Mwenyezi Mungu huleta nusura yake kimaajabu- Huenda Ukombozi wa Wapalestina utapitia Iran

Kabla ujio wa mungu wenu, kuna miungu mingi ilijaribu kuwafuta Wayahudi, kulikua hata na mungu baal, dagon, na wote hao walishindwa maana Mungu Muumba wa bingu na nchi hawezi kuruhusu watu wake wafutwe kwenye uso wa dunia.
 
Waarabu waliweza kutumia silaha Yao vyema mwaka 1974 kuiadhibu Israel na Marekani na walifanikiwa.

Watawala wa Sasa wa kiarabu wote vibaraka tu, wapo kuhakikisha wanalinda maslahi ya Marekani eneo hilo Ili nao wahakikishiwe ulinzi wa falme zao.
 
Kwani Spiderman yupo mkuu!?
Ndio yupo, kama unamjua na umemtaja na umemtengenezea taswira basi yupo. Anaexist kwenye imagination zako. Kwani kuna jambo linalokuwepo bila kuwepo kwenye ulimwengu wa mawazo? Hata mandege yanayopaa na mavifaru yalikuwepo kwenye ulimwengu wa imagination kwanza.
 
Kisichokuwepo kina sifa ya kujicontradict chenyewe kiasi cha kuashiria kwamba ni uongo.

Dhana ya uwepo wa Mungu yenyewe tu imebeba sifa ya kisichokuwepo.
Inajicotradict wapi? Maandiko ya Dini ndo yanajicontradict sababu ya kutumia logic ila sio imani. Imani haina mipaka. Unaweza kuamini chochote, vyovyote sababu ulimwengu wa imani hauna mipaka ya kisayansi. Mipaka na logic vinakuja baada ya kuondoka kwenye hiyo realm ya kiimani na kuileta huku kwenye limitation.
 
Waarabu waliweza kutumia silaha Yao vyema mwaka 1974 kuiadhibu Israel na Marekani na walifanikiwa.

Watawala wa Sasa wa kiarabu wote vibaraka tu, wapo kuhakikisha wanalinda maslahi ya Marekani eneo hilo Ili nao wahakikishiwe ulinzi wa falme zao.

Iran imekataa kuwa kibaraka wa west ndiyo maana inaandamwa sana.
 
Kabla ujio wa mungu wenu, kuna miungu mingi ilijaribu kuwafuta Wayahudi, kulikua hata na mungu baal, dagon, na wote hao walishindwa maana Mungu Muumba wa bingu na nchi hawezi kuruhusu watu wake wafutwe kwenye uso wa dunia.

Wayahudi gani unaowazungumzia, Hawa wajukuu wa mfalme Bhulan wa Khazaria?
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, kusingekuwa na vita kokote. Kusingewezekana kuwa na vita popote, muda wowote.
Wewe hujui Mungu Nini Au nani? Ungejua ,unafikiri Mungu ni Binadamu Ngoja nikupe siri Mungu ni kila kitu yaani Mungu ni system, ni mazingira ya set Natural principle na laws.Mungu ameka Kanuni na Sheria God is everything surrounding us
 
Hii ni kauli ya imani tu, hujathibitisha hilo.
 
allah hana akili, lazima apelekewe moto.
 
Tunaambiwa wanajeshi wanapenda kujificha kwenye majumba mitaani na sehemu kamahizo zenye mikusanyiko ya watu ilikukwepa kichapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…