Mwenyezi Mungu huleta nusura yake kimaajabu- Huenda Ukombozi wa Wapalestina utapitia Iran

Mwenyezi Mungu huleta nusura yake kimaajabu- Huenda Ukombozi wa Wapalestina utapitia Iran

Sasa boss, Kwani huwa mnatafsiri vipi maana ya kuwepo, Kutokuwepo na Ulimwengu?

Maana kitu kisichokuwepo popote huwezi kukifahamu, Unakifahamu vipi na hakipo? Hayupo maana yake ni nini? Unalo hadi jina lake na unaliita kabisa "MUNGU"
Jina "Mungu" limetoka kwenu ninyi waamini Mungu.

Na mimi napinga uwepo wa hicho mnacho kiita "Mungu" kutoka kwenu nyie waamini Mungu.
 
Jina "Mungu" limetoka kwenu ninyi waamini Mungu.

Na mimi napinga uwepo wa hicho mnacho kiita "Mungu" kutoka kwenu nyie waamini Mungu.
Kwani nikuulize boss, ukikutana na mtu anazungumza, ukamuuliza vipi, mbona kama unaongea mwenyewe akakujibu hapana naongea na fulani ila wewe huyo fulani humuoni ila mwezio anaamini anamuona na wanajibizana, Je huyo fulani anakuwa hayupo? Kwanini ilihali kuna anayezungumza nae?

Ndo maana natamani uniambie maana ya hakipo ni nini? Kitu kisichokuwepo kina sifa gani ili tuone kama kweli MUNGU hayupo.
 
S

Swali langu kwanini mungu aliumba majini wabaya????

"SO THE PROBLEM IS YOUR ABILITY TO SOLVE GOD'S EQUATION"
Kupitia kauli Yako hiyo hiyo ni kama umesema kuwa binadamu ana uamuzi wa kujichagulia kwenda motoni au peponi wakati huo ni uongo kwa mujibu wa vitabu vya dini hizi

Kwenye vitabu vya dini ya ngozi nyeupe vinasema Mungu/Allah anauwezo wa kujua lililopita, lililopo na lijalo, hapo vitabu vinaanisha kuwa MUNGU/Allah anauwezo wa kujua mtoto wako utakayemzaa miaka inayokuja atazaliwa vipi, atakuwa vipi, ataishi vipi maisha yake ya duniani na atakufa vipi na akifa kama ataenda peponi au motoni Mungu huyu anajua, Sasa nikisema MUNGU/Allah kamuumba mwanao ili aende motoni nitakuwa nakosea??? Au nikisema MUNGU kamuumba mwanao kampangia atende dhambi ili akamchome moto nitakuwa nakosea????

Kumbuka kabla hata hajamuumba tayari mungu alikwiahajua matendo yote ya mtoto wako kwa maisha yake yote hapa duniani na Bado mungu akamuumba
Ndio binadam anajiamulia kwakua Mungu kampa utashi wa kujua baya na jema na ndio kiumbe bora Zaidi alicho umba na kukipendelea uchaguzi na maamuzi yake kupitia katiba aliyopewa vitabu, Mungu hakuumba majini wabaya ubaya ni uchaguzi wa kiumbe menyewe kwani wapo majini wema pia. Wanyama ni viumbe lakin hawana utashi wa kujua baya na jema ndio maana wao hawana hukumu ya milele, malaika wao wanajua mema na mabaya lakini utashi wao unashikiliwa na Mungu tu hajapewa utashi wa kujiamulia afanye nini kwahio wao wanafanya mema tu. Na wanafata maagizo tu ni kama wanajeshi wao hawajimiliki mbele ya muumba wao
 
Hapana si kweli hebu jaribu kufikiria

Yaani kabla hajakuumba mungu anajua kila dhambi utakayotenda hapa duniani, na pia anajua kila jema utakalifanya hapa duniani, pia anajua katika maisha Yako hapa duniani Hadi unakufa utakuwa na kiwango Gani Cha dhambi na kiasi Gani Cha mambo mema uliofanya, anajua kuwa mpaka siku Yako ya kufa utakuwa na dhambi nyingi ambazo zitasababisha uende motoni, licha ya mambo yote hayo mungu kujua lakini akakuumba Sasa hapo binadamu anajichagulia au ataishi na kutenda kulingana na kile mungu alikwishaona kabla ya kukuumba??
 
