Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunataka free of speech sio kuogopa kutekwaAmbao wako taabani huko mitaani ni wale waliozeoa mishemishe na kuishi kisanii, sisi ambao tunajitambua na kuamini jasho lako ndio mkombozi namba moja tunaona maisha ni kawaida tu.
Changamoto haizwezi kukosekana katika maisha. Kama wewe ni mmoja wa wale walionufaika na ubabaishaji uliokiwepo awamu iliyopita, lazima awamu hii uone maisha magumu.
Changamsha akili, si Magufuli, Lisu, Membe n.k atakaebadilisha maisha yako.
Tatizo la watu wengi ni kuongozwa na mukhtadha wa fikra binafsi kwenye masula yanayohitaji sera za umma.SGR, Stiglers HEP, Barabara nzuri, hospitali na vifaa tiba, eropleni, mifumo ya maji, mashule na vyuo, n.k.); Au, tukitumie kuongeza mishahara ya watumishi, na kadhalika?
Njoo nikuongezee shamba huku Mtingyambole na lingine lipo pale Mitomoni ni zuri sanaMie ninalima saivi Ruvuma Huku
Ndugu Mahanju, ni kweli unayoyasema; Lakini, nawaomba Watanzania tutangulize uzalendo kwanza. Uzalendo ambao ndani mwake mna kujitoa (mhanga) kwa hali na mali kwa ajili ya Nchi; kuna kujikana nafsi na kutengeneza kwa ajili ya watoto wetu, watoto wa watoto wetu, watoto wa watoto wa watoto wetu, na kuendelea.
Hebu jiulize, lipi bora, kujinyima (kwa muda) ili kile tunachokusanya tukitumie kujenga kwanza miundombinu mbalimbali (SGR, Stiglers HEP, Barabara nzuri, hospitali na vifaa tiba, eropleni, mifumo ya maji, mashule na vyuo, n.k.); Au, tukitumie kuongeza mishahara ya watumishi, na kadhalika?
Ni wazi huwezi fanya mambo yote kwa wakati mmoja. Hakutokuwa na efficiency. Lazima uwe na priority and options.
"Roma haikujengwa kwa siku moja"; hali kadhalika Ulaya magharibi au Asia. Watu walijifunga vibwebwe na leo hii vitukuu wa vitukuu ndio wanafaidi jasho la babu zao
Kwa hiyo, JPM yuko sawa. Watumishi wa Serikali na Watanzania kwa jumla, tunapaswa kujifunga mkanda na kuridhika na hiki kidogo tunachopata sasa.
Ni dhiki ya muda tu kwani tukiisha kamilisha kutengeneza miundombinu hii, Pesa inayokusanywa kutoka vyanzo mbalimbali itatumika sasa kuboresha maisha ya watu.
Tena kwa ulaiini kabisa. Serikali itakuwa na uwezo wa hata kufanya KCCCM kuwa zaidi ya 2,000/= kwa mwezi!
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu mbariki JPM.
Sijui atajiteteaje kwa watumishi wa umma, wafanya biashara.Kama ambavyo siku zote nimekua nikisema kua mimi ni mkweli daima na fitina kwangu mwiko. Ni MwanaCCM hai niliyekitumikia muda mrefu na bado naendelea. Rais wangu ulikosea mambo machache sana pamoja na mengine mengi makubwa uliyofanya.
MAISHA MAGUMU KWA WATANZANIA
Mwenyekiti wangu, maisha ni magumu sana kwa watanzania wote hata mtu kupata milo miwili kwa siku ni shida. Kama wasaidizi hawasemi ukweli mkuu huko mitaani watu taabani kuliko awamu iliyopita. Watu walioko vijijini hawataki kujua Dar es salaam kuna marababara za juu au kuna Airport, hawajui kama kama kuna makubwa yamefanyika. Wao wanataka maisha mazuri.
Kiukweli akitokea mgombea atakayewaambia vizuri walalahoi hawa kura zote atapewa.
BIASHARA KUA NGUMU
Kwa sasa maisha ya wafanyabishara yamekua magumu kabisa kila mahali kuliko awamu iliyopita, lipo tatizo kubwa ambalo kama tusiposema ukweli CCM hakuna mfanyabiashara atakayetupatia kura.
