Mwenyezi Mungu angeongeza siku za kuishi walau miaka 100,hii 60-70 haitoshi kutimiza malengo yetu

Mkuu fuata kanuni za afya kwenye maisha yako utaishi miaka mingi. Fuata ushauri wa Dr Janabi
Kwa tanzania hii ni matajiri wachache san ndo wataweza kufuata miongoz ya Dr Janabi cc apeche alolo hatumudu izo gharama zake 😃
 
Sio kweli,kuishi miaka m8ngi imekuwa ni neema tu ya mwenyezi Mungu,kuna watu nawajua walifuata kanuni wakafa mapema,na waouuzi fulani dont care wapo wanadunda tu
Ni kweli maisha yetu duniani ni kwa neema za Mungu, lakini uchaguzi wa staili ya maisha unayoishi yana sehemu kubwa ya kuamua wingi wa miaka utakayoishi. Ukiwa mtuamiaji wa madawa ya kulevya, pombe na sigara, huwezi tena kumlaumu Mungu siku za kuishi zikipushwa.
 
maisha ni kama mbio za vijiti
watatimiza hata wanao
 
Hamia Japan au Ulaya, wanaishi wastani wa miaka 80.
 
Steve Jobs,Tupac,Notorious BIG,Michael Jackson hela zao zinaliwa na hao wasio wabunifu,wamekufa mapema sana
Vipi kuhusu bill gates,benard arnault, Jeff bezos, Elon musk na wengineo wanaofaidi matunda ya ubunifu wao unawazungumziaje.?
 
Ukifa Tz siku hiyo hiyo unazaliwa nchi nyingine ila unakua na talent nyingine na wazazi wengine mfano ni Enzo Ferrari alikua ni mtengeneza magari alivyokufa akazaliwa akiwa Mesuit Ozil akawa mcheza mpira ila kazaliwa na sura ileile
 
Dhambi zenu ndizo zinasababisha me kabla ya wakati. Tubuni na kuiamini Injili na kuishi kwa mujibu wa mafundisho ya Biblia mtaishi maisha marefu.
 
Ukifa Tz siku hiyo hiyo unazaliwa nchi nyingine ila unakua na talent nyingine na wazazi wengine mfano ni Enzo Ferrari alikua ni mtengeneza magari alivyokufa akazaliwa akiwa Mesuit Ozil akawa mcheza mpira ila kazaliwa na sura ileile
Niliona picha zao kitaalamu tunaita reencanation ila kiuhalisia haipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…