Kwani nikuulize boss, ukikutana na mtu anazungumza, ukamuuliza vipi, mbona kama unaongea mwenyewe akakujibu hapana naongea na fulani ila wewe huyo fulani humuoni ila mwezio anaamini anamuona na wanajibizana, Je huyo fulani anakuwa hayupo? Kwanini ilihali kuna anayezungumza nae?

Ndo maana natamani uniambie maana ya hakipo ni nini? Kitu kisichokuwepo kina sifa gani ili tuone kama kweli MUNGU hayupo.
Kitu kisichokuwepo, hakithibitishiki kwa namna yoyote ile kwamba kipo.

Hakipo maana yake ni kutokuwepo.
 
Hapa sasa ndo penye tatizo. Hakipo wapi? Tukiweza kukubaliana kwenye realm nadhani huu mjadala utaisha.

Maani ni kama kwako wewe, mental dimension is not in the physical sense lakini unasahau kuwa inaexists in the realm of consciousness.
 
Hapa sasa ndo penye tatizo. Hakipo wapi?
Hakipo popote pale. Zaidi ya imaginations tu.
Tukiweza kukubaliana kwenye realm nadhani huu mjadala utaisha.

Maani ni kama kwako wewe, mental dimension is not in the physical sense lakini unasahau kuwa inaexists in the realm of consciousness.
Ndio maana nawaambieni huyo Mungu ni mawazo yenu ya kufikirika tu.

Hayupo kwenye uhalisia.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hakipo popote pale. Zaidi ya imaginations tu.
Kitu kikiwa kwenye imagination kinakuwa hakipo katika realm of consciousness?
Ndio maana nawaambieni huyo Mungu ni mawazo yenu ya kufikirika tu.

Hayupo kwenye uhalisia.
Kufikirika hakupo katika realm of consciousness?

NB: UWEZEKANO WA MAISHA BAADA YA KIFO KAMA YAPO BASI HAYATEXIST KATIKA REALM HII, ITAKUWA REALM YA KUFIKIRIKA NA HUENDA KILA UKIONACHO KIMETOKA KATIKA ULIMWENGU WA FIKRA NDO KIKAJA HAPA.
 
Mkuu hapo chini maelezo sijaelewa, yaani Mfalme myahudi katawala waarabu wa Yemen?!

Wakiristu wa Yemen walivyokuwa wakichinjwa na mfalme myahudi wa dola ya Yemen

Mungu akamuinua mfalme Caleb wa Ethiopia aliyetuma jeshi kwenda kuwaokoa wakiristu hao ambao walikuwa wameshachinjwa na mfalme huyo katili wa yemen. Kisa hiki kimerokodiwa katika Qur'an tukufu (Suratul Buruj). Kwa wanaotaka kujua kuhusu hiki kisa qoogle kuhusu Saint Caleb, the Ethiopian emperor aliyetawala zaidi ya miaka 1500

Yes, mfalme wa Yemen aliyekuwa anaitwa Dunaan (Dhu Nuwas) alikuwa ni myahudi. Alikuwa katili mno kwa Wakiristu, alikuwa akiwaua sana. King Caleb akaweka nadhiri kwa Mungu kuwa akiweza kumshinda huyo dhalimu atakuwa mtumishi wake. Caleb akapeleka majeshi na kumshinda huyo mfalme dhalimu wa kiyahudi. Baada ya kushinda na kumuua, King Caleb akaacha mambo ya utawala akaenda kuwa mtawa akisali na kufunga kwa zaidi ya miaka 10.
Pamoja na kwamba hakuwa mkatoliki (alikuwa Ethiopian orthodox) alifanywa kuwa Saint na kanisa katoliki mnamo karne ya 17 kutokana na mchango wake wa kunusuru wakiristu.

