyakazi wa serikali wanashindia mihogo Choma na maji ukienda posta dar hawana hela ya lunch hii ni aibu inashusha Hali ya kazi.Njaa ndio itamnyima kura.Ukiwasomesha watu namba awatokupenda ni lzm watakusomesha namba kwenye box la kura
 
Wapo waliokuwa wababaishaji, semina za uongo, safari fake, nk. If you don't know you better ask, uliwasikiliza wasiojua watakupoteza na hutajikwamua hapo ulipo sasa
Kwahiyo waliopiga kwasasa awaongezwi mshahara kisa walikuwepo wajanja wajanja?
Kwahiyo na wastaafu awalipwi haki zao kwakua walikua wajanja wajanja?
Hivi hiyo miaka ya nyuma nu chama gani kiliua madarakani?
 
unaelewa maaana ya capitalism? haiwezekani kila mtu afanikiwe katika maisha nahaitakuja kutokea lazima kue na madaraja life lisogee, sasa kubaki chini ni wewe mwenyewe uamue! and thats how the economy is designedm haiwezekani wote wafanikiwe ndo maaana ela znawekwa kwa uchache, ili atakaepata awe amefanya kazi kweli kweli
 

Mbona yeye afungi mkanda anasaza Kodi zetu kwa kufanya visivyo mfano kutumia Kodi zetu kuwashughulikia wapinzani badala ya tatizo la ajira, kununua wapinzani, kurudia chaguzi zisizo kichwa, kufanya miradi isiyotija kwa taifa.
Maisha Ni Leo sio kesho.Kuleta maendeleo sio ndo kuwasomesha watz namba.
 
Bora yako umesema ya moyoni harafu mtu yuko bungeni anasema atawale miaka 20.

Kafanya mazuri mengi ila kkunamengine ni maumivu sana

Utawala bora ni pamoja na maisha watu binafisi, rocky city mall lipo tupu hamna wateja hadi wanatembea kutafuta wateja mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…