Mwenyezi Mungu angeongeza siku za kuishi walau miaka 100,hii 60-70 haitoshi kutimiza malengo yetu

Mwenyezi Mungu angeongeza siku za kuishi walau miaka 100,hii 60-70 haitoshi kutimiza malengo yetu

Ni sawa na kusema mpira uwe dakika 120 kisa Tabora alimfunga Yanga..

Kijana komaa na maisha, Maendeleo hayana Deadline
Mimi sio kijana,nimebakiza miaka 5 tu ya kula bia nakuaga dunia sasa nina 65
 
Back
Top Bottom