Kuhusu uarabu vs uislamu ni kwamba ni tatizo lenu tu kuchanganya uarabu na uislamu, kila mkimuona muarabu sura ya kwanza inayowajia ni uislamu lakini mnashindwa kujua kuwa kabla mtume Muhammad hajazaliwa kulikuwa na waarabu wakiristu wengi na pia walikuwepo wayahudi wakiishi Yemen na hata Madina ambayo ni Saudi Arabia ya leo. Hivi hujawahi kusikia Yemenite Jews?- Hao walikuja hapo kitambo sana baada ya temple kuvunjwa.

Kuhusu uislamu kuzungumzia wakiristu kuokolewa na zahama ya Mfalme katili Myahudi ambaye alikuwa akiwachinja ni kwa sababu WACHA MUNGU waliokuwepo kabla ya mtume Muhammad kuja walikuwa ni watu wa kitabu bimaana Wafuasi wa Kristo au Wafuasi wa Musa.

Unaweza kumsoma King Caleb hapa:

View: https://kalebatlantaprime.medium.com/the-life-of-saint-kaleb-of-axum-saint-arethas-and-4299-martyrs-of-nagran-de7220ede15a#:~:text=At%20the%20time%20when%20the,Christians%2C%20ascended%20the%20throne%20in
 
Israel anachotakiwa afurumshe nje Arabs wote kwani hawana upendo nae.. kuishi na shetani ni kujitafutia kifo cha hasara
 
Hapana si kweli hebu jaribu kufikiria

Yaani kabla hajakuumba mungu anajua kila dhambi utakayotenda hapa duniani, na pia anajua kila jema utakalifanya hapa duniani, pia anajua katika maisha Yako hapa duniani Hadi unakufa utakuwa na kiwango Gani Cha dhambi na kiasi Gani Cha mambo mema uliofanya, anajua kuwa mpaka siku Yako ya kufa utakuwa na dhambi nyingi ambazo zitasababisha uende motoni, licha ya mambo yote hayo mungu kujua lakini akakuumba Sasa hapo binadamu anajichagulia au ataishi na kutenda kulingana na kile mungu alikwishaona kabla ya kukuumba??
Nenda kasome somo la Rehema za Mwenyezi Mungu ndio utaelewa nini kinatokea kuna watu wamebobea katika uovu lakin wanakula wanakunywa wana maisha mazuri Mungu anampa kila mtu. Hata wewe mwalimu wako anapokupa mitihani anajua kuna ambayo utakosea kwanini akuchape viboko ikikosa maswali? Mungu hufanya kama mwalimu anakupa mtihani na muongozo anajua utakosea lakini haachi kukumbusha mpaka watu wa kukiongoza anakuletea yeye anataka ufaulu kwa nguvu zako yeye ndio hufurahi. Lakini fate ya mtu hubadilika kwa maombi inaweza ukawa na muovu lakini maombi yakabdili mwisho wako Mungu yeye anaona ila habadili kwakua ni mtihani kwako
 
Israel inapigana vita na zaidi ya vikundi Saba, nashindwa kuwaelewa waarabu hao, yaani kwa population ya wa-israeli wanashindwa kuungana kuwasaidia wapalestina? Israel ina eneo dogo sana kiasi kwamba tunashangaa kuiona Israel ipo hapo ilipo mpka sasa
Lengo kuu la Iran ni Hizo Nchi zingine za Kiarabu, kuunda empire kama Archmedis empire (Persian empire)

Hili wafanikiwe wanaamini ni kuondoa Nguvu za Marekani na Israel Kwanza .

Hezbollah na Hamas wanatumika tu.

October 7, Israel na Saudi Arabia walikuwa wanakaribia (Walikuwa wako kwenye mazungumzo ya Amani) kusaini mikataba ya Amani na Kuanzisha uhusiano rasmi wa kidplomasia, Ndipo Iran ikawatuma Hamas waanzishe vita ambayo wanajua kabisa watapigwa kama Mbwa hili kuchelewesha uhusiano Kati ya Saudia na Israel na kuchochea Raia wa nchi za Kiarabu na Serikali zao.

