Mwenyenzi Mungu ananituma kusema; Kama unaweza kumtuma MTU kwenda kuua akakutii, ipo siku MTU huyo atatumwa kukumaliza na atatii;

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kwa binadamu yeyote miongoni mwetu ambaye anaamini kuishi kwake litakuwa Bora Kwa kuwaondolea mbali na uso WA Dunia wale asiowapenda basi namweleza wazi kwamba; watu wale wale anaowatumia kuwaondolea mbali wenzake ndio hao hao watakaotumika kumwondoa yeye au familia yake.

Watu wale wale unaowatuma kuiba ndio walewale wanaotumika kukuibia. Hali kadhalika watu wale wale unaowatumia kuwepo kwako madarakani ndio haohao wanaweza kutumika kukuondoa kwenye kiti.

Dhambi ya usaliti uambatana na wasalimie, dhambi ya mauti uambatana na wauaji kama ilivyo dhambi ya uchu WA madaraka uambatana na wenye uchu WA madaraka.

Hatupo salama
 
Mbona povu la kutosha mwamba,usalama upo kweli 🤔
 
Back
Top Bottom