Kazi zote zilizopo PUMA na Bhakresa zipo yaani mlinzi wa PUMA analipwa lukuki kuliko hao uliowasema na wanacholinda kinalingana ?
Pili Ushindani upo vipi ? Sababu huenda ile Mo Energy, Azam na Jambo Energy tofauti ya Profit na Loss ni kiasi gani Kuli ananyonywa... Anyway welcome to Capitalist Environment ambapo profits means cutting costs to the bare minimum...
View attachment 3161432
By the way PUMA inamilikiwa na Nusu kwa Nusu (Serikali na Puma Investments Limited)..., Thus next time unavyosema private sectors zinatoa zaidi faida kwa wamiliki tambua kwamba wanabana matumizi na moja ya matumizi hayo ni nguvu kazi...