Mwenyezi Mungu msaidie Trump ashinde uchaguzi kesho

Mzuka wanaJF!

Baba Muumba wa mbingu na nchi na mkambidhi President Donald Trump achaguliwe tena muhula wake wa pili. View attachment 1618222
Silaha aliyoishika ni hatarii na ndio itamrudisha tena White House.

Die hard Trump supporter!

Anashinda, if not now then hata kwa mahakama or something, he wins this battle
 
Umesahau erdogan wa uturuki ni rais wa uturuki anayechukia ukristo na anapambana na wananchi wake wakristo ingawa hajioneshi mbona hamuoni hilo mnapambana na trump tu
NONSENSE!
 
Kitabu kitakatifu alicho shika Trump kinakataa
-Uongo-Trump ndio rais muongo kuliko marais wote waliopata kuwepo Marekani.

-Uzinzi-Trump ndio Rais mzinzi kuliko wote .

-Ubaguzi-Trump ni mmoja wa marais wabaguzi sana kuliko wote waliopata kutoke Marekani

-Ukwepaji wa kodi -Trump ni mwizi wa kalamu. Halipi kodi na hajifichi.(hata kwa viwango vya Tanzania , mimi nalipa kodi kuliko yeye anaaye jiita bilionea)

-Ulaghai-Trump i rais mlaghai pengiine kuliko kiongozi wa juuyeyote kupata kutokea.

-Kukosa upendo-Trump hana upendo na mtu yeyote asiye na pesa, wal asiye katika kundi lake. Kama wewe utakufa kwa saabu ya shida yako yeye atakutakia heri tu na wala hakusaidii kwa lolote hata kama ana uwezo.

-Kisasi- Trump ni mtu wa kisasi sana. Ukikmkosea atahakikisha ana kufix, tela ile ya kimtaani. Ndivyo alivyo kua maishani mwake.

Mtoa mada hala fu kwa sifa hizo unamwita Trump mtu wa Mungu!
Aliposhika hiyo Biblia hata watu wa Mungu walishangaa maana Trump hana historia ya kusali wala kuabudu. Anatumia Biblia kisiasa tu.

Trump kwa kifupi ana sifa zote za Ibilisi.
Sifa kuu mbili za madikteta
1. Wanahisi wanapendwa
2. Kukosa maarifa na kutojiamini
 
Sema hizi sifa ni kama za jiwe

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hili ndiyo dua la kuku?

Ombi la mkaldayo mdhambi halivuki mawingu abadani!
 
Back
Top Bottom