MAISHA MAGUMU KWA WAFANYAKAZI WA UMMA
Ni muda sasa wafanyakazi wa umma wanalia na maslahi duni, wengi hawana amani.
Hapa kura hatupati kabisa katika kundi hili tupende tusipende. Akitokea mgombea atakayeongea vizuri na kundi hili anaweza kuvuna kura nyingi sana na atapewa ushirikiano mkubwa .Wao wanaangalia mtu atakayewajali vizuri.
Mimi najaribu kusema msije mkasema hatukurlshauri.
Huelewi unajadiliana na nani. Hata raisi awe lisu hawezi kutoa ajira kwa watanzania wote ambao hawana ajira. Kama qewe ungekuwa na upeo wa mfu
Ndugu, mm siwezi kuajiriwa. Porojo unazo wewe na wenzako ambao mlipata elimu ya kusubiri ajira serikali. Mtasubiri sanaaaa
Hatuli uzalendo ujue.Ndugu Mahanju, ni kweli unayoyasema; Lakini, nawaomba Watanzania tutangulize uzalendo kwanza. Uzalendo ambao ndani mwake mna kujitoa (mhanga) kwa hali na mali kwa ajili ya Nchi; kuna kujikana nafsi na kutengeneza kwa ajili ya watoto wetu, watoto wa watoto wetu, watoto wa watoto wa watoto wetu, na kuendelea.
Hebu jiulize, lipi bora, kujinyima (kwa muda) ili kile tunachokusanya tukitumie kujenga kwanza miundombinu mbalimbali (SGR, Stiglers HEP, Barabara nzuri, hospitali na vifaa tiba, eropleni, mifumo ya maji, mashule na vyuo, n.k.); Au, tukitumie kuongeza mishahara ya watumishi, na kadhalika?
Ni wazi huwezi fanya mambo yote kwa wakati mmoja. Hakutokuwa na efficiency. Lazima uwe na priority and options.
"Roma haikujengwa kwa siku moja"; hali kadhalika Ulaya magharibi au Asia. Watu walijifunga vibwebwe na leo hii vitukuu wa vitukuu ndio wanafaidi jasho la babu zao
Kwa hiyo, JPM yuko sawa. Watumishi wa Serikali na Watanzania kwa jumla, tunapaswa kujifunga mkanda na kuridhika na hiki kidogo tunachopata sasa.
Ni dhiki ya muda tu kwani tukiisha kamilisha kutengeneza miundombinu hii, Pesa inayokusanywa kutoka vyanzo mbalimbali itatumika sasa kuboresha maisha ya watu.
Tena kwa ulaiini kabisa. Serikali itakuwa na uwezo wa hata kufanya KCCCM kuwa zaidi ya 2,000/= kwa mwezi!
Mungu ibariki Tanzania.
Mungu mbariki JPM.
Tatizo la watu wengi ni kuongozwa na mukhtadha wa fikra binafsi kwenye masula yanayohitaji sera za umma.
Tanzania ni 'going concern', maamuzi yote ya maendeleo yanatakiwa kufuata kanuni ya balancing act.
Maendeleo ya miundo mbinu siyo jukumu la kukamilisha na awamu hii pekee. Aidha, maendeleo ya miundombinu hayapaswi ku-sacrifice maisha ya wananchi.
Kuweka maisha ya wananchi rehani kwa ajili ya kujenga miundombinu pekee ni poor planning.
Kulikuwa na haja ya kuwa na economic and social linkages kati ya miradi ya kimkakati na maisha ya watu ya kila siku.
Viongozi wapya watakaochaguliwa uchaguzi Mkuu wa 2020 watamalizia hiyo miradi ya maendeleo inayojengwa kwa sasa. Si lazima Magufuli achaguliwe (aendelee kutesa watu) tena eti, ili amalizie ujenzi wa miradi yake. Hii si miradi ya Magufuli bali ni miradi ya Tanzania na wananchi wake.
Kwa kuwa hata yeye alipoingia madarakani aliikuta miradi hiyo imekwisha kuanzishwa ila Serikali yake ilitoa kipaumbele kuitekeleza, watakao chaguliwa wataimalizia.