Israel kujibu hili amemuua Nashrallah ili apate uungwaji kwenye mataifa ya Waarabu wa Sunni
 
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema halali usingizi, na anaona kila kitu kinachoendelea katika matendo ya wanadamu.

Katika nyakati mbalmbali katika historia ya mwanadamu Mwenyezi Mungu ametoa msaada na kunusuru wanaodhulimiwa pale ambapo usingetegemea.

Binafsi naanza kufikiri kuwa Mapinduzi ya Iran ya mwaka 1979 huenda ni mpango wa Mungu kuwanusru wapalestina. Hata ukiangalia survival ya mapinduzi yenyewe mpaka leo ni maajabu.

1. Miaka miwili baada ya mapinduzi ya kiislamu ya Iran nchi hiyo yashambuliwa na Irak ikisaidiwa na Marekani, USSR na nchi za kiarabu

Katika kipindi kigumu cha nchi ya Iran ni pale, Iran iliposhambuliwa na Iraki, huku Iraki ikipewa msaada wa mahela, silaha kutoka kwa nchi zenye nguvu mno kijeshi za wakati huo yaani USA pamoja na USSR na at the same time nchi za kiarabu zikimgea Saddam mihela mingimngi, huku nchi kam Ujerumani zikimgea Saddam silaha za Sumu za kuwaua wairan. Katika hiyo vta Iran alisimama mwenyewe na kupigana kwa miaka minane

2. Iran imeshikwa shati kwenye mambo ya uchumi kutokana na vikwazo lakini inasimama kiume

Kama kuna nchi zilizoshindiliwa vikwazo na nchi za West basi ni Iran, hata hivyo pamoja na vikwazo hivyo, Iran imeweza kujitegemea yenyewe katika mahitaji ya ndani, zana za kijeshi na imefikia hatua hata ya kupeleka sattelite angani. Hili taifa siyo la kubeza.

3. Historia inaonyesha wale waonevu mwisho wao huwa mbaya

Japan ilikuwa na mambo hayahaya ya kiboya ya kuonea majirani zake, ilichapa wachina, ikachapa korea, lakini mwisho wake Mungu akainua mataifa ya kuipa kibano, leo hii imetulia tuli. Hivyohivyo Hitler alichapachapa nchi za ulaya na pale alipobakisha chini ya kilometa 30 kuingia Moscow kibao kikamgeukia, akaanza kupigwa mpaka jeshi la WanaZi likarudishwa berlin iliyokuja kuanguka. Israel ianyojiona ina nguvu leo ijitazame, Huenda hili Taifa la Iran likageuka shubiri kwao.

4. Vita vya Badr, Uvamizi wa Mongols na jeshi la crusaders

Vita vya badr ni muujiza katika miujiza ya vita, waislamu chini ya uongozi wa mtume Muhammad ambao kwa namna zote walikuwa dhaifu kijeshi kulinganisha na mahasimu wao lakini waislamu walishinda, Wamongol walikuwa na jeshi kubwa lenye nguvu mno ambalo lilishapiga east asia nzima lakini walizuiwa na Waislamu hapo middle east wasiweze kwenda hadi Europe

5. Jeshi la Pharaoh dhidi ya wana wa Israel

Jinsi wana wa israel walivyonyanyaswa, kuchinjwa na utawala wa firauni. kila mmoja anajua mwisho wa firauni

6. Wakiristu wa Yemen walivyokuwa wakichinjwa na mfalme myahudi wa dola ya Yemen

Mungu akamuinua mfalme Caleb wa Ethiopia aliyetuma jeshi kwenda kuwaokoa wakiristu hao ambao walikuwa wameshachinjwa na mfalme huyo katili wa yemen. Kisa hiki kimerokodiwa katika Qur'an tukufu (Suratul Buruj). Kwa wanaotaka kujua kuhusu hiki kisa qoogle kuhusu Saint Caleb, the Ethiopian emperor aliyetawala zaidi ya miaka 1500 iliyopita

