Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wangu jihadhari kwa CHADEMA hii kuna kitu mbele yao we hujui tuu

Tuombe corona iishe ligi ziendelee maana naona wazee wa mikeka mnaanza kukosa cha kufanya mnaanza kujazana kwenye siasa
 
Kila anakopita mpaka uchagani wanasema asante CCM, asante Dr Magufuli, hiyo ni dalili kubwa ya ushindi wa kishindo
Sioni anayesema hayo kama sio DC, RC. Mkurugenzi, mwenyekiti CCM hakuna mwananchi anayependa wezi, wala rushwa. Watekaji na wauaji.
 
Mkuu Hijja Madava, unaonyesha wewe ama ni mgeni na siasa, au utakua bado huzijui vizuri siasa za Bongo.

Ili CCM kiweze kuwa chama cha upinzani, lazima kwanza pawepo na chama mbadala wa CCM ambacho Watanzania watakiaminia na kukikabidhi Ikulu yetu.

Mimi kwa upande wangu bado sijaona chama hicho, hivyo CCM itatawala milele

Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

P
Mkuu umemaliza kila kitu sina cha kuongezea ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha unafiki, wewe siyo CCM, na ungekuwa mwana CCM ungeona jinsi CCM inavyopendwa kwa sasa. Kibano kiendelee hivyo hivyo. Tunajua nyie majizi na mnaoendekeza ukabila roho zinawauma sana maana ile mianya ya kuwekana kwa kazi na kuiba imezibwa yote

Una takwimu ?

Maana una harisha tu bila takwimu everytime!
 
Hata Gadaffi alijiaminisha hivyo hivyo
Huo ndiyo ujinga mnaoambukizana, yaani hata wewe unaingia kundi la wasioelimika mbumbu mbutuyuyu, yaani huwezi tofautisha kwamba Libya hapakuwa na vyama vya upinzani? Dkt Mqgufuli yupo pale kwa sababu kura zilitosha na zitaendelea kutosha. Mnajifanya kumtukana yeye kumbe hamjui mnatukana taasisi, na ndiyo maana mnapukutika kwa umaarufu kwa sababu mnachezea mifumo inayowalinda
 
Salam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
Enzi za jk wenzio walisema sio tu kuwa chama cha upinzani ila kinamfia kabisa jk mikononi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kati ya Wanawake wa hovyo sana uwezo wa kufikiri ni chini ya udogo wa sisimizi.
Acha unafiki, wewe siyo CCM, na ungekuwa mwana CCM ungeona jinsi CCM inavyopendwa kwa sasa. Kibano kiendelee hivyo hivyo. Tunajua nyie majizi na mnaoendekeza ukabila roho zinawauma sana maana ile mianya ya kuwekana kwa kazi na kuiba imezibwa yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usukuma unakupofusha huwezi ona chama mbadala kwa sasa
Mkuu Hijja Madava, unaonyesha wewe ama ni mgeni na siasa, au utakua bado huzijui vizuri siasa za Bongo.

Ili CCM kiweze kuwa chama cha upinzani, lazima kwanza pawepo na chama mbadala wa CCM ambacho Watanzania watakiaminia na kukikabidhi Ikulu yetu.

Mimi kwa upande wangu bado sijaona chama hicho, hivyo CCM itatawala milele

Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndiyo ujinga mnaoambukizana, yaani hata wewe unaingia kundi la wasioelimika mbumbu mbutuyuyu, yaani huwezi tofautisha kwamba Libya hapakuwa na vyama vya upinzani? Dkt Mqgufuli yupo pale kwa sababu kura zilitosha na zitaendelea kutosha. Mnajifanya kumtukana yeye kumbe hamjui mnatukana taasisi, na ndiyo maana mnapukutika kwa umaarufu kwa sababu mnachezea mifumo inayowalinda
Hivi upinzani huu uliong’olewa meno utauita ni upinzani kweli? Hata akishinda kwa 99% lakini ukweli mwenyewe anaujua na pamoja na kushinda kwa kishindo lakini amani moyoni hana.
 
Mkuu Hijja Madava, unaonyesha wewe ama ni mgeni na siasa, au utakua bado huzijui vizuri siasa za Bongo.

Ili CCM kiweze kuwa chama cha upinzani, lazima kwanza pawepo na chama mbadala wa CCM ambacho Watanzania watakiaminia na kukikabidhi Ikulu yetu.

Mimi kwa upande wangu bado sijaona chama hicho, hivyo CCM itatawala milele

Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

P
Paskali siku hizi mbona umekuwa mdebwedo kiasi hicho? Siku hizi hujadili issues kwa hoja ni mwendo wa hisia tu. Kule kwetu Mayala inamaanisha njaa sasa hii naona inaelekea kuwa Mayala kali!
 
Hivi upinzani huu uliong’olewa meno utauita ni upinzani kweli? Hata akishinda kwa 99% lakini ukweli mwenyewe anaujua na pamoja na kushinda kwa kishindo lakini amani moyoni hana.
Ushindani ninmkubwa, na upo. Ila CCM ushindi ni lazima.
 
Salam sana wapenzi wana jamvi.
mjumbe hauwawi mimi ni CCM kindakindaki ila kwa huyu mwenyekiti wetu wa sasa anaingizwa mtegoni kirahisi sana ns hawa wahuni kinachokwenda kutokea msiniulize ila CCM tunaenda kuwa chama cha upinzani
Wewe muongo
 
Mkuu Hijja Madava, unaonyesha wewe ama ni mgeni na siasa, au utakua bado huzijui vizuri siasa za Bongo.

Ili CCM kiweze kuwa chama cha upinzani, lazima kwanza pawepo na chama mbadala wa CCM ambacho Watanzania watakiaminia na kukikabidhi Ikulu yetu.

Mimi kwa upande wangu bado sijaona chama hicho, hivyo CCM itatawala milele

Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.

P
Watanzania wanaangalia mtu kwa sehemu kubwa. Wamechoka na wengi hata kupiga kura hawaoni haja. Hii ndio inawapa ccm ahueni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom