Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Pale ni debe tupuImagine Lucas Mwanshamba anaishi miaka 100
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale ni debe tupuImagine Lucas Mwanshamba anaishi miaka 100
Kwa tanzania hii ni matajiri wachache san ndo wataweza kufuata miongoz ya Dr Janabi cc apeche alolo hatumudu izo gharama zake 😃Mkuu fuata kanuni za afya kwenye maisha yako utaishi miaka mingi. Fuata ushauri wa Dr Janabi
Hasara kubwa sana,janga kwa taifaImagine Lucas Mwanshamba anaishi miaka 100
Ni kweli maisha yetu duniani ni kwa neema za Mungu, lakini uchaguzi wa staili ya maisha unayoishi yana sehemu kubwa ya kuamua wingi wa miaka utakayoishi. Ukiwa mtuamiaji wa madawa ya kulevya, pombe na sigara, huwezi tena kumlaumu Mungu siku za kuishi zikipushwa.Sio kweli,kuishi miaka m8ngi imekuwa ni neema tu ya mwenyezi Mungu,kuna watu nawajua walifuata kanuni wakafa mapema,na waouuzi fulani dont care wapo wanadunda tu
maisha ni kama mbio za vijitiHebu nenda kwenye makaburi ya umma ya wakristo utarudi nyumbani na kusema asante Mungu.
Kumbe watanzania wengi hatutoboi 70,Yaani narehemu wengi ni miaka 50 kushuka chini,
Kwa mujibu wa sensa iliyopita idadi ya wazee kuanzia miaka 60 hawazidi 10 percent,
Serikali inashindwa nini kuwapa bima ya bure wazee hawaili waendelee kuishi?
Unajua ni kwa niniwaganga wa jadi husema tukaroge makaburini?
Makaburi mengi yamejaa marehemu waluokufa bila kutimiza ndoto zao,ndoto nyingi ziko makaburini kuliko duniani,umienda kuroga makaburini unachota ndoto za watu waliokufa bila kuzitimiza,
Kuna vijana waligraduate ule mwaka JPM anaingia ikulu mpaka leo hawana ajira,miaka 30+ hawajaoa ,hawana watoto,hawana kazi,alafu wanakufa miaka 20 ijayo,harusi nyingi High table kutakuwa hakuna waxazi ,wote marehemu.
Kwa wale matajiri nao wapate muda wa kula naisha kidogo,sio unakufa unaachia mali watu wengine hata hawajui zimeoatikanaje
Mungu tuongezee siku kwa kweli,mbona kwenye Biblia akina Yakobo waliishi miaka mingi
Vipi kuhusu bill gates,benard arnault, Jeff bezos, Elon musk na wengineo wanaofaidi matunda ya ubunifu wao unawazungumziaje.?Steve Jobs,Tupac,Notorious BIG,Michael Jackson hela zao zinaliwa na hao wasio wabunifu,wamekufa mapema sana
Dhambi zenu ndizo zinasababisha me kabla ya wakati. Tubuni na kuiamini Injili na kuishi kwa mujibu wa mafundisho ya Biblia mtaishi maisha marefu.Hebu nenda kwenye makaburi ya umma ya wakristo utarudi nyumbani na kusema asante Mungu.
Kumbe watanzania wengi hatutoboi 70,Yaani narehemu wengi ni miaka 50 kushuka chini,
Kwa mujibu wa sensa iliyopita idadi ya wazee kuanzia miaka 60 hawazidi 10 percent,
Serikali inashindwa nini kuwapa bima ya bure wazee hawaili waendelee kuishi?
Unajua ni kwa niniwaganga wa jadi husema tukaroge makaburini?
Makaburi mengi yamejaa marehemu waluokufa bila kutimiza ndoto zao,ndoto nyingi ziko makaburini kuliko duniani,umienda kuroga makaburini unachota ndoto za watu waliokufa bila kuzitimiza,
Kuna vijana waligraduate ule mwaka JPM anaingia ikulu mpaka leo hawana ajira,miaka 30+ hawajaoa ,hawana watoto,hawana kazi,alafu wanakufa miaka 20 ijayo,harusi nyingi High table kutakuwa hakuna waxazi ,wote marehemu.
Kwa wale matajiri nao wapate muda wa kula naisha kidogo,sio unakufa unaachia mali watu wengine hata hawajui zimeoatikanaje
Mungu tuongezee siku kwa kweli,mbona kwenye Biblia akina Yakobo waliishi miaka mingi
Niliona picha zao kitaalamu tunaita reencanation ila kiuhalisia haipoUkifa Tz siku hiyo hiyo unazaliwa nchi nyingine ila unakua na talent nyingine na wazazi wengine mfano ni Enzo Ferrari alikua ni mtengeneza magari alivyokufa akazaliwa akiwa Mesuit Ozil akawa mcheza mpira ila kazaliwa na sura ileile