SASA KUHUSU PALESTINE:

Huenda Nusura ya Wapalestina inapitia Tehran. Hata hivyo nusura yao huenda ikaumiza maelfu na maelfu ya watu, Itaumiza wale wanaoona wapalestina wanaonewa lakini hawafanyi chochote, hizo nchi za kiarabu zenye nguvu ya kutumia uchumi wao kuleta nusura kwa wapalestina lakini hawafanyi hivyo nao wataumia maana vita ikitokea lazima na nyenzo za uchumi wao nazo zitaathirika vibaya mno. Nusura yao huenda ikapatikana baada ya vita kali itakayoathiri dunia nzima, kitu kitakacholazimisha mataifa yaseme enough is enough. Kila mtu ataumia pale bei ya petroli itakapofika shilingi 10000 kwa lita!.

Huenda mapinduzi ya kiislamu ya Iran ikawa ni mpango wa Mungu kuinua Taifa litakoloweza kuzichapa na mazayuni ili kutengeneza mazingira ya ishu ya wapalestina kupatiwa suluhu.
Wamebugi step kuanzia kuweka imani kwa jangili wao Mohammad

View: https://x.com/asli_nabi/status/1842859876646592800
 
Wanazidi kuongeza mateka nyie uweni raia mkishindwa vita lawama kwa Irani akati hamjui mnaua wahusika au nn mnafanya
 
Attachments

  • VID_20241007_075805_029.mp4
    4 MB
Nimefurahi umekiri Mungu aliwaokoa Waisrael dhidi ya farao!
Umekosa hoja ukaona ujikatie kipande unachoshabikia, mwandishi katoa mifano msingi sana bila kujali nani kaonewa na alistaili kuonewa kwake.

Wewe unaonekana Akiri yako na Mavi yako viko 0 distance.
 
Wewe hujaitwa huku kunawahusu wenye imani, kama huna imani pita kule ndugu usisumbue watu kila siku hakuna Mungu hakuna Mungu, subiri siku ukifa ndio utajua hujui
Kama hajaitwa why jukwaa hili lisifanyike huko chumbani!?

Je ni vibaya mtu kumrekebisha aliye muongo!?

Kwanini unakuwa na tabia mbaya sana kutetea uongo ulio wa wazi kwa gharama kubwa namna hiyo.

Then akifa hawezi kutambua kwamba Mungu yupo,

Ubongo husimamia zoezi zima la utambuzi.

Baada ya kufa hatokuwa conscious kuweza kutambua ama kutokutambua jambo kwasababu ubongo haufanyi kazi.

Unataka kusema kwamba waliokufa ndiyo hutambua kwamba Mungu yupo!?

Wewe umejuaje sasa wakati hujafa!?
 
Sasa boss, Kwani huwa mnatafsiri vipi maana ya kuwepo, Kutokuwepo na Ulimwengu?

Maana kitu kisichokuwepo popote huwezi kukifahamu, Unakifahamu vipi na hakipo? Hayupo maana yake ni nini? Unalo hadi jina lake na unaliita kabisa "MUNGU"
Kwani Spiderman yupo mkuu!?
 
Kwani nikuulize boss, ukikutana na mtu anazungumza, ukamuuliza vipi, mbona kama unaongea mwenyewe akakujibu hapana naongea na fulani ila wewe huyo fulani humuoni ila mwezio anaamini anamuona na wanajibizana, Je huyo fulani anakuwa hayupo? Kwanini ilihali kuna anayezungumza nae?

Ndo maana natamani uniambie maana ya hakipo ni nini? Kitu kisichokuwepo kina sifa gani ili tuone kama kweli MUNGU hayupo.
Kisichokuwepo kina sifa ya kujicontradict chenyewe kiasi cha kuashiria kwamba ni uongo.

Dhana ya uwepo wa Mungu yenyewe tu imebeba sifa ya kisichokuwepo.
 
Back
Top Bottom