Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Kabisa situmii zaidi ya PUMA. Kwanza huibiwi wakati wanakujazia. Na maajabu sasa, utatembea mshale hausogei. Kuna mtu aliniambia, hawachakachui mafuta yao kama vituo vingi. Serikali pia ina hisa.Ndio maana mafuta yao ni bora pia hayana ujanja ujanja wa kuchanganywa.
GAPCO nao vipi?.Kazi zote zilizopo PUMA na Bhakresa zipo yaani mlinzi wa PUMA analipwa lukuki kuliko hao uliowasema na wanacholinda kinalingana ?
Pili Ushindani upo vipi ? Sababu huenda ile Mo Energy, Azam na Jambo Energy tofauti ya Profit na Loss ni kiasi gani Kuli ananyonywa... Anyway welcome to Capitalist Environment ambapo profits means cutting costs to the bare minimum...
View attachment 3161432
By the way PUMA inamilikiwa na Nusu kwa Nusu (Serikali na Puma Investments Limited)..., Thus next time unavyosema private sectors zinatoa zaidi faida kwa wamiliki tambua kwamba wanabana matumizi na moja ya matumizi hayo ni nguvu kazi...
Hiyo mentality yako inafaa ukiwa umejiajiriMimi Nina mentality ya kijewish au kijapani, huwa napenda zaidi output ya kile ninachokifanya ambacho ni kipimo Cha ufanisi wangu, mshaara kwangu ni secondary thing to consider
HongeraMimi Nina mentality ya kijewish au kijapani, huwa napenda zaidi output ya kile ninachokifanya ambacho ni kipimo Cha ufanisi wangu, mshaara kwangu ni secondary thing to consider
Halafu ule nn au unaongea tuDaah jamaa hao kufanya nao kazi inafaa ujizime data kweli la sivyo bora uwe jobless tu.
Inategemeana position lakini pale kima cha chini kabisa kwa mtu ambae ni seal man, aliemaliza form four nizaid ya 900K. Mtu ngazi ya officer hamna hamna analamba zaid ya 4.5M na Kila mwaka Kuna increments. Lakini pia wanapigwa bonus Kila mwaka. Uki sign contract (Renew) unaweza shangaa umepigwa hata mil 50 kama Bonus yakuongezewa mkataba. Hao ni officers tu sasa ukienda supervisors ndio balaa na niwabongo wenzetu tu hao.
Sasa wewe unaesubil ustaafu ndio upate mil 80 au 100 kama nssf Yako, pale watu wanazipiga kama bonus hizo baada ya ku renew mkataba.
Ufanisi unakujaje bila malipo? Nyie ndo wale wapambe nuksi kwenye maofisi.Wewe ndio una mentality ya kimaskini, maana maskini huwa hamuwazi ufanisi Bali mnawaza kazi imalizike upewe hela yako tu.... Halafu watu kama wewe huwa mnapenda sana shortcuts na ndio wezi wakubwa
Jobless ninayomaanisha ni kujiajiri braza si kuajiriwa.Halafu ule nn au unaongea tu
Bakheresa na Mo wao wameamua kuwafuraisha watawala... wafanyakazi unaambiwa huwezi kutajirikia kwa mtu katafungue kampuni yako ujilipe unavyotaka!Sidhani kama Kuna Private energy company inayolipa vizuri kama Puma, na kufata taratibu na Sheria za kazi.
Kiukweli Mungu awaweke na kuwapa maisha marefu maboss wa PUMA, nyie nimfano mzuri wakuigwa.
Natamani Bakharesa & MO na makampuni mengine yaige namna yakuwapa thaman wafanyakazi wao kama PUMA inavyofanya licha ya mishahara mizuri lakini bado bonus za kutosha.
Wenye PUMA mbarikiwe huko duniani mlipo.
"Nimenukuu maneno ya mfanyakaz wa PUMA, Kipindi napiga nae story Leo."
