Mwenyezi Mungu msaidie Trump ashinde uchaguzi kesho

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Mzuka wanaJF!

Baba Muumba wa mbingu na nchi na mkambidhi President Donald Trump achaguliwe tena muhula wake wa pili.
APTOPIX_Trump_55989-1-1.jpg

Silaha aliyoishika ni hatarii na ndio itamrudisha tena White House.

Die hard Trump supporter!
 
Mzuka wanaJF!

Baba Muumba wa mbingu na nchi na mkambidhi President Donald Trump achaguliwe tena muhula wake wa pili. View attachment 1618222
Silaha aliyoishika ni hatarii na ndio itamrudisha tena White House.

Die hard Trump supporter!
Kitabu kitakatifu alicho shika Trump kinakataa
-Uongo-Trump ndio rais muongo kuliko marais wote waliopata kuwepo Marekani.

-Uzinzi-Trump ndio Rais mzinzi kuliko wote .

-Ubaguzi-Trump ni mmoja wa marais wabaguzi sana kuliko wote waliopata kutoke Marekani

-Ukwepaji wa kodi -Trump ni mwizi wa kalamu. Halipi kodi na hajifichi.(hata kwa viwango vya Tanzania , mimi nalipa kodi kuliko yeye anaaye jiita bilionea)

-Ulaghai-Trump i rais mlaghai pengiine kuliko kiongozi wa juuyeyote kupata kutokea.

-Kukosa upendo-Trump hana upendo na mtu yeyote asiye na pesa, wal asiye katika kundi lake. Kama wewe utakufa kwa saabu ya shida yako yeye atakutakia heri tu na wala hakusaidii kwa lolote hata kama ana uwezo.

-Kisasi- Trump ni mtu wa kisasi sana. Ukikmkosea atahakikisha ana kufix, tela ile ya kimtaani. Ndivyo alivyo kua maishani mwake.

Mtoa mada hala fu kwa sifa hizo unamwita Trump mtu wa Mungu!
Aliposhika hiyo Biblia hata watu wa Mungu walishangaa maana Trump hana historia ya kusali wala kuabudu. Anatumia Biblia kisiasa tu.

Trump kwa kifupi ana sifa zote za Ibilisi.
 
Chakusikitisha zaidi ni kwamba hizi ulizozitaja zote zinafit kwa huyu wa kwetu hapa.

Hayo ndio matumizi sahihi ya irony
 
Ni zaidi ya ibilisi
Kitabu kitakatifu alicho shika Trump kinakataa
-Uongo-Trump ndio rais muongo kuliko marais wote waliopata kuwepo Marekani.

-Uzinzi-Trump ndio Rais mzinzi kuliko wote .

-Ubaguzi-Trump ni mmoja wa marais wabaguzi sana kuliko wote waliopata kutoke Marekani

-Ukwepaji wa kodi -Trump ni mwizi wa kalamu. Halipi kodi na hajifichi.(hata kwa viwango vya Tanzania , mimi nalipa kodi kuliko yeye anaaye jiita bilionea)

-Ulaghai-Trump i rais mlaghai pengiine kuliko kiongozi wa juuyeyote kupata kutokea.

-Kukosa upendo-Trump hana upendo na mtu yeyote asiye na pesa, wal asiye katika kundi lake. Kama wewe utakufa kwa saabu ya shida yako yeye atakutakia heri tu na wala hakusaidii kwa lolote hata kama ana uwezo.

-Kisasi- Trump ni mtu wa kisasi sana. Ukikmkosea atahakikisha ana kufix, tela ile ya kimtaani. Ndivyo alivyo kua maishani mwake.

Mtoa mada hala fu kwa sifa hizo unamwita Trump mtu wa Mungu!
Aliposhika hiyo Biblia hata watu wa Mungu walishangaa maana Trump hana historia ya kusali wala kuabudu. Anatumia Biblia kisiasa tu.

Trump kwa kifupi ana sifa zote za Ibilis
 
Kwahiyo unaona alikosea???kweli vilaza hamuishi
Nani ni kilaza kati ya mimi na wewe?

Alafu hakuna sehemu nimeandika alikosea au nimeona alikosea.

Hiyo inathibitisha kilaza ni wewe unayeandika vitu ambavyo sijaandika.

Kama unaweza kupinga wewe si kilaza basi pinga ili nikuthibitishie zaidi kwamba wewe ni kilaza.

chokodari nijibu kati ya mimi na wewe nani kilaza?
 
Kama umeingia humu JF kwa kutumia VPN na bado umeandika hivyo, tatizo ni kubwa zaidi ya alichokisema Trump.
Usitumie emotions kufanya maamuzi bali tumia akili kufikiri.
Pia umetoka nje ya mada kwa kushirikisha mambo personal.

Muandiko wako unaonesha umeandika sababu emotions zimekutuma kuandika hivyo.

Kwa ulichoandika mkuu labda uko sahihi.

Sasa mimi sijaingia jf kwa kutumia VPN hivyo ulichoandika kuhusu mimi ni uongo.
Hiyo inaonyesha wewe huna uhakika na kauli zako.

Kama huna uhakika na kauli zako.
Je una uhakika gani kwamba mimi naakisi kauli ya trump na si wewe unayeakisi kauli ya trump?

Nijibu.
 
Narudia nilichokiandika, kama Trump angejua kuna watu wa akili hizi huku, angetumia neno kali zaidi ya alilotumia.
 
Jamii ya watu wausi kichwani inamuunga mkono trump aendeleze ubaguzi na manyanyaso kwa wahamiaji na wamarekani weusi,nitashangaa kama matukio ya George Floyd kutomtoa madarakani.
 
Back
Top Bottom