Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema halali usingizi, na anaona kila kitu kinachoendelea katika matendo ya wanadamu.
Katika nyakati mbalmbali katika historia ya mwanadamu Mwenyezi Mungu ametoa msaada na kunusuru wanaodhulumiwa pale ambapo usingetegemea.
Binafsi naanza kufikiri kuwa Mapinduzi ya Iran ya mwaka 1979 huenda ni mpango wa Mungu kuwanusru wapalestina. Hata ukiangalia survival ya mapinduzi yenyewe mpaka leo ni maajabu.
1. Miaka miwili baada ya mapinduzi ya kiislamu ya Iran nchi hiyo yashambuliwa na Irak ikisaidiwa na Marekani, USSR na nchi za kiarabu
Katika kipindi kigumu cha nchi ya Iran ni pale, Iran iliposhambuliwa na Iraki, huku Iraki ikipewa msaada wa mahela, silaha kutoka kwa nchi zenye nguvu mno kijeshi za wakati huo yaani USA pamoja na USSR na at the same time nchi za kiarabu zikimgea Saddam mihela mingimngi, huku nchi kam Ujerumani zikimgea Saddam silaha za Sumu za kuwaua wairan. Katika hiyo vta Iran alisimama mwenyewe na kupigana kwa miaka minane
2. Iran imeshikwa shati kwenye mambo ya uchumi kutokana na vikwazo lakini inasimama kiume
Kama kuna nchi zilizoshindiliwa vikwazo na nchi za West basi ni Iran, hata hivyo pamoja na vikwazo hivyo, Iran imeweza kujitegemea yenyewe katika mahitaji ya ndani, zana za kijeshi na imefikia hatua hata ya kupeleka sattelite angani. Hili taifa siyo la kubeza.
3. Historia inaonyesha wale waonevu mwisho wao huwa mbaya
Japan ilikuwa na mambo hayahaya ya kiboya ya kuonea majirani zake, ilichapa wachina, ikachapa korea, lakini mwisho wake Mungu akainua mataifa ya kuipa kibano, leo hii imetulia tuli. Hivyohivyo Hitler alichapachapa nchi za ulaya na pale alipobakisha chini ya kilometa 30 kuingia Moscow kibao kikamgeukia, akaanza kupigwa mpaka jeshi la WanaZi likarudishwa berlin iliyokuja kuanguka. Israel ianyojiona ina nguvu leo ijitazame, Huenda hili Taifa la Iran likageuka shubiri kwao.
4. Vita vya Badr, Uvamizi wa Mongols na jeshi la crusaders
Vita vya badr ni muujiza katika miujiza ya vita, waislamu chini ya uongozi wa mtume Muhammad ambao kwa namna zote walikuwa dhaifu kijeshi kulinganisha na mahasimu wao lakini waislamu walishinda, Wamongol walikuwa na jeshi kubwa lenye nguvu mno ambalo lilishapiga east asia nzima lakini walizuiwa na Waislamu hapo middle east wasiweze kwenda hadi Europe
5. Jeshi la Pharaoh dhidi ya wana wa Israel
Jinsi wana wa israel walivyonyanyaswa, kuchinjwa na utawala wa firauni. kila mmoja anajua mwisho wa firauni
6. Wakiristu wa Yemen walivyokuwa wakichinjwa na mfalme myahudi wa dola ya Yemen
Mungu akamuinua mfalme Caleb wa Ethiopia aliyetuma jeshi kwenda kuwaokoa wakiristu hao ambao walikuwa wameshachinjwa na mfalme huyo katili wa yemen. Kisa hiki kimerokodiwa katika Qur'an tukufu (Suratul Buruj). Kwa wanaotaka kujua kuhusu hiki kisa qoogle kuhusu Saint Caleb, the Ethiopian emperor aliyetawala zaidi ya miaka 1500 iliyopita
SASA KUHUSU PALESTINE:
Huenda Nusura ya Wapalestina inapitia Tehran. Hata hivyo nusura yao huenda ikaumiza maelfu na maelfu ya watu, Itaumiza wale wanaoona wapalestina wanaonewa lakini hawafanyi chochote, hizo nchi za kiarabu zenye nguvu ya kutumia uchumi wao kuleta nusura kwa wapalestina lakini hawafanyi hivyo nao wataumia maana vita ikitokea lazima na nyenzo za uchumi wao nazo zitaathirika vibaya mno. Nusura yao huenda ikapatikana baada ya vita kali itakayoathiri dunia nzima, kitu kitakacholazimisha mataifa yaseme enough is enough. Kila mtu ataumia pale bei ya petroli itakapofika shilingi 10000 kwa lita!.
Huenda mapinduzi ya kiislamu ya Iran ikawa ni mpango wa Mungu kuinua Taifa litakoloweza kuzichapa na mazayuni ili kutengeneza mazingira ya ishu ya wapalestina kupatiwa suluhu.