Magufuli alitakiwa kuwasikiliza watu. Hakufanya hivyo, bali alisikiliza hisia zake. Atusaidie kuondokana na mythical politics za CCM.
Bye bye Magufuli
hapo mimi ndio nashangazwa na watz,SGR,STIGLERS n.k zitatuaje moja kwa moja changamoto za mkulima wa nanyumbu?, au mfanyakazi wa tz?, wakati wa gesi ya mtwara habari ilikuwa hiyohiyo!!!!, kwani mabarabara na miradi mikubwa imeanza mwaka awamu hii tu? tangu ukoloni barabara zinajengwa. wakati Nyerere anakabidhiwa nchi na wakoloni basi tungefunga mikanda mpaka viuno vikakatika lakini mikanda ilifungwa wakati wa vita ya kagera. kwenye biashara kumeathirika sana si kwa sababu yamishemishe kufa ni kwa sababu ya kodimkuu umeandika vizuri ila tu kwa hoja za mtoa mada mfano , wafanyabiashara na wafanyakazi kaongea vizuri sana , inawezekanaje watumishi wafunge mikanda wengine hawafungi yahani mwalim umlipe laki nne kama mtumishi wakati yupo mtumishi mwingine analipwa mpaka 6 M, ALAFU tz hatuko kwenye vita wala nchi haiwezi jengwa kwa mara moja kwamba watu wafunge mikanda ,
pia swala la wafanyabiashara tatizo kubwa imekua kodi kubwa ambazo zimekua mizigo kwa wafanyabiashara sasa ukisema nao wafunge mikanda kuvumilia kodi hambazo hazilipiki na wakati huo wanafilisiwa na kufunga biashara kweli hapa kuna tija.
Maisha magum kwa tz chanzo kimekua na mzunguko mdogo wa pesa na nafikili wenda pia sababu za kuchangia hili kati ya mengine wenda hata hayo niliyotaja hapo juu yakawa yanachangia.
mwisho ni lazima tuijenge tz yetu ila kufunga mkanda nakataa na hakuna sababu ya kufanya hivyo na wala mtumishi hawezi kukuelewa kwamba waendelee kufunga mikanda mpaka maendeleo yapatikane wakati nao ni sehem ya kuleta maendeleo
Kama ambavyo siku zote nimekua nikisema kua mimi ni mkweli daima na fitina kwangu mwiko. Ni MwanaCCM hai niliyekitumikia muda mrefu na bado naendelea. Rais wangu ulikosea mambo machache sana pamoja na mengine mengi makubwa uliyofanya.
MAISHA MAGUMU KWA WATANZANIA
Mwenyekiti wangu, maisha ni magumu sana kwa watanzania wote hata mtu kupata milo miwili kwa siku ni shida. Kama wasaidizi hawasemi ukweli mkuu huko mitaani watu taabani kuliko awamu iliyopita. Watu walioko vijijini hawataki kujua Dar es salaam kuna marababara za juu au kuna Airport, hawajui kama kama kuna makubwa yamefanyika. Wao wanataka maisha mazuri.
Kiukweli akitokea mgombea atakayewaambia vizuri walalahoi hawa kura zote atapewa.
BIASHARA KUA NGUMU
Kwa sasa maisha ya wafanyabishara yamekua magumu kabisa kila mahali kuliko awamu iliyopita, lipo tatizo kubwa ambalo kama tusiposema ukweli CCM hakuna mfanyabiashara atakayetupatia kura.
MAISHA MAGUMU KWA WAFANYAKAZI WA UMMA
Ni muda sasa wafanyakazi wa umma wanalia na maslahi duni, wengi hawana amani.
Hapa kura hatupati kabisa katika kundi hili tupende tusipende. Akitokea mgombea atakayeongea vizuri na kundi hili anaweza kuvuna kura nyingi sana na atapewa ushirikiano mkubwa .Wao wanaangalia mtu atakayewajali vizuri.
Mimi najaribu kusema msije mkasema hatukurlshauri.