Hii ni igizo la wapi?Inategemeana position lakini pale kima cha chini kabisa kwa mtu ambae ni seal man, aliemaliza form four nizaid ya 900K. Mtu ngazi ya officer hamna hamna analamba zaid ya 4.5M na Kila mwaka Kuna increments. Lakini pia wanapigwa bonus Kila mwaka. Uki sign contract (Renew) unaweza shangaa umepigwa hata mil 50 kama Bonus yakuongezewa mkataba. Hao ni officers tu sasa ukienda supervisors ndio balaa na niwabongo wenzetu tu hao.
Sasa wewe unaesubil ustaafu ndio upate mil 80 au 100 kama nssf Yako, pale watu wanazipiga kama bonus hizo baada ya ku renew mkataba.
Kabisa za kuambiwa changanya na za kwako.Sidhani kama Kuna Private energy company inayolipa vizuri kama Puma, na kufata taratibu na Sheria za kazi.
Kiukweli Mungu awaweke na kuwapa maisha marefu maboss wa PUMA, nyie nimfano mzuri wakuigwa.
Natamani Bakharesa & MO na makampuni mengine yaige namna yakuwapa thaman wafanyakazi wao kama PUMA inavyofanya licha ya mishahara mizuri lakini bado bonus za kutosha.
Wenye PUMA mbarikiwe huko duniani mlipo.
"Nimenukuu maneno ya mfanyakaz wa PUMA, Kipindi napiga nae story Leo."
PUMA DEPOT.Unajuaje kama amejizungumzia yeye kama yeye, labda msimamizi wa hiyo sheri ni shemeji yake š¤š¤š¤
Tunahitaji huko kwingine kunakoendeshwa na Serikali kwa 100%, wafanyakazi wake wawe na nuru. Sijui GAPCO& TANOIL nako kupoje?.Kwa taarifa yako PUMA ni kampuni inayoendesha kwa ubia na serikali ya Tanzania.Kwa maana nyepesi serikali ya Tanzania ni mmiliki pia wa kampuni hiyo
Kupiga JANGUSHO Ina maana gani mkuu?.Kabisa za kuambiwa changanya na za kwako.
Vp migodini? na ktk miradi fedenge watu anapopiga JANGUSHO kimya kimya.
Mimi nipo MASHENZINI huku tamisemi-Tanzania.Kwani wewe uko wapi Mkuu?
Endelea mkuu kupenda kazi. Lakini huwezi kupenda kazi ukiwa na njaa, hujalipia ada watoto, mkeo/mwanao akiumwa huna uhakika wa matibabu yake, usafir asubuhi wagombania daladala au mwendokas masaa 2 upo stand. Then uwe wawaza kazi kwanza kuliko mshahara basi utakua vizuri.Mimi Nina mentality ya kijewish au kijapani, huwa napenda zaidi output ya kile ninachokifanya ambacho ni kipimo Cha ufanisi wangu, mshaara kwangu ni secondary thing to consider
1.PUMAWamejua siri ya biashara.ukilipa vizuri staff wanafanya vizuri pia.ukiwabana utasumbuka pia maana watatafuta namna ya ku survive kwa njia ambayo itakuathiri pia.Ila pia naona kama gap yao kubwa sana.Kwani Victoria na Total Energies wao imekaeje?.maana nanaona hao ni makampuni yanayoikaribia karibia kwa mbali Puma
Inafikirisha sana mtu unamuingizia faida kubwa ila ww umsindikize kwenye utajiriBoss anafunga turnover ya billion 6 kila mwezi halafu wafanyakazi anawalipa laki 3/3 bila aibu halafu mkiishi nae,,, oh vijana wa kitanzania wezi sanaš¤£!
Hakuna mtu anapenda kusindikiza mwenzake kwenye utajiri.
yaani kupiga hela mzitomzito bila kuleta madharaKupiga JANGUSHO Ina maana gani mkuu?.