mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Hebu nenda kwenye makaburi ya umma ya wakristo utarudi nyumbani na kusema asante Mungu.
Kumbe watanzania wengi hatutoboi 70,Yaani narehemu wengi ni miaka 50 kushuka chini,
Kwa mujibu wa sensa iliyopita idadi ya wazee kuanzia miaka 60 hawazidi 10 percent,
Serikali inashindwa nini kuwapa bima ya bure wazee hawaili waendelee kuishi?
Unajua ni kwa niniwaganga wa jadi husema tukaroge makaburini?
Makaburi mengi yamejaa marehemu waluokufa bila kutimiza ndoto zao,ndoto nyingi ziko makaburini kuliko duniani,umienda kuroga makaburini unachota ndoto za watu waliokufa bila kuzitimiza,
Kuna vijana waligraduate ule mwaka JPM anaingia ikulu mpaka leo hawana ajira,miaka 30+ hawajaoa ,hawana watoto,hawana kazi,alafu wanakufa miaka 20 ijayo,harusi nyingi High table kutakuwa hakuna waxazi ,wote marehemu.
Kwa wale matajiri nao wapate muda wa kula naisha kidogo,sio unakufa unaachia mali watu wengine hata hawajui zimeoatikanaje
Mungu tuongezee siku kwa kweli,mbona kwenye Biblia akina Yakobo waliishi miaka mingi