Mkuu ni sehemu gani ambayo hata Milo miwili kwa siku ni shida!?, Hapa tunahitaji references mkuu tusije rishana matango pori, maana najua mwaka huu almost nchi mzima wamelima Sana Sana kwahiyo availability ya chakula ni kubwa Sana.Kama ambavyo siku zote nimekua nikisema kua mimi ni mkweli daima na fitina kwangu mwiko. Ni MwanaCCM hai niliyekitumikia muda mrefu na bado naendelea. Rais wangu ulikosea mambo machache sana pamoja na mengine mengi makubwa uliyofanya.
MAISHA MAGUMU KWA WATANZANIA
Mwenyekiti wangu, maisha ni magumu sana kwa watanzania wote hata mtu kupata milo miwili kwa siku ni shida. Kama wasaidizi hawasemi ukweli mkuu huko mitaani watu taabani kuliko awamu iliyopita. Watu walioko vijijini hawataki kujua Dar es salaam kuna marababara za juu au kuna Airport, hawajui kama kama kuna makubwa yamefanyika. Wao wanataka maisha mazuri.
Kiukweli akitokea mgombea atakayewaambia vizuri walalahoi hawa kura zote atapewa.
BIASHARA KUA NGUMU
Kwa sasa maisha ya wafanyabishara yamekua magumu kabisa kila mahali kuliko awamu iliyopita, lipo tatizo kubwa ambalo kama tusiposema ukweli CCM hakuna mfanyabiashara atakayetupatia kura.
MAISHA MAGUMU KWA WAFANYAKAZI WA UMMA
Ni muda sasa wafanyakazi wa umma wanalia na maslahi duni, wengi hawana amani.
Hapa kura hatupati kabisa katika kundi hili tupende tusipende. Akitokea mgombea atakayeongea vizuri na kundi hili anaweza kuvuna kura nyingi sana na atapewa ushirikiano mkubwa .Wao wanaangalia mtu atakayewajali vizuri.
Mimi najaribu kusema msije mkasema hatukurlshauri.
Facts na figures za Lumumba ndiyo zimetufikisha hapa.Bring facts and figures kuthibitisha magufuli ameharibu uchumi, usikariri maneno ya wengine.
Na kama kuna mtanzania wa aina yako anaetegemea Lisu ndio atabadilisha maisha yake, nakubaliana na wewe kua mna shida kwenye mifumo yenu ya fahamu. Maisha yako utayabadilisha mwenyewe kwa kuonyesha uthubutu katika kupambana na maisha badala ya kusubiri mwanasiasa akufanyie hivyo. Utasubiri sana kijana.
pesa za walipakodi wanyonge Tanzania, yeye anajifanya za kwake na anachagua nani wa kumhudumia.Eti uzalendo, na kujinyima!!
Uzalendo na kujinyima ni kwa watu wa chini huku yeye anagawa mapesa barabarani!!
View attachment 1531012
usidhan kila mmoja anayo iyo pesa unayoizungumziaWapo walio graduate mwaka huo huo wakaanzisha ufugaji wa kuku kwa msingi wa TZS 2,000,000 sasa hivi they are talking of 3 - 4mil a month. Msubiri Lisu, wengi wenu mnaamini nyumbani kwake amefunga bomba la ajira ambalo anasubiri achaguliwe ili alifunguwe ambao hamna ajira mpate ajira.
Whether he is a failure or not, not of business coz simtegemei magufuli kwa namna yeyote ile. it seems huna upeo wa kutosha wa kuelewa mfumo wa maisha ulivyo. Hao unaowatokea mifano hujui matatizo yao yaliyopelekea kujikuta katika hali waliyonayo. Kama wewe ulikua unaibia serikali kwa nini usifilisiwe. Kwa nini hutetei watumishi hewa? Bring facts and figures kuthibitisha magufuli ameharibu uchumi, usikariri maneno ya wengine.
Utamchagua wewe na familia yako mwenyewe wengine wamechoka kuishi kwa shida2020 watanzania tutamchagua JPM kwa kura za kutosha.
Mazuri ya JPM ni mengi sana,changamoto huwa zipo tu.hata U.S kuna raia wanalalamikia changamoto za taifa lao.
ilhali tunaambiwa U.S ni kinara wa kila jambo la kimaendeleo.